Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Najua ni Waajemi.

Binafsi kwangu wote ni Waarabu tu.
Sawa umeona target alizo piga Israel hahaha zote ni civilian area yeye akipigiwa hizo civilian area wataishi wapi watu wake hahaha. Ndege zitoke Tela Aviv zikapige majumba ya watu huo ni ushoga tu. Badala apige military target kaishia piga majumba anadhani Iran warabu wanao kwepa civilian target hebu kaeni mkao wa kula msubiri kipigo.
 

View: https://youtu.be/BSulH8PuPTw?si=u5YN2E7VUA8y4Ywk
Hizi ndio Nuclear facilities za Iran hahaha unakwenda piga majumba ya Raia hahaha

Kulenga makaazi ya ma engineer (wahandisi) na wanasayansi wa vinu vya Nuklia vya Iran, baada ya kukusanya taarifa za kiintelejensia ni njia mojawapo ya Israel kujilinda.

Wataalamu hao wa Iran wakiguswa, basi mradi wa kuendeleza vinu vya nuklia wa Iran utakwamishwa au kusitishwa huku Israel ikizidi kujiimarisha kwa kadri Iran itakavyo jitutumua kuendelea na miradi yake ya hatari kwa usalama wa taifa la Israel.


TOKA MAKTABA :
Matani ya Iran, leo wataalamu hao wanakimbia kimbia moto majumbani mwao

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…