cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 2,169
- 2,540
Hio ni kawaida makosa waliamini US yuko kwenye mazungumzo nao hakuna vita vitatokea mpaa mazungumzo ya failed, ni US ndio katumia hio siasa kuwambia Iran hakuna litakalo tokea mpaa mazungumzo ya failed. Sa leo unadhani Iran atakubali tena ujinga wa USA.
Security source: The Iranians are trying to start launching surface to surface missiles and are not succeeding because we have seriously damaged their chain of command:Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
WHERE DID ISRAEL STRIKE IRAN?Mbona Nuclear facilities hazikuguswa mpaa mda huu anarusha Missiles hajui target zipo wapi yale yale ya Yemen
Kumbe mnamini jiwe afu mnasema sisi ndio tunabudu jiwe hahaha.Zekaria 12:2-3
[2]Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu.
[3]Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.
Wanafikili ww3 ni kitu chepesi sana hiyo vita hatakuja tokea hivi karibuni ila vita hizi za kawaida zitaendelea kuwepoWabongo n vichwa maji mkuu, ile ya Russia na Ukraine wakasema WW3 itatokea Ila Mpaka sasa kimya, naona wamebadili story 😂
Waarabu wakiungana Israel inafutika katika uso wa dunia.Bora! Kobazi kuu on fire
Endelea kujipumbaza.Kumbe mnamini jiwe afu mnasema sisi ndio tunabudu jiwe hahaha.
We peleka hio bibilia yako kanisani hicho sio kitabu cha Mungu ni kitabu cha Paulo.
Any way tusubiri Israel anadai kisha wamaliza viongozi wote wanao husika na Missiles hivyo Iran hana uwezo wa kurusha Missiles tena ikiwa maneno yao kweli tutajua mpaa kesho au bada ya week.Mkuu uko right kabisa, yale mazungumzo ilikuwa Kanyaboya tu, Iran walitulia wakijua wazi baada ya matokeo ya mazungumzo, ndi Israel inaweza kuanzisha Vita....Marekani wanahusika kabisa!
Hata marekani ajiunge na waarabu.Waarabu wakiungana Israel inafutika katika uso wa dunia.
Wanaungana lini?Waarabu wakiungana Israel inafutika katika uso wa dunia.
Masikini! Inasikitisha sanaAny way tusubiri Israel anadai kisha wamaliza viongozi wote wanao husika na Missiles hivyo Iran hana uwezo wa kurusha Missiles tena ikiwa maneno yao kweli tutajua mpaa kesho au bada ya week.
Mimi Team Kobazi ila Israel sio kijiwe cha kahawa.Kitendo cha kujiweka Iran na kuanzisha mashambulizi ndani ya Iran ni sawa na umfume mgoni wako halafu akupake wewe mwenye Mke mafutaaaHata marekani ajiunge na waarabu.
Israel haitakaa ipotee kamwe.
Io nchi haikuanzishwa na mtu