Hahahahaaa ππππππIsrael wanadai wanakiwanda cha drones pale Tehran ndio kimetumika kupiga hapo Tehran. Je ni kweli au uwongo vipi Iran wasigundue hilo.
View: https://youtu.be/I0S3CGOKN3s?si=07dr0XMHge5fPGKl
Israel anawaogopa sana Hezbollah bila cease fire Israel angechakaa sanaπππKama Iran baba Yao anapelekewa moto hivi, huwa inakuwaje Hezbollah na Hamas walikuwa wanaamini wanaweza kuipiga Israel ππππ Ila Dini na Imani ni Ugonjwa
Trump said Iran has a chance to go back to negotiation table 'before he has nothing left'. Mark ayo maneno kwenye funga semi.Vita sio siku Moja elewa Hilo,Bado Kuna kazi ya kufanya kaka.. shambulio la kuvizia amehadaiwa na mazungumzo fake huku Nyuma ya pazia watu wanamlia timing thank God vinu viko salama na hamjui viko wapi hivyo mabomu watayafyatua tuu
Israel huwa anapiga kwa tahadhali ya kuepusha vifo vya raia. Wanamuona mnyongeIsrael anawaogopa sana Hezbollah bila cease fire Israel angechakaa sanaπππ
Ni kama Lebanon tu au Yemen.Wayahidi awafai kwa intelejensia, imajini wanaingia iran wanamdungua wanaemtaka
Of all the plans proposed to Netanyahu by the IDF, the most comprehensive was chosen for this operation. I am truly amazed at what we accomplished in less than 24 hoursTusubiri na majibu ya Iran.
Na ana huruma kweli kweli....lile shambulio la October 7 lingefanywa na hao wahuni ndani ya Urusi halafu wakawa wanajificha hospital na kwenye misikiti leo hii tungekuwa tunaongea lugha nyingineIsrael huwa anapiga kwa tahadhali ya kuepusha vifo vya raia. Wanamuona mnyonge
mifumo haipo labda watumie bastola kutungua ndege
Ni kweli kabisa, sehemu kubwa ya vijana wa Iran wanataka maisha kama ya Saudi Arabia na wananchi hawataki maisha ya kulipizana kisasi, sehemu kubwa hawaungi mkono kiongozi anayetaka kusikilizwa yeye na kuabudiwa.Tatizo pia vijana wengi wa iran wanataka maisha ya kisasa hawataki mambo ya ufia dini kwa hiyo ni rahisi utawala wa ayatollah kuanguka
Iran anavuna alichopanda na anastahili kipigo tena inabidi akung'utwe haswaa kwani ugomvi wa Israel na Palestina yeye unamhusu nini? Kuna ardhi ya Iran imechukuliwa na Israel? Yaani Iran iseme na kuapa eti itaifuta Israel kwenye uso wa dunia halaf eti Israel iiachae iwe na nuclear hata kama wewe ndo kiongozi wa Israel ungekubali upuuzi huu wa Iran?Lkn Iran kutamka hivyo na kusapoti hivyo vikundi kuna sababu, haiwezekani akazua tu from no where,,hiyo piga nikupige,kuna aliyeanza kumpiga mwenzake bila sababu,aliyemuanza mwenzake ni yupi?? ,,Hilo la mhimu kujua,tuweke chuki pembeni.
Hiyo ya Fordow hata aljazeera kiunyoonge imekiri yaan Irani inabakwa na inalawitiwa kiulaaini na myahudi.At this very moment, Israel is destroying the nuclear facilities in Fordow, Isfahan, and Parchin with armor-piercing bombs, after destroying the reactor in Natanz, and the Iranians are not firing a single shot!