LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
The lesson is, sit back and observe. Thats all. Msipende kujitia ujuaji mwingiHaya wewe ndiye mwenye akili Israel kisha shinda vita hahaha
kwanza ni aibu sana umejiandaa wee afu unapigwaYan kuna watu wanafikiria kis3nge sana kisa ushabiki wa kipumbavu.
Hiv kabisa watu na akili zao zoote, wakatumie resource kama ndege vita, askari ,waka by pass air defence forces na mifumo ya ulinzi ea anga la adui kisha waka strike na kutoka ,kisha wewe mjinga mmoja tu Adiosamigo hapo mbagara ukalete ujuaji wa kujitia kujua zaid ya wale walio take risk at an expense of their whole small nation, kwel mtu huyu atakua na akili kweli ??
Yan Israel haijui inachofanya kuliko mpumbavu mmoja hapa JF??
Inachekesha sana aisee
Kwa hio kaisha shinda vita sio sababu kapiga Nuclear facilities, Missiles, Chief of Staff na sasa unatuambia wanasayansi wa vinu vya Nuclear haya hongereni sana mmeisha shinda vita. Kwa hio Iran wajinga hawakujua Israel atawatarget hao habari za Israel na USA daima ni propoganda tu.
Ndiyo twitter imechafuka hukoWanasema hii operation sio ya Siku moja
Ogopa sana mtu mkimyaIla Israel toto tundu sana pamoja na biti zote toka Iran, Aie defence zote bado kaenda na kumpiga hadi kumuua Chief of Staff
Afu anasema ni Phase 1
Video zipoUliwahi kusikia Israel akasema kakosa target hahaha daima yeye maneno mengi mkiona Iran hajibu basi kweli kisha msliza mchezo.lskini mimi naona Iran atashinda hi vita na ata kuwa na Nuclear sasa.
Lengo la Iran ni kwa maana hiyo ndo sera ya iran au kuna kichaa mmoja kwenye uongozi wa Iran alisema hivyo jambo ambalo hata vichaa wengine kutoka Israel na wenyewe huwa wanasema?Nyukria! Ukumbuke lengo la Iran ni kuifuta Israel.
Mimi ni mlokole nasali kanisa la ufufo na uzima, sasa hivi kanisa letu limefungwa..Kobazi kwa kujifariji... Miaka yote mkipapaswa makalioni mnasema hivi hivi
Ye hakupiga keleleOgopa sana mtu mkimya
🤣🤣Yale Yale ya Iraq kua na Silaha za maangamizi.
Sadam Hussein akakutwa kwenye MTALOOO
Kobaz, na hapo umevaa kipedo na ndevu zako. Chooooka mbayaMimi ni mlokole nasali kanisa la ufufo na uzima, sasa hivi kanisa letu limefungwa..
Kwa mara nyingine tena Iran anawaangushaMimi ni mlokole nasali kanisa la ufufo na uzima, sasa hivi kanisa letu limefungwa..
Makobaz huwa wanasahau haya🤣🤣
Saddam alitia huruma sana aisee.
Yaani na ubabe wake wote ule wajeda wa Marekani wakamchomoa toka kwenye mtaro.
Fafanua! Imetokea?Israel kumuua CoS wa Jeshi maana yake ana watoa taarifa ndani ya Iran
Israel ameanza kwa kupiga viongozi inasemekana kaua viongozi wengi kwa juuFafanua! Imetokea?
Wale ni watoto wa nyoka!Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Kobaz unapapaswa makalion huku umevaa kipedo. Hao wamekuja mademu kwanza kukupapasa makalio uloane. Kisha wanakuja ma men lazima unye bungo.Sawa umeona target alizo piga Israel hahaha zote ni civilian area yeye akipigiwa hizo civilian area wataishi wapi watu wake hahaha. Ndege zitoke Tela Aviv zikapige majumba ya watu huo ni ushoga tu. Badala apige military target kaishia piga majumba anadhani Iran warabu wanao kwepa civilian target hebu kaeni mkao wa kula msubiri kipigo.