100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kipigo kwa Israel hakiepukiki na akipigwa kiherehere kitamuisha na hapo ndipo US atajitokeza live baada ya Israel kuweka mkia kati kati ya miguu...Kobaz, na hapo umevaa kipedo na ndevu zako. Chooooka mbaya
US ndio kapiga Israel ni simba kwenye picture tu lakini mpaa mda hu sidhani wamepiga kwenye Nuclear facilities. Tusubiri majibu ya Iran
Kwa hiyo anaweza kuua wataalam wa nuclear na Nuclear program ikabaki story tu.MOSSAD na idara zingine za ujasusi wa kidola nje ya mipaka umefanya kazi yake ya kuchakata taarifa za mitaa, post code na nyumba za wataalamu wa silaha za hatari wa ki-Iran na, kisha sasa jeshi la ulinzi la Israel IDF linatumia taarifa hizo kumdhoofisha adui kwa kipigo.
Kwanini ampige asiyehusika?Tunategemea Iran itaenda Kushambulia US kwa Mujibu wa Maelezo yako
Tusubiri
Maalim ungekuwa hujui Kiswahili ungejiuliza swali moja Tu ""what is the plan??"" Wanzetu hawakurupuki kaka..Badala apige military target kaishia piga majumba anadhani Iran warabu wanao kwepa civilian target hebu kaeni mkao wa kula msubiri kipigo.
Ujinga ni pale mnapodhani kila anayeipinga Israel ni Mwislam na kwahiyo kuonesha kumbe badla ya kuongozwa na akili wengi wenu mnaongozwa na mihemuko ya kidini! Ni aibu kwa kweli. Binafsi mimi ni Mkristo, tena mseminari lakini always nampinga Israel kwa sababu ni muuaji na hana undugu wowote na Ukristo! Na kama linapokuja suala la kukashifu Ukristo ni bora hata wavaa makobaz kuliko hawa madhalimu mnaowatetea in the name of Christianity!!Makobaz huwa wanasahau haya
ππ Isije kua Israel kesha fanya ujasusi wake akishirikiana na marekani na kugundua IRAN ni nguvu za sodaaπ€£π€£
Saddam alitia huruma sana aisee.
Yaani na ubabe wake wote ule wajeda wa Marekani wakamchomoa toka kwenye mtaro.
Sasa Air Defence ya Iraq inahusika vipi?Marekani wahuni wanasema hawahusiki Ila Intelligence ya Iran imegundua mashambulizi Yote yametoke Iraq ...Na air defence ya Iraq inaongozwa Na Marekani
Iran hapa wameingia kwenye mfumo
Kwanini ampige asiyehusika?
Jamaa sasa hivi wanakula vibikira huko akhera π€£.
Kama hujui Iraq ndio njia ya Israel kuingia IranMarekani wahuni wanasema hawahusiki Ila Intelligence ya Iran imegundua mashambulizi Yote yametoke Iraq ...Na air defence ya Iraq inaongozwa Na Marekani
Iran hapa wameingia kwenye mfumo
πππ Mimi sikutetei ngoja kobazi π wajeeeeMakobaz huwa wanasahau haya
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.