Tuko njema twala miraa swafi kabisa.Mnaendeleaje hapo Yemen mkuu?
Nashukuru mkuu. Vipi 25 mechi ipo au haipo?Huna twitter?
Ukifungua tu hiyo tweet inaenda moja kwa moja kule
Tuko njema twala miraa swafi kabisa.
Kwangu haipoNashukuru mkuu. Vipi 25 mechi ipo au haipo?
Dume la mbegu linaunguruma Netanyahu: Israel 'will strike every target' of Iran's regimeIsrael inaipasua Iran muda wowote iwe usiku, asubuhi, au mchana ila Cha kishamga pro Iran wanatuambia eti tusubiri usiku ndio Iran ijibu, kwani wanaogopa Nini Hawa wairan kupigana hata mchana waziwazi?