Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

The lesson is, sit back and observe. Thats all. Msipende kujitia ujuaji mwingi

How can a world war be ended in one day? We uko sawa akilini kwako. Mlituambia siku za nyuma Israel kavunja viwanda vya kutengeneza Missiles itachukua miaka labda 20 au sio nyie.

Leo mnatuletea story Ayatollah alikuwa target. Chief of staff sijui nani sijui nani bila dalili mnakuja imba ukanisa hapa hahaha. Iran dogo ni level Ingine ndio sababu US anajidai hayupo kwenye vita wakati yupo ndani ya vita, anajua kinacho kuja sio kizuri hapo Middle East Israel hawezi kushinda hi vita kisha jichimbia kaburi we nenda kaimbe nyimbo kanisani ujifurahishe tu subiria uone anavyo malizwa Israel
 
Hahaaa.

Mimi siamini kama Iran ina silaha za maangamizi.

Hao makobazi huwa wana mikwara mingi sana.

Wanachoweza ni ughaidi tu.
 
😁 Nimecheka Sanaa eti Nyoka haendi semina/ kozi elekezi kujifunza kuuma🤣🤣
 
Vipi imekuwaje ndege za Israel zimeingia Iran kufanya mashambulizi na kusepa salama salmini?
 
Hahaaa.

Mimi siamini kama Iran ina silaha za maangamizi.

Hao makobazi huwa wana mikwara mingi sana.

Wanachoweza ni ughaidi tu.
Wanavizia watu kwenye mikusanyiko na kulipua bomu ama kujilupua Ila for years Arabs, waajemi e.t.c wengi hawanaga akili kubwa za kuweza kushindana na muisraeli na marekani.
 
Kobaz, na hapo umevaa kipedo na ndevu zako. Chooooka mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…