Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel karudisha heshima yetu... 🤣 🤣

Wavaa kobazi walianza kutamba sana...

Yaani Israel imenipunguzia muda wa kukaa online kufatilia lini watashambulia
 
CCM tena......we jamaa wewee.....msiba unanukia ndani Tel Aviv wewe unaitaja CCM .......😃😃😃😃
Hawa wayahudi nao waache upumbavu, wanaanza kupiga piga mabomu hovyo mara Iraq sijui Syria mara Iran ili iwe nini sasa?

Watatusababishia maisha magumu tu hawa wapuuzi..
 
Kuwa salama ni jambo lingine na kuwa wameshambuliwa ni jambo lingine
Hamna lolote America kaomba Iran iwaruhusu wapige Israel sehemu empty kati ya Iran na Iraq na Iran akapige sehemu empty kwenye visiwa vya kiarabu 😄

Hizo ni kelele tu America anataka kuikuza Israel kuwa ina ubavu wa kujibu, hio imekuwa film sasa.
 
Na mimi ndio ninavojua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…