Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Marekani hawezi muacha mtoto wake bila ya support,Marekani alisema tu vile,lakini ki ukweli yeye ndiyo don wa kila kitu pale middle east
 
Shambulio la Leo inathibitisha Israel anauwezo wa kupiga ndani ya Iran bila yeyote kujua anakujaje na bila msaada wa Marekani..Iran imeogopa sana ichi kitendo Cha Leo maana radar zao hazikuona lolote 😂😂 what a strategy
 
Israel shambulio pekee wanaloweza kuwafanyia Iran ni kuvizia mtoto mdogo wa miaka 6 wa Iran alie nje ya nchi wamuue kama wanavyofanya Palestine
 
Wanao Control Amerika ni jews Mfano kama Rothschild na wengine kwahiyo ni ngumu kutoisaidia Israel hata Rais wa amerika lazima ale kiapo cha kuisaidia Israel.
 
SAFI KAKA MKUBWAAAA LETA HABARU NJEMA🤣👏👏👏👏

WAVAA MADERA BILA CHUPI
 
Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Ni lini USA alisema anakaa kando khs Israel mkuu? Kusema kwamba hatahusika na kuipiga Iran ila atailinda Israel ni kujitenga na Israel? (yaani unamwambia mtu kumpiga fulani mimi sitampiga. Ila wewe ukimpiga mimi nitakulinda na akitaka kukurushia ngumi mimi nitazuia ngumi zake).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…