Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Mie mnayudi, uelewe, Ayatollaah lazima tumtembeze uchi hadharani
Mnasubiri nini sasa mzee. Tangu miaka ya 1949 mnaongea hivi 🤣 🤣 🤣 Tena inazidi kuwa Stronger and stronger. Israel inaendelea kutengwa amebaki USA pekee

Hii hapa statement ya jana inaonesha Dunia tunakoelekea

 
Dunia ina wenyewe!

Na wenyewe ndio wanapamilili hapo Hoimuz.

Akijaribu ndio atachochea moto wa kukiona
Mbona Iran inazamisha mara kwa mara meli za USA na anaishia kubweka tu. Iran iliilipua kambi ya USA huko Iraq nini alifanya? 🤣🤣🤣🤣 Iran siyo watoto wadogo mzee

 
Mbona Iran inazamisha mara kwa mara meli za USA na anaishia kubweka tu. Iran iliilipua kambi ya USA huko Iraq nini alifanya? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iran siyo watoto wadogo mzee

View attachment 2968144
Unataka Iran ikipata kipigo ukutangazie?

Kwa taarifa yako Marekana na Israel huwa wanalipiza ki silent tena huwa wanapiga panapouma zaidi
 
Mbona Iran inazamisha mara kwa mara meli za USA na anaishia kubweka tu. Iran iliilipua kambi ya USA huko Iraq nini alifanya? 🤣🤣🤣🤣 Iran siyo watoto wadogo mzee

View attachment 2968144
Katika hayo mashambulizi ya Iran huko Iraq ni wanajeshi wangapi wa US waliuwawa? Na chanzo Cha Iran kushambulia hizo US bases kilikuwa ni kipi?
 
Umesahau kuwa vita vya panzi ni furaha kwa kunguru.

Mkuu maana ya hiyo methali ni tofauti kabisa na situation iliyopo...

Vita ya panzi furaha kwa kunguru inamaanisha pindi panzi watapopigana na kuuana, basi maiti wa panzi wataokufa ni fursa ya chakula kwa kunguru (kunguru hatakuwa na kazi ya kuwinda panzi aliyehai ambaye kwanza ni msumbufu wa kuruka ruka)...

Kupigana kwa wazungu, waarabu, waburushi, wayahudi hakuna manufaa yeyote kwetu waafrika kutokana na utegemezi wetu mkubwa kwa hizo jamii tajwa...

Methali sahihi hapa ni "Wapiganapo tembo wawili, zinazoumia ni nyasi"

Maana ya methali hii ni ugomvi unaotokea kati ya pande mbili zenye nguvu au mabavu zaweza kuwa nchi au viongozi wakubwa. Wanaopata tabu huwa ni watu wa hali ya chini ambao wanawategemea watu hao kwa mahitaji muhimu kama chakula.
 
Nawe Nyumbani,Unaitwa Baba.
 
Kama unafikiri huu ndio mwisho wa response ya Israel kwa Islamic Republic huielewi Israel
Serikali ya kislam ya Iran imejaa ma agent wa Israel tegemea matukio mengi hivi karibuni
Iran hana ,maagent wake Israel Israel
 
Moto lazima uwake, mbele ya irani
Acha wazichape tuone nani mshindi. Israel ilikuwa inawaonea Hamas ambao hawana hata kifaru kimoja sasa ngoja wapambane na wanaume wenzao walio kamilika kila idara.
Hii itakuwa ni vita mbaya kwa Israel kwani tayari ilikuwa taabani na Hamas.
Moto utawaka
 
Amepigwa sasa Iran inafikiria kuchukua S 400 za Urusi
😄 Wacha Israel aonyeshe footage za target alizo piga kama alivyo onyesha Iran.

Alicho fanya kuna wapinzani wa Iran ndani ya Iran wamerusha tu drones tu tatu tukapigwa zaidi ya hapo ni uwongo tu.
 
Unataka Iran ikipata kipigo ukutangazie?

Kwa taarifa yako Marekana na Israel huwa wanalipiza ki silent tena huwa wanapiga panapouma zaidi
😄 hamna lolote dogo katumia vibaraka zake ndani ya Iran kujaribu kupiga Air port ya Asfahan vikangushwa.

Israel hana ubavu huo hata TV ya Al Mayadeen inawacheka Israel kuonyesha wazi hana uwezo wa kugusa Iran

Kama walivyo jidhaurisha tv za USA UK kudai Iran kapigwa na Israel hata huko Israel wanawacheka kwa hizo propoganda zao.

Vidrones vidogo vitatu wala havikudhuru kitu vimeangusha tena vimerushiwa ndani ya Iran.


View: https://youtu.be/dy8jfWP1tmE?si=Gz2-d-QMpz2CZ6XP
 
Wakristo wanajipendekeza mno Israel wakati muisrael mwenyewe hawatambui na anasema yule bwana ni RAIA maarufu tu pale ila sio mahisi.
Ukristu hauna makao duniani. Kila nchi ni halali kwake--siyo Israeli wala Uarabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…