Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Wanaomzunguka We jamaa , kwa hiyo zile proxy za Iran kule Yemen ,Lebanon ,Syria na Iraq unafikiri ni majirani zake Marekani au sio , au unafikiri hayo mataifa yemeamka tu na kuruhusu hizo proxies kuexist humo kwenye hayo mataifa ?
Hebu fanya utafiti kuhusu hayo makundi matiifu kwa Iran kwenye hayo mataifa na uangalie idadi ya wapiganaji ,vifaa na experience ya vita walionayo
 
iran hakuna silaha aliyotengeneza yeye sababu hana technolojia hiyo, silaha zote za iran ni za kirusi, anachofanya yeye ni kubadilisha housing na kuweka jina la kiarabu
 
Yaani unaambiwa uite marafiki wa maana unaenda kuita Lebanon, Syria, Iraq
 
Unatuletea news za Israel na Iran alafu unamalizia kwa upuuzi wa vita ya Gaza... si ukaelezee huko kwenye page ya Gaza.
 
Iran hakuna kitu drone 3 zimetunguliwa na air defence View attachment 2967848
Iran wana fix sana... wanasema drone Tatu zimetunguliwa wanaweka video wakionesha jinsi walivyozidungua milipuko mingi mno how come three drone and so many interceptor sparks in the air... kuongea ukweli kuna tatizo gani?
 
Iran wana fix sana... wanasema drone Tatu zimetunguliwa wanaweka video wakionesha jinsi walivyozidungua milipuko mingi mno how come three drone and so many interceptor sparks in the air... kuongea ukweli kuna tatizo gani?
Iran ili uongee ukweli unatakiwa upate ruhusa kutoka kwa ayatollah
 
Myahudi ana tupa tabu sana kumtetea .shambulizi la Iran lilikua la wazi sana ,hili hwdi tutafute kwa tochi tuunge unge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…