Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Huo ndio ukweli mchungu

Waarabu wajikite tu kwenye kuzalisha mafuta mambo ya Vita siyo fani tangu Ulimwengu uasisiwe

Israel inatisha 🐼

Kwako Malaria 2 ukiwa Rafah
 
Iran siyo Waarabu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Algeria, Egypt, Morocco wanamchakaza Israel bila wasi wasi.

Hata Saud Arabia anauwezo wa kuwapiga Israel.

Anaye wazuia warabu ni US tu sababu kaweka vibaraka wake madarakani.
 
Sasa unabisha nini na kukubali nini!?
Shambulio la Israel limefeli,nia yao ilikua kulipua Nuclear facility hapo Isfahan ila wakafeli makombora yakalipuka maeneo jirani na hapo na drone tatu zimedunguliwa za Israel.
Pale kuna base ya jeshi mlipuko ulipotokea 🤔
....
Reports of an attack in Iran. Here is what you should know:

- An attack targeting the Isfahan area - an air base of the Iranian army in the Isfahan airport area. A military facility and not a nuclear facility.

- According to the Iranians, the attack was carried out using drones. They claim that they managed to intercept them all. Iranian attempts to reduce the size of the event.

- Shortly before the attack in Isfahan: attacks on several targets of the Iranian militias in Syria, according to reports the Iranian air defense systems stationed in Syria.
This is the Iranian base in Isfahan where drone strikes were hit.

This is a transport base of the Iranian Air Force, which also has a fighter squadron and the deployment of 2 air defense batteries, including an S-300 battery.
 
Mlipuko umetokea karibia na Isfahan airbase ila sio ndani ya Isfahan airbase.
 
Kwa akili ya kawaida tu hii inagoma. Yani Israeli atume drone 3 kwenda kushambulia eneo lililo na mifumo advanced ya ulinzi?
Kama unakataa haya ila vyombo vya kimataifa vimesema drone 3 na makombora kadhaa.
 
Umekurupuka kujibu utake usitake lengo la Israel lilikua kushambulia vinu vya nuclear.
Kwani ni mara kwanza Israel kulipua vinu vya nuclear Iran!?
Iran imefikia kiwango cha kuunda silaha za nuclear japo hawajaanza kuunda,unatarajia Israel ataliacha hilo litokee!?
Kubalini tu kuwa shambulio limefeli.
 
Israel haiuzi mafuta, watakaoumia ni hao wauza mafuta wenzake Kuwait, Qatar, Saudi Arabia, UAE na Oman ambao hawatakubali ujinga wake.
Unadhani waarabu asa hivi uchumi wao unategemea mafuta!?
Washahama huko na kuwekeza sehemu zingine nyeti.
 

Naona Izirael kaona awapige ISIS.
 
iran hakuna silaha aliyotengeneza yeye sababu hana technolojia hiyo, silaha zote za iran ni za kirusi, anachofanya yeye ni kubadilisha housing na kuweka jina la kiarabu
Acha ufala Iran ina silaha zake alizounda 100% pasi na kusaidiwa.
Hata Khordak mfano ile ni 100% Iranian made.
 
Acha basi, unahisi viongozi wa Iran ni mbumbumbu kiasi cha kushindwa kutofautisha kati ya Israel na Msumbiji!?

Kwan Israel hajasema kwamba ameshalia yeyote uwo unaousikia ni udadisi wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…