PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Oooh!! Kumbe ili malezi yaonekani kukusaidia inabidi kuisema Israel vibaya?Malezi yamewaaribu, unadhani kuisemea Israel vzr ndio unabarikiwa.ovyo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh!! Kumbe ili malezi yaonekani kukusaidia inabidi kuisema Israel vibaya?Malezi yamewaaribu, unadhani kuisemea Israel vzr ndio unabarikiwa.ovyo kabisa.
Lakini pia kumbuka mataifa mengi ya Africa bajeti zao zimeegemea kwenye msaada ya wakubwa......ambao muda wana hangaishwa na vita huko mashariki ya kati na lazima vipaumbele vyao zielekezwe huko..... unadhani tutasalimika kwenye hiliMkuu, baada ya ngano kuadimika sisi huku siku hizi tulisha sahau kama ngano ni hadimu au laah, siku hizi matumizi ya unga wa ngano yameshakuwa replaced na unga wa mihogo. Kuanzia chapati, mikate, maandazi tunatumia unga wa mihogo tu.
Hivyo kama issue ni uadimu wa bidhaa zitokazo pale, basi jua tayari dunia ina altenative na huenda hata hiyo vita inachochewa ila hiyo altenative product iingizwe sokoni.
Ndivyo walivyo. Wanaamini yeyote anaepinga Israel ni muislam. Wameifungamanisha Israel na ukristo. Mimi niliitwa mvaa kobazi h ha ha haSaaa hapa waislamu wanahusikaje , mimi ni mkristo KKT ila naona umetumia akili ndogo mno kufikiria au ni shetani kakuongoza kuandika hapa
Iran bado wanaishi karne ya 17, kupiga picha au kuchukua video mpaka upate kibali cha Ayatollah, ni tofauti na Israel.Jamani mmeshindwa kutuletea hata kasehemu tu ka shambulizi tujionee kwa macho? Mbona kule israeli tulioneshwa vitu Live live?? Au ndo mambo ya America " save the face" 🤣
Iran ana mikwara mingi lakini hana ubavu wa kuendesha vita kubwa, nzito na muda mrefu kwa sababu hizi.Mkuu hebu nidadavulie kidogo nyuma ya maneno yako kuna maelezo gani ya kufanya dunia iamini hivyo......ukizingatia Iran na wenyewe wamepiga hatua kubwa kiuchumi na kiteknolojia
🤣🤣🤣🤣 save the faceIsrael huwa hasemi kama imeshambulia, hizo habari ni kwa mujibu wa Iran so kamuombeni ushahidi Iran.
Pesa nyingi zaidi za magharibi zinaenda kwenye vita vya Ukraine kwa sasa.Lakini pia kumbuka mataifa mengi ya Africa bajeti zao zimeegemea kwenye msaada ya wakubwa......ambao muda wana hangaishwa na vita huko mashariki ya kati na lazima vipaumbele vyao zielekezwe huko..... unadhani tutasalimika kwenye hili
Ni kuchnjana hasaAmini nakuambia inakwenda kuwa vita mbaya sana hiii......
Hakuna walichofanya kwa sababu nafuatilia media kibao wamekataa .Kwa hiyo eslael hawakushambulia, then Iran wanataka ku counterattack, which is which? Kuna vitu inabidi utumie tu akili ya std two kudadavua
BBC na ALjzeera... Kule twitter porojoKama kipi?
🤣🤣🤣🤣Hao Wairan waliokiri wenyewe wamepigwa watakupa video.
Mpaka sasa Israel hata haijatoa taarifa rasmi ya hilo shambulio, waliopigwa na washuhudiaji wengine ndio wanatoa taarifa🤣Israel huwa hasemi kama imeshambulia, hizo habari ni kwa mujibu wa Iran so kamuombeni ushahidi Iran.
Kwan kwenye hizo taarifa kuna sehem imesemekana iran kasema Israel hajashambulia.Em soma vizur kabla ya kutoa watu akiliKwa hiyo eslael hawakushambulia, then Iran wanataka ku counterattack, which is which? Kuna vitu inabidi utumie tu akili ya std two kudadavua
🤣🤣🤣🤣🤣 save the faceIran bado wanaishi karne ya 17, kupiga picha au kuchukua video mpaka upate kibali cha Ayatollah, ni tofauti na Israel.
Kuna sehemu Israel amekiri kuhusika na shambulizi lolote? Wapo kimya hadi muda huu tofauti na Iran aliwapa taarifa ya kushambulia na baada ya kushambulia akaweka wazi kwamba ameshambulia.Jamaa kapiga sehemu tatu kwa mpigo Iran, Iraq na Syria.
Nchi kama Tanzania huwa hazijifunzi, so kusalimika ni ngumu, ila kama ingekuwa ni nchi inayojielewa na watu wenye vichwa ambao vichwani zina chaji, basi migogoro ya hivi ingekuwa ni fursa ya kuiimarisha nchi na kuipeleka kwenye kundi la nchi zilizoendelea.Lakini pia kumbuka mataifa mengi ya Africa bajeti zao zimeegemea kwenye msaada ya wakubwa......ambao muda wana hangaishwa na vita huko mashariki ya kati na lazima vipaumbele vyao zielekezwe huko..... unadhani tutasalimika kwenye hili
Sikiliza vyombo vya ndani ya Iran kwanza, BBC na Aljazeera watakuja baadaye.BBC na ALjzeera... Kule twitter porojo