Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
America sio Taifa lakuaminika, alisema ata kaa kando kujibu shambulio la Iran ila Iran akiyafukua tena atapeleka meli zake na kutumia military base zake Syria na Jordan kuintafia missile za Iran zisifike IsraelKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......