Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Wewe jamaa ushabiki tayari umepunguza kiwango chako Cha akili hapa Jf na rasmi umeshakuwa a Fanatical Guy .

Uislamu unasapoti wazi kabisa mambo yote muhimu na yenye manufaa kwa Wanadamu na ulimwengubkwa ujumla ila ktk kila jambo Kuna misingi yake , hata kihistoria dola za uislamu na wataalamu wake wamechangia pakubwa katika maendeleo ya Sayansi na taaluma mbalimbali za Elimu Dunia .
 
Ni nchi yenye idadi kubwa ya wakristo kuliko nchi zote mashariki ya kati, hiyo nchi ilikua na dini ya canaanite religion ,hizo nyingne zilikuja baadae.
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Ndo hao hao wakristo wa Lebanon mosad. Wanalitumikia taifa teule kutoa siri Hezbollah wanapojificha.
 
Waaapiii.
 
Ndo hao hao wakristo wa Lebanon mosad wanalitumikia taifa teule kutoa siri Hezbollah wanapojificha.
Hezbollah na Moronite ya wakristo wanaaminiana nakushirikiana bega kwa bega mkuu.
 
October 7 2023 mlikuwa mnakata mauno balaa.
 
Umeninukuu vibaya.
 
😆😆😆 sasa hivi Ayatula mdogo hamuamini Ayatula mkubwa😆😂
Amjad Taha a political Strategist and analyst from the UAE wrote this on X:

You dared to strike at a smart and courageous nation on October 7th—committing genocide, kidnapping their children, and violating their women. You thought they would fall, but they rose again, returning after 11 months to correct what had only momentarily slipped—their intelligence. Now, they will send you back 1,000 years, to a time without technology, where a ringtone feels like a death knell and a beep is a nightmare.

You will be haunted by your own shadow, too afraid to use any technology, cut off from the advanced world. And they will defeat you—not with bullets or tanks, but through the unbreakable will of brave, intelligent people. Over a simple cup of coffee, with one decisive click, they will seal your fate, and the fate of anyone who dares harm their children. This is a nation the world respects. Lebanon—Hezbollah's pager attacks and today's V82 strike are not merely military victories; they represent a triumph for the Middle East over radicalism—a victory not only for Israel but for all who stand against terror.
 
We Kenge Elimu yako ni ndogo kujua vitu hivi wewe endelea na Mabhangi yako na ushabiki uchwara , huyo jamaa imhotep rasmi kashakuwa kama wewe pamoja na wapuuzi wenzako wengine hapa Jf .
Kata maunooo sasa nakubweka Allah akbar kama October 7 2023 thubutuu maamaee.

True God bless and PROTECT Israel.

Israel the LAND JEWS the people
 
Kata maunooo sasa nakubweka Allah akbar kama October 7 2023 thubutuu maamaee.

True God bless and PROTECT Israel.

Israel the LAND JEWS the people
Mimi nimeshamaliza kuweka bayana , sina tena time ya kubishana kipuuzi na mizaha ndio maana nakupuuza unaponitag na kuniQuote katika upuuzi wako na kama ukiendele shauri yako .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…