Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

Wakati huo ww unakula 2 ugali mlenda na kuandika no cease fire
Wanawake wenzako wanaoupitia mfarakano unawaona
Hata ivyo co waafrika wenzako hawakuhusu kula 2 ugali wako
Usilolijuwa ninusiku wa kiza.

Inajuwa maana ya shaheed?
 
Mazayuni ni.watu. waoga tu, vita vya miguu hawaviwezi, kwa sababu majeshi yao hawana morali tofauti na Hamas ambao wana nia na sababu ya kupigana sema tu uwezo wao duni, Fikiria wanapigana mwezi sasa na hawana msaada wowote rasmi, hawana chakula, hawana maji, hawana mafuta hawana madawa vyote Israel kazuia lakini wanaume bado wanapambana, anachoweza Israel ni kuua watoto, kinamama na wagonjwa, hawana hata aibu yaani wanapiga hadi mashule ambayo yako chini ya UN.
 
Je kwa wale wanao wahi BIKRA hali yao ikoje nako?
Asante
Atoe takwimu hizo pia idadi ya Wapiganaji wa HAMAS waliouawa kuwahi kupata Mabikra wao 72 walioahidiwa na allah wakifa

Wangapi wameenda? Baada ya kuuawa na Jeshi la Israel ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…