n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Mazayuni wameingizwa kichwa kichwa, sasa tazama kimbembe wanachoshushiwa mitaani:
View: https://youtu.be/L-apt6xhElw?si=hQnEOp7lSd_DpiKe
Wavaa pedo mnahangaika sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazayuni wameingizwa kichwa kichwa, sasa tazama kimbembe wanachoshushiwa mitaani:
View: https://youtu.be/L-apt6xhElw?si=hQnEOp7lSd_DpiKe
Shaheed...! Shuhuda, nadhan kuna vinasaba shabihifu kwa maneno hayo sijui wewe unaelewaje...Usilolijuwa ninusiku wa kiza.
Inajuwa maana ya shaheed?
Sawa ngoja wapalangane wenyewe hii ni vita ya ardhi mi nipo zangu ipemba mpazi uku ndani ndani, nna tuhekari twangu najilimia mahindi napambana na ngedere tuu....kwenye ardhi yanguKiislam kupigania ardhi yako ni "shaheed".
Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina. Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la Gaza, vikosi vya Israel mpaka sasa bado havijapata ushindi wowote mkubwa zaidi ya kuuwa wagonjwa na watoto mahospitalini.
View: https://youtu.be/HaKn878izls?si=H1lI6dSB8xIzGEEC
Needless to listen to the terrorist made propaganda video.
Refer to the English dictionary.Nini maana ya "terrorist"?
Atoe takwimu hizo pia idadi ya Wapiganaji wa HAMAS waliouawa kuwahi kupata Mabikra wao 72 walioahidiwa na allah wakifaJe kwa wale wanao wahi BIKRA hali yao ikoje nako?
Asante