Il Padrino
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 675
- 1,604
Waliwekeana mikataba Camp David miaka ya 70 ikasababisha Rais wa Egypt Anwar Sadat kuuwawa na Brotherhood. PM Yitzhak Rabin wa Israel nae aliuwawa na yahudi msimamo mkali kwa kusaini Oslo Accord ili kuleta amani na Palestina. Hao wa sasa Trump kawasainisha Abraham accord wawe na ushirikiano na Israel ila sio wote waliokubaliukitaka kuishi vizuri na Israel ungana nae Tu kama anavyofanya Egypt
Hahahaha naye ipo siku atafikwa na atachapwa maana ana mdomo sanaB
Bado turkey maana na yeye anafuga viongozi wa magaidi wa hamas
Kupiga magaidi hakuitaji maazimio ya UN. Hiyo Security council inakuwepo wapi Israel ikishambuliwa?Greater Israel hiyo inaendelea
UN SG anashindwa kukemea na hao wenye nguvu ndio wanaamua wapi wapige kwa wakati gani, matokeo yake wanajiona hawaguswi na sheria
Mara ngapi Israel imekiuka maazimio ya UN Security Council lakini US inamkingia kifua
Fake news, kiongozi gani amekufa?Israel waliishapanga kuwaua hao viongozi wa Hamas kwa muda mrefu ni mpango na US.
Walokifanya ni kuwakusanya wote mahala pamoja na kuwafanyia elimination.
Qatar pia waweza kuwa wahusika ingawa watapiga lugha ya kidiplomasia.
Ila Hamas top leadership wote wamekuwa eliminated isipokuwa kuna taarifa kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawajaguswa.
Huo ni mpango uloratibiwa na Marekani na zimetumika ndege kadhaa pamoja na UAVs kuzuia uharibifu mkubwa ingawa wapo majeruhi wataopatikana.
Kiongozi gani wa Hamas kafariki? Unadhani nao wajinga eeh wana intelijensia pia kutoka Iran, Russia n.kWacha iwe hivyo..
Ila inasemekana walikuwa wanakutana kujadili proposal ya cease fire...na inaonekana walikuwa wanaelekea kuikataa...
Ndio maana IDF wakaona hapahapa ndio pakusambaratisha top layer yote..
Kwa sasa endeleeni kuficha tu ltakapoanza hiyo mizoga yao kunuka watasema tu ukweli lFake news, kiongozi gani amekufa?
Huyo mwepeesi sana tu, na washamlia data vizuri tu.Next stop ni Turkey maana Erdoğan anapiga mdomo sana acha nae afikiwe tutaona kweli ni mdomo tu au nae anaweza jitikisa kama Iran
Iran maadui wakubwa wa Israel na wenye teknojia kubwa ya kivita washindwe kuwazuia wayahudi...Qatar wanaweza kweli? Ukitaka ujue uwezo wa Israel kukufikia wafiche viongozi wa Hamas chumbani kwako.Israel inalazimisha makubaliano ya kuacha vita au inakushambulia ukiwa popote.
Qatar sina imani nao sana huwa ni wanafiki kama UAE, sidhani kama hawakuwa na njia za kugundua au kuzuia jeshi la anga la Israel. Kitendo cha kutishia tu wangefanya IDF isite kushambulia maana of course ingeweza ila kidiplomasia ingeharibu.
Qatar wana Rafale, Eurofighter Typhoon na especially F-15 latest variant ambayo hata Israel imeagiza version yake. Air defence systems wanazo, sio wa kushambuliwa bila kuzungumza nao. Hapa watalalamika to save face.
Hii miaka miwili Israel inatafuta maadui kwa udi na uvumba. Sio serikali ya Iran, sio Hamas, Hezbollah, Houthi.
Netanyahu ameamua abebe lawama asafishe njia kwa atakayefuata ambaye atakuja na diplomasia kupoza upepo kusubiri maadui wajijenge upya kwa tabu.
Mkuu sio kuungana naye, yani Waarabu wawe wajinga ili mambo yaende, Misri ni mhanga kwa sababu anatumia gharama kubwa ya kulinda mpaka wa Gaza ili kutii masharti ya makubaliano yake na Israel.ukitaka kuishi vizuri na Israel ungana nae Tu kama anavyofanya Egypt
Iran ndiyo Cancer ya Amani ya middle eastMkuu sio kuungana naye, yani Waarabu wawe wajinga ili mambo yaende, Misri ni mhanga kwa sababu anatumia gharama kubwa ya kulinda mpaka wa Gaza ili kutii masharti ya makubaliano yake na Israel.
Abraham Accord ni mpango wa Marekani wa kuleta mahusiano kati ya Israel na mataifa ya Kiarabu. Lakini haizuii Israel kufanya kinyume na maslahi yake ndio maana unaona Qatar imeshambuliwa na Qatar hawatajibu kitu wala kujitoa kwenye Abraham Accord. Ili Israel ikae na majirani zake wa Kiarabu ni lazima Israel iwe juu na Waarabu wawe chini. Hii ni dhairi kwa mfano Israel inaikalia Palestine na Syria (Golan heights) kimabavu, Lebanon inapigwa muda wowote wakijisikia, Ndege za Israel zinapita anga za mataifa ya Kiarabu (Lebanon, Jordan, Iraq, Syria , Yemen) bila tatizo kinyume chake waarabu wakatishe Israel uone moto wake. Kwa hiyo kuungana na Israel ni kusalimu amri kwa waarabu. Uhusiano huo unakosa maslahi na tija kwa mataifa yao
Tukisema akili kisoda mna mind ona ulicho andika mvaa kipedoIsrael kisha filisika hana jipya toka lini Hamas walikuwa na makao makuu Qatar zaidi ya wanao negotiating na hao kenge.
Nyie ndo mme fungiwa sisi wengine tupo Casablanca tunaipata JF live..He hii forums si imefungiwa?
Umenisoma ila hujanielewa.Iran maadui wakubwa wa Israel na wenye teknojia kubwa ya kivita washindwe kuwazuia wayahudi...Qatar wanaweza kweli? Ukitaka ujue uwezo wa Israel kukufikia wafiche viongozi wa Hamas chumbani kwako.
Pro Israel watasema hivyo kwa kuona Iran ni destabilizing factor na Pro Iran watasema Israel ni cancer kama foreigners imposed hapo na wakoloni. Kila mtu anataka kuwa mbabe hapo (power hegemony) Na hao wote ni wana back up na inluence ya US au Russia na China.Iran ndiyo Cancer ya Amani ya middle east
Thubutuu..Hawa Hamas wakiwa China IDF itaweza kuwashambulia huko ?
Japo foreign policy ya China kizungumkuti