Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Zile kelele za sijui israel anamuogopa hezbollah mara hao sio Hamas sijui nyokonyoko wana jeshi kamili wana mabomu zilizokuwa zinatoka madrasa mbona sizisikii tena..huyo ndo mzee Neta bado wale panya wa Houth watajuta
Na hapo ni ametema cheche tuu. Bado moto wenyewe haujakolea. Hezbollah watajua walikuwa hawajui.
 
Haya Majamaa ni mashetani yaani kwa week moja yamemaliza Safu yote ya Uongozi wa Hizbola...

Ina maana hata Ayatollah wakiamua wanamuondoa hili ni pigo kubwa sana kwa waarabu...Warabu inabidi wajitafakari upya nguvu ya kupambana na Israel hawana kabisa wameuwawa wengi na kumbe Hizbolah haina Airdefence hata moja wanajipigia na kile kishindo cha jana hakikua cha kawaida waliokua kwenye jengo lile wote waliondoka...

Dah Imekua mwisho wa Enzi mbaya sana kwa Kamanda Hassan Nasrallah alikua mwamba mwenye ushawishi sana hapo Lebanon
...
Hapa JF tulisema siku nyingi siku za huyu mtu zinahesabika. Israel kaivumilia sana Hezbollah kuanzia ile Oktoba 7, sasa kachafukwa hasa. Huko Iran Ayyatollah kaona isiwe shida, kala kona.
 
Dah!... Hezbollah imekatwa kichwa, Israel kwa sasa imefaulu kuidhoofisha mno Hezbollah.

Pigo kwa Iran.

T14 Armata
Japo uhakika ni kusubilia udhibitisho kutoka kwa hizbullah wenyewe maana hata 2006 Israel iliwahi kutangaza kumuua lakini badae akaoneka akiwa hai.
Kama kweli ame uawa japo ni pigo kwa Hizbullah lakini wenda isiwe sababu ya Israel kuishinda Hizbullah kwa sababu mwanzilishi mkuu wa Hizbullah aliuawa na bado ikaendelea kuwepo tena yenye nguvu zaidi.

Watu wengi watakuwa wanajiuliza ni kwann hizbullah haitoi majibu yenye nguvu kujibu mashambulizi ya Israel?hili limewashangaza hata wataalam wa masula ya kijeshi wa nchi za Magharibi.
Lakini mm kwa mtazamo wangu ni (1)wenda ndo mkakati wao wa vita , kwasababu hata mwaka 2006 Israel ilifanya mashambulizi yenye nguvu sana kwa zaidi ya wiki zima bila jibu lolote kutoka kwa hizbullah lakini kilicho fuata tulikiona.
(2)wenda kuna mzozo kati ya serikali ya Lebanon na Hizbullah juu ya hizbullah kutangaza vita rasmi dhidi ya Israel.
(3)wenda Iran inataka kubadilisha mkakati wake wa kuwakabili maadui zake hapo mashariki ya kati hasa kwa kubadilisha sera yake kuhusu kumiliki silaha za nyukilia.
 
Hivi nani hua anavujisha location za hawa watu? Inaoneana wanaopigana na Israel wana wasaliti wengi sana.
 
Kwa moto ule,atakuwa majivu au masizi. Nimemsikiliza mchambuzi mmoja CNN anasema bomu lililotumika ni la kipekee, na ni mara ya kwanza kutumika. Yawezekana lilikuwa mahsusi[ guided] kwake.
Bunker buster ya marekani,hakuna upekee
 
Huyu gaidi Israel,alimpiga,akamvalisha nepi,akamsulubu Yesu,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,Yesu aliyekuja kuwakomboa wana Israel,ije kuwa wengine;ambao hawakutumwa na Mungu,kuwakomboa.
Niliipenda sana comment yako lakini ulipoanza kuingiza habari za Yesu na Wayahudi wenzake i.e.mambo ya dini/Imani aaaaah nime jinyamazia.
 
Kwani tangu wameanza kuwaua vita imesimama? Msijipe matumaini kwamba ndio vita imeisha aisee anatangazwa mrithi wake mapema sana. Ni moto juu ya motoo
 
Kuna mtu aliuliza ilikuwaje Israel ikashinda vita siku sita ..

Kuna msemo unaitwa Wastani kwa Idadi...

Israel inawaona Watu wa Gaza kama sehemu ya wananchi wake watukutu...
We dogo anaye pigana sio Israel huko Lebanon ni US hao Israel ni nyimbo tu.
 
Hapa pia pa kujiuliza ilikuwaje hawa magaidi wa Israel,wakamuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa?Na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa?
Hawa ni wahuni na waongo wachezea maandiko Yesu hawa kumkamata wala kumuua. Nashangaa sana watu wanasikiliza vyombo vyao vya habari kama waliweza kuichezea injili ya kweli ijekua taarifa za habari?
 
Back
Top Bottom