Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
hii habari ni njema
walimchokoza wenyewe Israel
walimchokoza wenyewe Israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo ni ametema cheche tuu. Bado moto wenyewe haujakolea. Hezbollah watajua walikuwa hawajui.Zile kelele za sijui israel anamuogopa hezbollah mara hao sio Hamas sijui nyokonyoko wana jeshi kamili wana mabomu zilizokuwa zinatoka madrasa mbona sizisikii tena..huyo ndo mzee Neta bado wale panya wa Houth watajuta
Leo tena mnasema kusalitiana sio tena hezbollah wana jeshi kamili mara israel inaiogopa hezbollah mtabadilika sana na badoPenye hudhia penyeza rupia wanasalitiana hao..shia na sunni
Hapa JF tulisema siku nyingi siku za huyu mtu zinahesabika. Israel kaivumilia sana Hezbollah kuanzia ile Oktoba 7, sasa kachafukwa hasa. Huko Iran Ayyatollah kaona isiwe shida, kala kona.Haya Majamaa ni mashetani yaani kwa week moja yamemaliza Safu yote ya Uongozi wa Hizbola...
Ina maana hata Ayatollah wakiamua wanamuondoa hili ni pigo kubwa sana kwa waarabu...Warabu inabidi wajitafakari upya nguvu ya kupambana na Israel hawana kabisa wameuwawa wengi na kumbe Hizbolah haina Airdefence hata moja wanajipigia na kile kishindo cha jana hakikua cha kawaida waliokua kwenye jengo lile wote waliondoka...
Dah Imekua mwisho wa Enzi mbaya sana kwa Kamanda Hassan Nasrallah alikua mwamba mwenye ushawishi sana hapo Lebanon
...
Uzuri mnajua kujifaraji kwenye keyboard huku wenzenu wanaisha hukoHata laiivyokufa Mulka Afghanustan walidhani ndiyo movie imekwisha. Kimbebe kilichiwawakia moto kwa miaka 20 mfululizo npaka wenyewe wakatoka nduki.
Japo uhakika ni kusubilia udhibitisho kutoka kwa hizbullah wenyewe maana hata 2006 Israel iliwahi kutangaza kumuua lakini badae akaoneka akiwa hai.Dah!... Hezbollah imekatwa kichwa, Israel kwa sasa imefaulu kuidhoofisha mno Hezbollah.
Pigo kwa Iran.
T14 Armata
Habari hii hapaAcha upumbavu weka proof
Mbona hasira mkuu? Uneguswa pabaya?Acha upumbavu weka proof
bila kukopi na kupesti hutoboi
Bunker buster ya marekani,hakuna upekeeKwa moto ule,atakuwa majivu au masizi. Nimemsikiliza mchambuzi mmoja CNN anasema bomu lililotumika ni la kipekee, na ni mara ya kwanza kutumika. Yawezekana lilikuwa mahsusi[ guided] kwake.
Hata mimi nakutetea, haukuwahi kusens "Nasra siyo Haniye", bali ulichosema ni "bado tunaye sana".Sikusema, japo hadi sasa siamini nasubiri taarifa rasmi kutoka kwa Hezbollah.
Hezbollah siyo mtu mmojaMwisho wa hzbulla, kichwa cha joka kimekatwa
Niliipenda sana comment yako lakini ulipoanza kuingiza habari za Yesu na Wayahudi wenzake i.e.mambo ya dini/Imani aaaaah nime jinyamazia.Huyu gaidi Israel,alimpiga,akamvalisha nepi,akamsulubu Yesu,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,Yesu aliyekuja kuwakomboa wana Israel,ije kuwa wengine;ambao hawakutumwa na Mungu,kuwakomboa.
Naaaaah!Next stop ayatollah
We dogo anaye pigana sio Israel huko Lebanon ni US hao Israel ni nyimbo tu.Kuna mtu aliuliza ilikuwaje Israel ikashinda vita siku sita ..
Kuna msemo unaitwa Wastani kwa Idadi...
Israel inawaona Watu wa Gaza kama sehemu ya wananchi wake watukutu...
Unataka nifanye kazi aliyotakiwa kufanya mwalimu wako?bila kukopi na kupesti hutoboi
Hawa ni wahuni na waongo wachezea maandiko Yesu hawa kumkamata wala kumuua. Nashangaa sana watu wanasikiliza vyombo vyao vya habari kama waliweza kuichezea injili ya kweli ijekua taarifa za habari?Hapa pia pa kujiuliza ilikuwaje hawa magaidi wa Israel,wakamuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa?Na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa?