Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Kwa maana nyingine Serikali ya Lebanon ime surrender na Hakuna mtu wa Hezbollah kupinga.

Ndani ya baraza la mawaziri la Lebanon kuna wafuasi wa Hezbollah ambao sasa ni helpless
 
God Bless Israel
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.


Mazayuni na magahribi na mapoyoyo wao wanafikiri ni Hollywood movie, akifa mbabe movie imekwisha.

Ndiyo kwanza wamejigeuza pweza kujipalilia mkaa wao wenywe.
Bibi punguza mihemko. Hujui Israel imeokoa maisha ya maelfu ya raia wasokua na hatia
 
Shida anaweza kuwa mahali ambapo kuna wananchi wasio na hatia.
Israel naona kwa sasa hakubali samehe maadui zake hata wakiwa kwenye kundi la watoto, yeye anacholenga ni kuwaondoa magaidi.

Kingine naona Hezbollah wameuzwa na jeshi la Lebanon au kuna watu ndani ya Hezbollah ambao wametoa taarifa zote
 
Kuna viashiria vyao. İle juzi alipotangaza kutoa hotuba, wakati anatoa hotuba, IDF ikaanza kufanya mashambulizi kwenye maeneo ambayo walihisi kwamba yupo.
Osama bin Laden alikuwa surveilled na stealth drone, RQ-170.

Drone ilikuwa na uwezo wa kupiga picha na kurekodi video.

Yawezekana kabisa Israel nao wanawafuatilia hao watu na drones ambazo haziwezi kuwa detected na radar.

Na ni drones zenye uwezo wa kutoa feedback ya photos na video.
 
Mwambia huyu apa
 

Attachments

  • Screenshot_20240928-134946.jpg
    459.1 KB · Views: 3
Nakumbuka hii walipiga Rafic Hariri Airport.
 
Sikusema, japo hadi sasa siamini nasubiri taarifa rasmi kutoka kwa Hezbollah.
Hawapo wa kutoa taarifa maana wote wamekwenda na maji pamoja na vifaa vyao na miili yao haitaonekana milele maana mabomu zaidi ya 100 yametumika kuhakikisha habaki mtu
 
Kwenye uzi huu sasa kuna raia wanataka kuleta ukristo na uislamu hawa ni wa kuwaogopa
Wanaopigana ni waarabu na wayaudi, sisi waafrica hata tufanyeje wao watazid kutuona tu ni waafrica na haitobadirisha chochote
 
Israel naona kwa sasa hakubali samehe maadui zake hata wakiwa kwenye kundi la watoto, yeye anacholenga ni kuwaondoa magaidi.

Kingine naona Hezbollah wameuzwa na jeshi la Lebanon au kuna watu ndani ya Hezbollah ambao wametoa taarifa zote
Huo 👆👆ndo ukweli. Hata mzee Neta Jana kawaambia bayana kwamba hakuna kitu chochote cha Hezbollah ambacho Iraeli (IDF)haikijui. Kwa maneno mengine Hezbollah wapo uchi mbele ya IDF.
 
Huwezi kupigana na mtu anaekuzidi technology....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…