Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Palestine atashinda hii vita labda wawauwe woteKobazi mnavicometi vya kujitariji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Palestine atashinda hii vita labda wawauwe woteKobazi mnavicometi vya kujitariji
Kuna viashiria vyao. İle juzi alipotangaza kutoa hotuba, wakati anatoa hotuba, IDF ikaanza kufanya mashambulizi kwenye maeneo ambayo walihisi kwamba yupo.Hawa Waisraeli wanajuaje kuwa adui yuko eneo hilo kwa wakati huo? View attachment 3109240
Israel bila marekani hamna kitu usidanganyike weweIsrael inapiga mpaka miungu ya waarabu sembuse mrithi au warith hawa wenye DNA za kipepo.
Kwa maana nyingine Serikali ya Lebanon ime surrender na Hakuna mtu wa Hezbollah kupinga.Sasa Israel anaamua nani aingie Lebanon au asiingie. Mamlaka za Lebanon ni kutii tu hamna mamna
Lebanon’s airport denies entry to Iranian plane
Lebanon’s National News Agency reports that the country’s Minister of Public Works and Transport Ali Hamieh instructed Beirut’s airport to ask an Iranian plane heading there not to enter Lebanese airspace and not to land.
Israel has said its warplanes are patrolling the area near Beirut’s airport to make sure it is used for “civilian purposes only”, in an implicit threat to bomb it.
During the 2006 war, Israeli forces bombed the Beirut airport.
Utakuja usikie Iran kuna mapinduzi ndio uatalewa maana ya mkono wa IsraelIsrael bila marekani hamna kitu usidanganyike wewe
God Bless IsraelJeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.
Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.
Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane
Full @IDF statement on its elimination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah:
“The IDF announces that yesterday (Friday), September 27th, 2024, Hassan Nasrallah, the leader of the Hezbollah terrorist organization and one of its founders, was eliminated by the IDF, together with Ali Karki, the Commander of Hezbollah’s Southern Front, and additional Hezbollah commanders.
Following precise intelligence from the IDF and Israeli security establishment, IAF fighter jets conducted a targeted strike on the Central Headquarters of the Hezbollah terrorist organization, which was located underground embedded under a residential building in the area of Dahieh in Beirut. The strike was conducted while Hezbollah’s senior chain of command were operating from the headquarters and advancing terrorist activities against the citizens of the State of Israel.
During Hassan Nastallah’s 32-year reign as the Secretary-General of Hezbollah, he was responsible for the murder of many Israeli civilians and soldiers, and the planning and execution of thousands of terrorist activities. He was responsible for directing and executing terrorist attacks around the world in which civilians of various nationalities were murdered. Nasrallah was the central decision-maker and the strategic leader of the organization.
The Hezbollah terrorist organization, headed by Hassan Nasrallah, joined the Hamas terrorist organization in its war against the State of Israel on October 8th. Since then, Hezbollah has been continuing its ongoing and unprovoked attacks on the citizens of the State of Israel, dragging the State of Lebanon and the entire region into a wider escalation.
The IDF will continue operating against anyone who promotes and engages in terrorism against the State of Israel and its people.”
Bibi punguza mihemko. Hujui Israel imeokoa maisha ya maelfu ya raia wasokua na hatiaInna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
Mazayuni na magahribi na mapoyoyo wao wanafikiri ni Hollywood movie, akifa mbabe movie imekwisha.
Ndiyo kwanza wamejigeuza pweza kujipalilia mkaa wao wenywe.
Israel naona kwa sasa hakubali samehe maadui zake hata wakiwa kwenye kundi la watoto, yeye anacholenga ni kuwaondoa magaidi.Shida anaweza kuwa mahali ambapo kuna wananchi wasio na hatia.
Someone poked the bear!

Osama bin Laden alikuwa surveilled na stealth drone, RQ-170.Kuna viashiria vyao. İle juzi alipotangaza kutoa hotuba, wakati anatoa hotuba, IDF ikaanza kufanya mashambulizi kwenye maeneo ambayo walihisi kwamba yupo.
Hamna kitu kama tangu 1979 hawajaweza Leo hawatawezaUtakuja usikie Iran kuna mapinduzi ndio uatalewa maana ya mkono wa Israel
Nakumbuka hii walipiga Rafic Hariri Airport.Sasa Israel anaamua nani aingie Lebanon au asiingie. Mamlaka za Lebanon ni kutii tu hamna mamna
Lebanon’s airport denies entry to Iranian plane
Lebanon’s National News Agency reports that the country’s Minister of Public Works and Transport Ali Hamieh instructed Beirut’s airport to ask an Iranian plane heading there not to enter Lebanese airspace and not to land.
Israel has said its warplanes are patrolling the area near Beirut’s airport to make sure it is used for “civilian purposes only”, in an implicit threat to bomb it.
During the 2006 war, Israeli forces bombed the Beirut airport.
Hawapo wa kutoa taarifa maana wote wamekwenda na maji pamoja na vifaa vyao na miili yao haitaonekana milele maana mabomu zaidi ya 100 yametumika kuhakikisha habaki mtuSikusema, japo hadi sasa siamini nasubiri taarifa rasmi kutoka kwa Hezbollah.
Wanaopigana ni waarabu na wayaudi, sisi waafrica hata tufanyeje wao watazid kutuona tu ni waafrica na haitobadirisha chochoteKwenye uzi huu sasa kuna raia wanataka kuleta ukristo na uislamu hawa ni wa kuwaogopa
Huo 👆👆ndo ukweli. Hata mzee Neta Jana kawaambia bayana kwamba hakuna kitu chochote cha Hezbollah ambacho Iraeli (IDF)haikijui. Kwa maneno mengine Hezbollah wapo uchi mbele ya IDF.Israel naona kwa sasa hakubali samehe maadui zake hata wakiwa kwenye kundi la watoto, yeye anacholenga ni kuwaondoa magaidi.
Kingine naona Hezbollah wameuzwa na jeshi la Lebanon au kuna watu ndani ya Hezbollah ambao wametoa taarifa zote
Shia na sunni hawatokaa wawe wamoja, pakistan wana mgogoro huo huo hadi kwenye madaraka. Cha kushangaza wote ni muslimPenye hudhia penyeza rupia wanasalitiana hao..shia na sunni