Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Kwenye usaliti huo hawakosekani walebanon
wakristo
Kwani hakuna waislam wasaliti?

Shida yako wewe haya mambo unayachukulia personal sana na unajikuta upo tofauti na wote dunia hii,well inawezekana maana username yako 👇🏿
 
Seif al dini nae kauawa ile cabinet yote hezbollah imemalizwa
 
sio middle east tu mashia sio waislamu.
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.


Mazayuni na magahribi na mapoyoyo wao wanafikiri ni Hollywood movie, akifa mbabe movie imekwisha.

Ndiyo kwanza wamejigeuza pweza kujipalilia mkaa wao wenywe.
Wewe Ajuza unafagilia UGAIDI uendelee?
 
Amini hivyo panzi wewe utakuwa salama. Jinsi mnavyoongeza dharau kwa Mnyahudi ndivyo mnavyozalisha matatizo
Panzi mwenyewe.., wewe muunge mkono na kusapoti mayahudi lakini wanamtukana mungu wako na kumtemea mate
 
hapo Netanyau anajulishwa yupo sehemu isiyo na madhara kwa Raia,oda ya kumtungua akaitoa fasta,Akiwa Marekani
 
Hivi mimi huwa najiuliza hawa Waarabu wanashindwa kuishi kwa amani tu! Au mafundisho ya Mood yanawadanganya kwa maana aliwaelekeza Mazayuni ni maadui zao!
Hawana Technologia,hawana mawazo na niwafia dini wasiotumia akili!
Hivi unajua kisa cha mzozo wa Israel na waarabu sio dini!?
Hivi unajua wakristo wenzako Israel wananyanyasika kuliko waislam wa kiarabu!?
 
Tukiacha masuala ya dini, wanayopitia wapalestina ndani ya Israeli ni kama waliyokuwa wanapitia watu weusi wa South Africa wakati wa utawala wa makaburu. Israeli inapaswa kwanza kuwatendea wapalestina kama raia wa kawaida.
Hao kuja kuelewana sio leo.

Sasa kwa mfano kwa wayahudi na wakristo mji wa Jerusalem ni wa kwanza kwa utakatifu.

Kwa wapalestina na waislamu ni namba tatu ila wapalestina wanadai Jerusalem ni ya kwao.

Hapo amani inakuja vipi mkuu??
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.


Mazayuni na magahribi na mapoyoyo wao wanafikiri ni Hollywood movie, akifa mbabe movie imekwisha.

Ndiyo kwanza wamejigeuza pweza kujipalilia mkaa wao wenywe.

Ibrahim akishawahi kupiga mataifa manne akiwa na Kikosi cha watu miatatu tuu.

Hata uwèpo wa Mayahudi Hapo haukuwa Jambo rahisi.
Alikuja Babu Yao Ibrahim, na Sasa wameunda taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…