Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Kwenye usaliti huo hawakosekani walebanon
wakristo
Kwani hakuna waislam wasaliti?

Shida yako wewe haya mambo unayachukulia personal sana na unajikuta upo tofauti na wote dunia hii,well inawezekana maana username yako 👇🏿
Screenshot_2024-09-28-16-10-21-369_com.google.android.googlequicksearchbox-edit.jpg
 
Kwanza mpa mda hu inawezekana kafa au hakufa hamna mtu ana dalili? Pili inawezekana Nasurlah na Hezbullah walisha mchora jasusi anaye toa infomation, wakamuambia tunaenda fanya meeting pale ili awafikishie ujumbe US hapo ndio wamnase tena yupo kwenye cabinet yao kabisa. Na uhakika [emoji817] in US ndio anapiga sio Israel. Wakisha piga wanamuambia Israel target tulio piga ni Nasurlah ndio Israel anajisifia yeye kapiga.

Si ndio ajabu wanadhani kumua Nasurlah ndio wameshinda vita, hawajui Hezbullah ni chama kuna viongozi wasaidizo na akifa Nasurlah mfano yuko Seif Al Dini au Naim Al Qaseem. Hata hao kama mmoja alikuwa na Nasurlah wako wengine wataendeleza kichapo kama kawaida huko Israel.
Seif al dini nae kauawa ile cabinet yote hezbollah imemalizwa
 
View attachment 3109455

Why Washia middle east wanachukuliwa kuwa sio Waislam na kwa Nini Leo Waislam wamechinja sana Ngamia.

Kwenye hii ujumbe wa Hezbollah kuthibitisha kifo Cha Nashrallah.

Hakuna hata sehemu Moja wamemtaja Mohammad, badala yake kuna haya maneno.

Karbala, Al-Aali, Guardian of Muslims (Khamenei).

Israel jana imepigana vita ya Wasunni na Wakristo wote wa middle east, Huyu Nashrallah Askari wake wamepigana Yemen, Syria na Iraq wameua Wasunni wengi sana wamewatesa Wa Lebanon. What a day
sio middle east tu mashia sio waislamu.
 
Amini hivyo panzi wewe utakuwa salama. Jinsi mnavyoongeza dharau kwa Mnyahudi ndivyo mnavyozalisha matatizo
Panzi mwenyewe.., wewe muunge mkono na kusapoti mayahudi lakini wanamtukana mungu wako na kumtemea mate
 
Mkuu kwa Kifupi tunasema wana intellijensia bora na intellijensia inajumuisha mambo mengi.

Katika hili lakujua adui gani yupo wapi na wakati gani wanatumia teknolojia ya GPS katika moja ya vifaa anavyomiliki adui kwa kudukua ama kupandikiziwa, wakishajua alipo kwa muda huo(in real time), wana confirm kwa kumtumia aidha CCTV facial recognition system, Kwa CCTV zilizotungwa mitaani ama kwa kutumia drone footage na satellite footage huku waki-track movement zake zote wakiwa control room/centre (hapa wanakua wana kuona live unavyotiza mitaa mbalimbali yaani kama wanaangalia mpira live kwenye kibanda umiza)

Wakishajihakikishia kua ni wewe ndio target wanayoitaka yanafanika maamuzi wakuache ama wakumalize na maamuzi hayo yatafikiwa endapo utakua katika mazingira ambayo hayataleta madhara kwa wasio husika.

Mambo ni mengi yana husika kama unataka kufahamu zaidi fuatilia hata spy movies

Ninapendekeza ukaitafute TV series moja inaitwa HOMELAND utajifunza mengi mno.
0wqr50y1thrd1.jpeg
hapo Netanyau anajulishwa yupo sehemu isiyo na madhara kwa Raia,oda ya kumtungua akaitoa fasta,Akiwa Marekani
 
Hivi mimi huwa najiuliza hawa Waarabu wanashindwa kuishi kwa amani tu! Au mafundisho ya Mood yanawadanganya kwa maana aliwaelekeza Mazayuni ni maadui zao!
Hawana Technologia,hawana mawazo na niwafia dini wasiotumia akili!
Hivi unajua kisa cha mzozo wa Israel na waarabu sio dini!?
Hivi unajua wakristo wenzako Israel wananyanyasika kuliko waislam wa kiarabu!?
 
Tukiacha masuala ya dini, wanayopitia wapalestina ndani ya Israeli ni kama waliyokuwa wanapitia watu weusi wa South Africa wakati wa utawala wa makaburu. Israeli inapaswa kwanza kuwatendea wapalestina kama raia wa kawaida.
Hao kuja kuelewana sio leo.

Sasa kwa mfano kwa wayahudi na wakristo mji wa Jerusalem ni wa kwanza kwa utakatifu.

Kwa wapalestina na waislamu ni namba tatu ila wapalestina wanadai Jerusalem ni ya kwao.

Hapo amani inakuja vipi mkuu??
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.


Mazayuni na magahribi na mapoyoyo wao wanafikiri ni Hollywood movie, akifa mbabe movie imekwisha.

Ndiyo kwanza wamejigeuza pweza kujipalilia mkaa wao wenywe.

Ibrahim akishawahi kupiga mataifa manne akiwa na Kikosi cha watu miatatu tuu.

Hata uwèpo wa Mayahudi Hapo haukuwa Jambo rahisi.
Alikuja Babu Yao Ibrahim, na Sasa wameunda taifa
 
Back
Top Bottom