MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ujinga tu watu ambao mnaogopa tu polisi ndio muwe viongozi katika makundi hayo yasiyo hofia kifo.
Acha kuwaza mambo ya kipumbavu
Si Tanzania kuna wavaa kobaz pia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga tu watu ambao mnaogopa tu polisi ndio muwe viongozi katika makundi hayo yasiyo hofia kifo.
Acha kuwaza mambo ya kipumbavu
NdioYani bangi?😂😂😂
Wajitolee kuwaongoza ndugu zao katika imaan.Si Tanzania kuna wavaa kobaz pia...
Kwani hujaona Pete ya Majini ?😁😁Sasa wataosha nini
Hata shetan aliumbwa kabla yako ndio maana unaambiwa uachane nae. Jini ni pepo mchafu ndio maana yalipokuwa yanamuona Yesu yanalia kuomba msamaha. Hakuna mtume hata mmoja aliwah kukaa na jin zaid ya mtume wenu wa majini.Majini yaliumbwa na Mungu kabla yako,hata yesu alijua kuwasiliana nayo ndiyo maana aliweza kuyatimua,jini ana utashi kama wewe,wa kufanya mema na maovu
Hakuna kiumbe rasmi shetani,hata wewe unaposhawishi uovu ni shetani, ushetani ni sifa,huyo shetani unayemsema(ibilisi) ni jini,majini wanna utashi kama wewe wa kufanya mema na maovu na wana hukumu pia kama wewe utavyohukumiwa, suleiman aliamuru majini yesu aliamuru pia majini yakatoka kwa mtu na kukimbilia bahariniHata shetan aliumbwa kabla yako ndio maana unaambiwa uachane nae. Jini ni pepo mchafu ndio maana yalipokuwa yanamuona Yesu yanalia kuomba msamaha. Hakuna mtume hata mmoja aliwah kukaa na jin zaid ya mtume wenu wa majini.
Umekuja vizuri. Shetani ni uasi hata wewe ukitenda uovu ni shetan tayar. Ila umesahau kuwa tofauti ya mwanadamu na viumbe vya kiroho ni kuwa. Binadam wako katikat ya uovu na wema. Yaan sisi tumeumbiwa kuchagua wema au baya. Kama vile Mungu alivyo Baba wa mema yote anae viumbe vya kiroho vinavyomuunga mkono utawala wake ambao ni malaika na kama vile shetan alivyo baba wa uovu wote anao wafuasi wake au malaika walioasi pamoja nae. Ndio hayo majini mizimu nk. Hakunaga jin mtakatifu yote ni sehemu ya Shetani ndio maana nikakupa mfano mdogo nenda kafanye research yako. Ni nabii gani aliwakubali majin kama viumbe watakatifu zaid ya huyo wenu? Na kwanini. Ndio utapata huyo ni wa upande ule. Yupo kiumbe rasmi ambae ni shetani au ibilis. Lusifaeli. Kila kitu kina chanzo wewe.Hakuna kiumbe rasmi shetani,hata wewe unaposhawishi uovu ni shetani, ushetani ni sifa,huyo shetani unayemsema(ibilisi) ni jini,majini wanna utashi kama wewe wa kufanya mema na maovu na wana hukumu pia kama wewe utavyohukumiwa, suleiman aliamuru majini yesu aliamuru pia majini yakatoka kwa mtu na kukimbilia baharini
iran hajaita mataifa mengine bali ameita mataifa ya kiislam, kwa nini iran aombe msaada wa waislam? waislam walishaungana kwenye 6 days war na wakapigwa ndani ya wiki moja tuu.Iran kuita wito wa mataifa mengine ni kuwaamsha waamke.
Israel ina ushirikiano na allies wake USA,UK,Germany, France,Canada.
Sasa waislam na wao wanakwama wapi badala ya kuwa na umoja kama Israel na wenzake!??
Kama waarabu wangekua na umoja leo hii Israel hapo ingetia adabu.
Hakuna kiumbe rasmi shetani,hata wewe unaposhawishi uovu ni shetani, ushetani ni sifa,huyo shetani unayemsema(ibilisi) ni jini, suleiman aliamuru hadi majini,yesu aliamuru majini yatoke yakimbilie baharini,majini ni viumbe wenye akili na utashi kama wewe,hivyo wana jukumu yao nao kama wewe.....Hata shetan aliumbwa kabla yako ndio maana unaambiwa uachane nae. Jini ni pepo mchafu ndio maana yalipokuwa yanamuona Yesu yanalia kuomba msamaha. Hakuna mtume hata mmoja aliwah kukaa na jin zaid ya mtume wenu wa majini.
Malaika hawezi kuasi,hakuumbwa hivyo,hana utashi,aliyeasi amri ya kumsujudia Adam ni ibilisi,yeye alikua jini,akijiona bora kuliko binadam, ibilisi ana jeshi lake katika majini na watu, ibilisi hakuwa jini pekee wakati anaasi,so siyo majini wote waovu, halafu kuzimu ni wapi!?..unaposema ulimwengu wa kiroho unamaanisha nini!?..jini ni physical beingUmekuja vizuri. Shetani ni uasi hata wewe ukitenda uovu ni shetan tayar. Ila umesahau kuwa tofauti ya mwanadamu na viumbe vya kiroho ni kuwa. Binadam wako katikat ya uovu na wema. Yaan sisi tumeumbiwa kuchagua wema au baya. Kama vile Mungu alivyo Baba wa mema yote anae viumbe vya kiroho vinavyomuunga mkono utawala wake ambao ni malaika na kama vile shetan alivyo baba wa uovu wote anao wafuasi wake au malaika walioasi pamoja nae. Ndio hayo majini mizimu nk. Hakunaga jin mtakatifu yote ni sehemu ya Shetani ndio maana nikakupa mfano mdogo nenda kafanye research yako. Ni nabii gani aliwakubali majin kama viumbe watakatifu zaid ya huyo wenu? Na kwanini. Ndio utapata huyo ni wa upande ule. Yupo kiumbe rasmi ambae ni shetani au ibilis. Lusifaeli. Kila kitu kina chanzo wewe.
Ndio maana nikakuambia hicho kitabu cha hadith kinawapotosha sana. Kabla ya chochote ulitakiwa usome tahmud ya kiyahud ili ujue kabla ya Uislam au ukristo Mungu alianzaje kusema na wanadamu ndio utajua hicho kitabu chenu ni upotovu mtupu. Hakuna hata nabii au mtume mmoja anasema shetani aliumbwa ibilisi. Aliumbwa kwanza malaika mzur baada ya kuasi ndio akawa ibilisi. Kitabu cha wayahud kinasema shetan alikuwa malaika tena alikuwa anasimamia kitengo cha sifa mbingun ndio akaasi. Baada ya kutaka kupindua kiti cha enzi ili zile sifa apewe yeye. Ndio akashushwa humu dunian na alias yeye na malaika zake yaan wale waliomuunga mkono. Ndio unapata majin humo mizimu nknk. Sasa usiwe mtu wa kumezeshwa tu toka nje ya box usiwe mtu wa kusoma vile unavyotaka tu hutajua mengine, soma na usivyopenda upate maarifa.Hakuna kiumbe rasmi shetani,hata wewe unaposhawishi uovu ni shetani, ushetani ni sifa,huyo shetani unayemsema(ibilisi) ni jini, suleiman aliamuru hadi majini,yesu aliamuru majini yatoke yakimbilie baharini,majini ni viumbe wenye akili na utashi kama wewe,hivyo wana jukumu yao nao kama wewe.....
Malaika hawezi kuasi,hakuumbwa hivyo,hana utashi,aliyeasi amri ya kumsujudia Adam ni ibilisi,yeye alikua jini,akijiona bora kuliko binadam, ibilisi ana jeshi lake katika majini na watu, ibilisi hakuwa jini pekee wakati anaasi,so siyo majini wote waovu, halafu kuzimu ni wapi!?..unaposema ulimwengu wa kiroho unamaanisha nini!?..jini ni physical being
Aliyeuliwa na kufufuka alishawaeleza wanafunzi wake mapema sana kabla ya tukio. Shetani ni mshenzi sana!Roman empire
Nashangaa watu wanajitoa ufahamu, eti Israeli inaitegemea USA kufanya yote wanayo yafanya. Israeli kwa habari za intellegensia ni habari nyingine. Imagine Osama anapanga kuipiga Marekani halafu Mossaid wakanasa na wakawaokoa watu wao kwa kutokwenda kazini siku hiyo, just ImagineMkuu nimekubali andishi lako kumbe hata USA anaitegemea Israel kwa technology.
Hmm. unasema kweli...?Si Tanzania kuna wavaa kobaz pia...