Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Akili zako zinafanya kazi vizuri kaka!??
Iran kusema nchi za kiislam ziungane dhidi ya Israel haimaanishi mzozo ni wa kidini.
Uislam ndio una population kubwa hapo middle east.
Ila ugomvi ni ardhi na tawala.
Ndio maana nikakwambia nenda kasome kuanzia 1971 arab and jews crisis.
Utajua shida ilianzia wapi.
Israel ilikua iwe taifa tangu 1920 huko ila kuna yaliyotokea katika wakati huo.
irana alijua yeye alone anaweza kupambana na myahudi ila kaona mmh huu mziki sio wenyewe asee sasa anaomba msaada kwa waislam wengine mwanzo si alijifanya kidume?
 
irana alijua yeye alone anaweza kupambana na myahudi ila kaona mmh huu mziki sio wenyewe asee sasa anaomba msaada kwa waislam wengine mwanzo si alijifanya kidume?
Iran kuita wito wa mataifa mengine ni kuwaamsha waamke.
Israel ina ushirikiano na allies wake USA,UK,Germany, France,Canada.
Sasa waislam na wao wanakwama wapi badala ya kuwa na umoja kama Israel na wenzake!??
Kama waarabu wangekua na umoja leo hii Israel hapo ingetia adabu.
 
Mjadala mkubwa ni kuhusu Israel kuua lile gaidi la Hezbollah. Wadau wa hapa wanadai kuwa Israel kachokoza moto na sasa atakiona.

Natamani kuwauliza kama wanakumbuka kuwa wiki iliyopita magaidi kadhaa waliuawa kwa milipuko ya vifaa vya mawasiliano na kijiwe hikihiki kikasema Israel amekwisha.

Au hawa jamaa wanaongea kwa codes mimi ndio siwaelewi? Wanavyojadili hapa ni kama Israel anapelekewa moto wa kufa mtu.

Shida ya wanywa kahawa hawana reasoning
 
Unatenganisha vipi pombe na uyahudi!?..hujakuta habari za majini na yesu mpaka useme wayahudi hawajui majini!?.. halafu majini,pombe,bikira siyo nguzo za uislam Kama utatu mtakatifu kwa ukiristo,lakini Kama haitoshi yesu aliahidi atakunywa pombe kwenye ufalme
Unatenganisha vipi pombe na uyahudi!?..hujakuta habari za majini na yesu mpaka useme wayahudi hawajui majini!?.. halafu majini,pombe,bikira siyo nguzo za uislam Kama utatu mtakatifu kwa ukiristo,lakini Kama haitoshi yesu aliahidi atakunywa pombe kwenye ufalme wa milele
Mbona unajichanganya. Kwakukusaidia nenda kasome kitabu cha wayahud halafu usome Quran ndio utajua vilivyo mbingu na ardhi.
 
Sometimes hili la Marekani kuisaidia Israeli I think mengine tunayakuza sana, kwa mtazamo wangu (naweza kua sahihi or not ) sidhani kama Israeli haijiwezi kiasi hicho hadi kila kitu isaidiwe; nitakumbushia mifano michache ambayo wengi wetu humu tunaikumbuka.
1. Kama sikosei ni mwaka juzi, Marekani alimuua komandoo 1 na mwalimu wa jeshi kutoka Iran pale Iraq, Iran waliahidi kulipa kisasi kwa USA na kweli walifanya hivo, Iran ilituma Salam kwenye kambi moja ya USA na walikufa wana jeshi kadhaa wa USA, Marekani waliufyata kwa Iran, hawakujibu tena. Lakini linapokuja suala la Israeli na Iran, Israeli amekua anafanya anacho kitaka Iran, anaua yeyote anaemtaka, kaua wataalamu wa nuclear tena pale pale Tehran, kaua rais wao juzi, kaua kiongozi wa Hamas juzi tu tena .makao makuu ya nchi; yaani Israeli inaonekana haiiogopi kabisa Iran kama USA inavyo iogopa Iran. Najiuliza, huyu kweli anategemea msaada wa USA tu kujilinda?
2. Mwaka 2008 kuna watalii wa Kiyahudi walikwenda hapo kwa majirani zetu Kenya; walifikia hotel ya Paradise jijini Mombasa, walikua na ndege yao; magaidi ya Al Quida walitaka kuwaua Wayahudi wale, sijui Wayahudi wale walihisi, wakaondoka kabla ya muda to the airport, magaidi wairushia makombora ndege yao ya abiria but hakukua na madhara yoyote kwa ndege yao; before that ndege za abiria hazikuaga na protection hizo duniani, from that time mataifa ya nje yaka copy technology hiyo; hawa kweli wanategemea msaada wa USA pekee yao?
3. September 11, 2001 Osama bin Laden alipiga world trade center pamoja na kushambulia makao makuu ya jeshi la USA, watu wengi sana walikufa; kwenye lile jengo la World trade center kulikua na Wayahudi wengi tu waliokua wanafanya kazi mjengoni but the records says, hakuna Myahudi hata mmoja aliyekua anafanya kazi kwenye lile jengo ambaye alikufa; why? Hakuna Myahudi alikwenda kazini siku hiyo. Hawa tunaweza kusema wanaitegemea USA na mataifa ya magharibi pekee?
4. Juzi hapa baada ya Israeli kuua makomandoo 7 wa Iran pale Syria, Iran ilirusha rocket 🚀 300 but jamaa wali intercept rocket 298; USA na mataifa marafiki waliiomba sana Israeli isijibu, jamaa hawakuelewa, walijibu kwa kuipiga Iran though hakukua na madhara makubwa kiviile kwa Iran, bado tunasema hawa jamaa wanaishi kwa kutegemea kusaidiwa na USA? Let's not kid ourselves brothers; jamaa wana uwezo, wana akili. IDF na Mossaid ni watu bora sana duniani kwenye ulimwengu wa intelligence
Mkuu nimekubali andishi lako kumbe hata USA anaitegemea Israel kwa technology.
 
Mbona unajichanganya. Kwakukusaidia nenda kasome kitabu cha wayahud halafu usome Quran ndio utajua vilivyo mbingu na ardhi.
Najichanganya nini?.. uislam na uyahudi zote monotheistic religion,zinaruhusu polygamy,udhu,kuchinja mnyama kutokula vibudu, nguruwe haram.. tofauti na dini yako zao la upagani
 
Najichanganya nini?.. uislam na uyahudi zote monotheistic religion,zinaruhusu polygamy,udhu,kuchinja mnyama kutokula vibudu, nguruwe haram.. tofauti na dini yako zao la upagani
Uislamu ni ushetan bab sema hawajakufungua. Huwez kusilimisha majin wewe. Ninabii gan kwenye historia aliwah fanya huo ushetan nikuulize
 
Uislamu ni ushetan bab sema hawajakufungua. Huwez kusilimisha majin wewe. Ninabii gan kwenye historia aliwah fanya huo ushetan nikuulize
Majini yaliumbwa na Mungu kabla yako,hata yesu alijua kuwasiliana nayo ndiyo maana aliweza kuyatimua,jini ana utashi kama wewe,wa kufanya mema na maovu
 
Mjadala mkubwa ni kuhusu Israel kuua lile gaidi la Hezbollah. Wadau wa hapa wanadai kuwa Israel kachokoza moto na sasa atakiona.

Natamani kuwauliza kama wanakumbuka kuwa wiki iliyopita magaidi kadhaa waliuawa kwa milipuko ya vifaa vya mawasiliano na kijiwe hikihiki kikasema Israel amekwisha.

Au hawa jamaa wanaongea kwa codes mimi ndio siwaelewi? Wanavyojadili hapa ni kama Israel anapelekewa moto wa kufa mtu.
Hao ni kobaz
 
Ni wazi kuwa Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa mda mrefu Africa na Duniani kwa ujumla.
Pia tuna viongozi imara wenye Mbinu bora sana kama Makonda, Gwajina, Hamisi Tale na wengineo ambao kwa namna moja au nyingine wangeweza kuliwezesha jahazi la Hezbollah lisizame.

Unakaribishwa kwa maoni zaidi. Ahsante!​
 
Back
Top Bottom