Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu; endelea kuamini hivo, sio dhambi wala. Sina interest yeyote kwa hu ubishi. Naona unahama hama point tu, haupo systematic kwa HOJA zako. Utakua na upungufu wa akili eti uanze kupigana na mataifa mengine kwa kukaa nchi ambayo haina madini, haina mafuta, haina gas nk eti vita vyote hivo upigane kwasababu ya Marekani? Stupid. Labda jiulize swali; why mataifa ya Kiarabu (tena sio Waarabu halisi )yanayo unga mkono Wapalestina ni only Iran, Yemen only? The rest of Arabic countries including Saudia wapo kinyume na Waarabu hao wa mchongo? Kwamba wewe Mtanzania unajua zaidi historia ya wale watu kuwazidi Saudia, Kuwait, Qatar nk?Hapohapo kwao wapi wewe,mtu kahamia hapo 1945, unaleta uwongo hapa
Huku mnapata gahawa taraiibu .Mjadala mkubwa ni kuhusu Israel kuua lile gaidi la Hezbollah. Wadau wa hapa wanadai kuwa Israel kachokoza moto na sasa atakiona.
Natamani kuwauliza kama wanakumbuka kuwa wiki iliyopita magaidi kadhaa waliuawa kwa milipuko ya vifaa vya mawasiliano na kijiwe hikihiki kikasema Israel amekwisha.
Au hawa jamaa wanaongea kwa codes mimi ndio siwaelewi? Wanavyojadili hapa ni kama Israel anapelekewa moto wa kufa mtu.
Umesema kijiwe cha kahawa,Mjadala mkubwa ni kuhusu Israel kuua lile gaidi la Hezbollah. Wadau wa hapa wanadai kuwa Israel kachokoza moto na sasa atakiona.
Natamani kuwauliza kama wanakumbuka kuwa wiki iliyopita magaidi kadhaa waliuawa kwa milipuko ya vifaa vya mawasiliano na kijiwe hikihiki kikasema Israel amekwisha.
Au hawa jamaa wanaongea kwa codes mimi ndio siwaelewi? Wanavyojadili hapa ni kama Israel anapelekewa moto wa kufa mtu.
Huo mkono wa netanyahu kama alikua anamuagaIsrael waliwawekea mtego Hezbollah na wakaingia kichwa kichwa. Amid yale mashinikizo ya ceasefire kule UN kutoka viongozi mbali mbali, wakaiweka safari ya Netanyahu very close na siku anatakiwa kutoa hotuba. Nasrallah na wenzie walipoona ameondoka wakajua Israel wako occupied na kinachoendelea UN, hivyo wakajiamisha na kurudi kwenye bunker la HQ kufanya kikao cha kupanga maangamizi kwa Israel. Nasrallah hata akaangalia hotuba ya Netanyahu. But hakujua kuwa tayari ndege za Maangamizi zilikuwa njiani. Picha hiyo akiangalia TV kwa mara ya mwisho
View attachment 3109843
Israel waliwawekea mtego Hezbollah na wakaingia kichwa kichwa. Amid yale mashinikizo ya ceasefire kule UN kutoka viongozi mbali mbali, wakaiweka safari ya Netanyahu very close na siku anatakiwa kutoa hotuba. Nasrallah na wenzie walipoona ameondoka wakajua Israel wako occupied na kinachoendelea UN, hivyo wakajiamisha na kurudi kwenye bunker la HQ kufanya kikao cha kupanga maangamizi kwa Israel. Nasrallah hata akaangalia hotuba ya Netanyahu. But hakujua kuwa tayari ndege za Maangamizi zilikuwa njiani. Picha hiyo akiangalia TV kwa mara ya mwisho
View attachment 3109843
inyooooongee kama huwa wanajua kila mtu atakufa kwanin wao wanaapa kuwafuta waisrael na wasisubiri wafe vifo vya kawaida zam yao ikifikaaaKila nafsi itaonja umauti, hivyo usifurahie ya mwenzio wakati na wewe utaondoka any time
Ariel alishakufa, Nyau itafikia zamu yake n.k
Mkuu; endelea kuamini hivo, sio dhambi wala. Sina interest yeyote kwa hu ubishi. Naona unahama hama point tu, haupo systematic kwa HOJA zako. Utakua na upungufu wa akili eti uanze kupigana na mataifa mengine kwa kukaa nchi ambayo haina madini, haina mafuta, haina gas nk eti vita vyote hivo upigane kwasababu ya Marekani? Stupid. Labda jiulize swali; why mataifa ya Kiarabu (tena sio Waarabu halisi )yanayo unga mkono Wapalestina ni only Iran, Yemen only? The rest of Arabic countries including Saudia wapo kinyume na Waarabu hao wa mchongo? Kwamba wewe Mtanzania unajua zaidi historia ya wale watu kuwazidi Saudia, Kuwait, Qatar nk?
| Learn more This article needs additional citations for verification. (October 2023) |
Unatenganisha vipi pombe na uyahudi!?..hujakuta habari za majini na yesu mpaka useme wayahudi hawajui majini!?.. halafu majini,pombe,bikira siyo nguzo za uislam Kama utatu mtakatifu kwa ukiristo,lakini Kama haitoshi yesu aliahidi atakunywa pombe kwenye ufalme wa mileleHata hii habar ya pombe cjui mabikira cjui Muhammad na Allah cjui majini kwa wayahud ni upuuzi bro. Hata kuabudu jiwe la maka kwao ni story. Dini zote zinakubaliana kuna Mungu na yapo maisha baada ya kifo lakin namna ya kumfikia kila Dini ina njia zake. Ndio maana zinaitwa Abraham's.
mzozo wa mashariki ya kati ni dini mzee.. jiulize kwa nini ayatolah wa iran jana anasema muslim countries zijiunge kupambana na israel? kwa nini hajasema nchi zote za dunia kasema all muslims? vikundi vyote vya kupambana na israel mashariki ya kati vinaanzishwa na mashehe au viongozi wa kiislam mfano hamas na hezbolaKasome kuanzia 1917.
Utajua mzozo nini.
Akili zako zinafanya kazi vizuri kaka!??mzozo wa mashariki ya kati ni dini mzee.. jiulize kwa nini ayatolah wa iran jana anasema muslim countries zijiunge kupambana na israel? kwa nini hajasema nchi zote za dunia kasema all muslims? vikundi vyote vya kupambana na israel mashariki ya kati vinaanzishwa na mashehe au viongozi wa kiislam mfano hamas na hezbola