Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shehe Kundecho?Ni wazi kuwa Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa mda mrefu Africa na Duniani kwa ujumla.
Pia tuna viongozi imara wenye Mbinu bora sana kama Makonda, Gwajina, Hamisi Tale na wengineo ambao kwa namna moja au nyingine wangeweza kuliwezesha jahazi la Hezbollah lisizame.
Unakaribishwa kwa maoni zaidi. Ahsante!
Tanzania tuna watu shupavu sana naamini viongozi hao wataliendesha vyema kundi hilo😂 huwapendi wenzako Bora ungesema Faiza
Hawana vision hata kidogoTanzania tuna watu shupavu sana naamini viongozi hao wataliendesha vyema kundi hilo
Babu Tale si umwache amalizane kwanza na ya kwa P.Didy?Ni wazi kuwa Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa mda mrefu Africa na Duniani kwa ujumla.
Pia tuna viongozi imara wenye Mbinu bora sana kama Makonda, Gwajina, Hamisi Tale na wengineo ambao kwa namna moja au nyingine wangeweza kuliwezesha jahazi la Hezbollah lisizame.
Unakaribishwa kwa maoni zaidi. Ahsante!
Sawa katika harakati za kukabiliana nao lazima hayo uyasemayo yatokee lengo ni kuisambaratisha Hizbollah.Sio Hizbollah tu na wakiristo ambao wanachukiwa zaidi na hawa mayahudi
Wapi huko mkuuMjadala mkubwa ni kuhusu Israel kuua lile gaidi la Hezbollah. Wadau wa hapa wanadai kuwa Israel kachokoza moto na sasa atakiona.
Natamani kuwauliza kama wanakumbuka kuwa wiki iliyopita magaidi kadhaa waliuawa kwa milipuko ya vifaa vya mawasiliano na kijiwe hikihiki kikasema Israel amekwisha.
Au hawa jamaa wanaongea kwa codes mimi ndio siwaelewi? Wanavyojadili hapa ni kama Israel anapelekewa moto wa kufa mtu.
Mungu yupo mmoja tu sema watu wanamuelezea katika katika mitazamo tofauti kutokana na vile kila mtu anavyoamini yeye.Mkuu; hapo unamzunguzia Mungu yupi specific?
Majini kisirani***** wamefumua hadi pete ya kufugia majini
Huyooo Mtotooo! Wavaaa Kobazii huyooo mtotooo x2 Mtotoo Kauuutaaa X3Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.
View attachment 3109625
Roman empireAliyeudanganya ulimwengu kwamba Yesu alifufuka ni nani?
Yani bangi?😂😂😂We jamaa unatumiaga ile kitu, bisha?