Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Ni wazi kuwa Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa mda mrefu Africa na Duniani kwa ujumla.
Pia tuna viongozi imara wenye Mbinu bora sana kama Makonda, Gwajina, Hamisi Tale na wengineo ambao kwa namna moja au nyingine wangeweza kuliwezesha jahazi la Hezbollah lisizame.

Unakaribishwa kwa maoni zaidi. Ahsante!​
Shehe Kundecho?
 
Babu Tale si umwache amalizane kwanza na ya kwa P.Didy?
 
Mjadala mkubwa ni kuhusu Israel kuua lile gaidi la Hezbollah. Wadau wa hapa wanadai kuwa Israel kachokoza moto na sasa atakiona.

Natamani kuwauliza kama wanakumbuka kuwa wiki iliyopita magaidi kadhaa waliuawa kwa milipuko ya vifaa vya mawasiliano na kijiwe hikihiki kikasema Israel amekwisha.

Au hawa jamaa wanaongea kwa codes mimi ndio siwaelewi? Wanavyojadili hapa ni kama Israel anapelekewa moto wa kufa mtu.
Wapi huko mkuu
 
Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.

View attachment 3109625
Huyooo Mtotooo! Wavaaa Kobazii huyooo mtotooo x2 Mtotoo Kauuutaaa X3
 
Nampendekeza Webabu ashike nafasi ya Hasheem.
NB:Wainna lillah in advance ustaadh Webabu.😂😂😂
 
Back
Top Bottom