Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Mbona unanilisha maneno mkuu? Nani kasema huyo mtu kazaliwa mwaka 1945? Umepaniki mapema hivo? Narudia tu, mzee Netanyahu alikua RABI wa Kiyahudi, kazi yake ilikua kufundisha dini hapo hapo kwao na alikua anasafiri mataifa mbalimbali kwenda kuwafundisha Wayahudi walioko huko kuhusu mambo ya dini yao, moja kati ya watoto wake yaani Benjamin na Jonathan amezaliwa USA na mwingine hapo hapo Israeli. Anyway, labda point yako hapa ni ipi? Kwamba kina Netanyahu sio Wayahudi, right? Wayahudi halisi wako wapi?
Hapohapo kwao wapi wewe,mtu kahamia hapo 1945, unaleta uwongo hapa
 
Huyu mwanamama muoga NASRA atakuwa amekufa akiswali..Alikuwa muoga sana..Hajahudhuria mazishi ya shukri,akili wala kamanda wake yoyote.Sasa huko akhera alikoenda ataenda kuwa bikra...maana kafa kinyonge sana.. Hezbollah walimtafuta shukr..siku tano kwenye vifusi vya majengo..sasa huyu mwanamama aliefia pangoni sijui watatumia siku ngapi?? Mtu mwenye contact za waliotukodishia crane ya tani 100 Kwa ajili ya bwawa la rufiji atuwekee hapa jukwaani tuwatumie ubalozi WA Iran..Maana napata wasiwàsi NASRA hawatamkafini na ataoza akiwa na Gogo tumboni
 
Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.

View attachment 3109625
Umeamua kukejeli kifo chake. Allahu almustaanu.
 
Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.

View attachment 3109625
Israel waliwawekea mtego Hezbollah na wakaingia kichwa kichwa. Amid yale mashinikizo ya ceasefire kule UN kutoka viongozi mbali mbali, wakaiweka safari ya Netanyahu very close na siku anatakiwa kutoa hotuba. Nasrallah na wenzie walipoona ameondoka wakajua Israel wako occupied na kinachoendelea UN, hivyo wakajiamisha na kurudi kwenye bunker la HQ kufanya kikao cha kupanga maangamizi kwa Israel. Nasrallah hata akaangalia hotuba ya Netanyahu. But hakujua kuwa tayari ndege za Maangamizi zilikuwa njiani. Picha hiyo akiangalia TV kwa mara ya mwisho
Screenshot_20240928-052820_Chrome.jpg
 
Salute kwa Wayahudi
Naona mpaka pete lake la majini 70 limesambaratishwa
wajukuu wa Rebecca walitumia BCU-13 bunker buster bomb. Bomu ambalo linaweza penya ukuta wowote wenye unnen saizi ya mbuyu au muungano wa mibuyu minne.Hassan alijificha chini ya handaki urafu wa minazi ya kiarabu ile ionekanayo kisiju kwa ngalambe.bomu lilipenya mpaka kufikia alipo ndipo likalipuka vibaya sana kumpasua pasua vipande yeye Hassan na wakuu wake wa jeshi sita. maiti zao hazijai kibiliti. Viva wana Jacobo! Viva Mashabiki wa Israel!
 
Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.

View attachment 3109625
Unqogopa nini kijana?

Kifo ni kifo tu.

Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
 
usicheze na bomu liitwa BCU-13 Bunker buster. lilimfuata katika handaki alikojificha chini sana urefu wa minazi ya kiarabu uionayo zanzibar kiembe samaki. Hassan kachanwachanwa vibaya sana hata sura yake haionekani. Viongozi wa Iran sijui watajificha wapi.
Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.

View attachment 3109625
 
Unqogopa nini kijana?

Kifo ni kifo tu.

Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
utaenda lini katika mazishi yake? ushachelewa. alijitakia mwenyewe akionywa asipigane na mtu aliyemzidi akili hakusikia. BCU-13 bunker buster lilimlipukia akiwa chini ya handaki lenye mizege ya nguvu unenen wa muungano ya mibuyu sabini bomu lilimfuata huko huko na kumtafutia ajira mpya.Israel amemtafutia ajira mpya nasrallah Hassan ya kuwa ofisa habari mkimnyaaa . hutamsikia tena
 
Haviendani babu, uyahudi ni monotheistic wakati ukristu ni utatu mtakatifu,hiyo ni kufuru kubwa kwa waislam na wayahudi
Hata hii habar ya pombe cjui mabikira cjui Muhammad na Allah cjui majini kwa wayahud ni upuuzi bro. Hata kuabudu jiwe la maka kwao ni story. Dini zote zinakubaliana kuna Mungu na yapo maisha baada ya kifo lakin namna ya kumfikia kila Dini ina njia zake. Ndio maana zinaitwa Abraham's.
 
Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.

View attachment 3109625
Litukuzwe na lihimidiwe Milele na milele jina la MUNGU wa Israel
 
Israel waliwawekea mtego Hezbollah na wakaingia kichwa kichwa. Amid yale mashinikizo ya ceasefire kule UN kutoka viongozi mbali mbali, wakaiweka safari ya Netanyahu very close na siku anatakiwa kutoa hotuba. Nasrallah na wenzie walipoona ameondoka wakajua Israel wako occupied na kinachoendelea UN, hivyo wakajiamisha na kurudi kwenye bunker la HQ kufanya kikao cha kupanga maangamizi kwa Israel. Nasrallah hata akaangalia hotuba ya Netanyahu. But hakujua kuwa tayari ndege za Maangamizi zilikuwa njiani. Picha hiyo akiangalia TV kwa mara ya mwisho
View attachment 3109843
Netanyau..hapa analipungia mkono wakwaheri .. kobasi limekazana kuangalia kwa makn dakika 2 mbele kilemba kika lipuka
 
Kila nafsi itaonja umauti, hivyo usifurahie ya mwenzio wakati na wewe utaondoka any time

Ariel alishakufa, Nyau itafikia zamu yake n.k
 
Back
Top Bottom