Mbona unanilisha maneno mkuu? Nani kasema huyo mtu kazaliwa mwaka 1945? Umepaniki mapema hivo? Narudia tu, mzee Netanyahu alikua RABI wa Kiyahudi, kazi yake ilikua kufundisha dini hapo hapo kwao na alikua anasafiri mataifa mbalimbali kwenda kuwafundisha Wayahudi walioko huko kuhusu mambo ya dini yao, moja kati ya watoto wake yaani Benjamin na Jonathan amezaliwa USA na mwingine hapo hapo Israeli. Anyway, labda point yako hapa ni ipi? Kwamba kina Netanyahu sio Wayahudi, right? Wayahudi halisi wako wapi?