Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

kwanini wanaitwa mazayuni?
Iron like Lion is zion-bob marley, zionism ni movement iliyozaa taifa la israel,siyo waisrael haswa bali wanajidai wayahudi,mfano netanyahu baba yake ni mpoland akiitwa benzion mileikowsky,alihamia palestine...
 
Isarel imeua Mkuu wa Hamas na VIONGOZI wake.

Imeua Viongozi wote wa HEZIBOLLAH .


Wairan walishindwa kulipiza Kisasi mauaji ya Mkuu wa Hamas, kwankisingizio Cha kujipanga...tayari supu imepoa,... Wakilipiza sahizi ,Israel itatifua vinu vya Nyukilia.

Haya Wa HEZIBOLLAH ni kama Mungu anawapa Hofu, mashambuliz yao wanapiga
Kwa kuogopa OGOPAA, yeye Israel anapeleka motooo haswaaa.
 
kwanini wanaitwa mazayuni?
Iron like Lion is zion-bob marley, zionism ni movement iliyozaa taifa la israel,siyo waisrael haswa bali wanajidai wayahudi,mfano netanyahu baba yake ni mpoland akiitwa benzion mileikowsky,alihamia palestine
 
na ninani atasema ili hali viongozi waandamizi WOTE wamelima vichwa, ila bora Hamas walijikaza hawa Hazibollah waliokua wanapambwa na FaizaFixy na Malaria 2 ndio bure kabisa yani wamedhirisha jinsi waarabu ni mende tupu mbele ya Myahudi
Wana katiba zao, unafikiri hawakujua kwamba kuna siku Nasrallah ataachia ngazi?
Kuna viongozi wengine wapo watakuja, kuna wasemaji watasema...
 
Lakini tusubiri tamko rasmi kutoka kwa Hezbollah wakiri kama ni kweli Nasrallah kafariki.

Kama ni kweli, nadhani Hezbollah haitoisikiliza serikali ya Lebanon kuhusu kuingia vitani na Israel, itakuwa deadly war...
Mkuu. Narudia tena kukuita MKUU. Yahudi akisema ameua 99% huwa ni kweli. Hawa intelligence yao ipo hai. Na hao hizbolah hawana uwezo wa kupigana na myahudi.
 

Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.


Mazayuni na magahribi na mapoyoyo wao wanafikiri ni Hollywood movie, akifa mbabe movie imekwisha.

Ndiyo kwanza wamejigeuza pweza kujipalilia mkaa wao wenywe.
 
Anafuata kiongozi wa houthi halafu Ayatollah ndio wa mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…