Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Netanyahu aliwaambianjana kwenye hotuba yake pale UN janankuwa hakuna wa kumzuia mpaka atimize lengo. Yule hata USA anajionea huruma kumgusa maana ashapandwa na mzuka. Mpaka awale vishundu wote wahuni wale
Kweli kabisa. Na Mwamba amepania kweli kweli. Cjui leo anaondoka na nani au yupi manake anawakula sambamba HAMAS na Hezbollah simultaneously.
Ila uzuri ni kwamba alisema na kutoa ONYO na hata jana 27/09/204 kule UNGA (UN) alisisitiza tena hilo japo kuwa hao vichwa-maji walitoka nje.
 
Washangaa hao magaidi ya Israel,kumuua huyo,walimpiga Yesu,wakamvalisha nepi,wakamsulubu,wakamuua,Yesu aliyekuja kwa ajili ya kuwakomboa wao waIsrael,na mpaka leo wanamwita mtoto wa nje ya ndoa.
 
Pigo kubwa kwa Iran....

Tungoje tuone Iran itachukua hatua gani.
 
Nimekumbuka quote kutoka movie ya munich (2005)
"Every man we've killed has been replaced by worse!"

Baada ya kuchapana watafute suluhu. Maana wasipofanya hivo watakuja wengine tu
 
Hezibullah walishawekwa mkononi, kuna mapandikizi mengi sana. Na Kwa sababu za kiuchumi nadhani mapandikizi ni zaidi ya kawaida.

Upo sahihi, kosa lingine Hezb walijisahau sana na kutumia mno teknolojia za mawasliano kama simu, tv, beeper etc. Imekuwa rahisi sana kuwa track. Hamas hasa ndani ya Gaza ni mwendo wa vi-memo tu, of course eneo ni ndogo hivyo inawezekana, lakini wamekaa mbali sana na hızı teknolojia za mawasiiano.
 
Huyu gaidi Israel,alimpiga,akamvalisha nepi,akamsulubu Yesu,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,Yesu aliyekuja kuwakomboa wana Israel,ije kuwa wengine;ambao hawakutumwa na Mungu,kuwakomboa.
 
Wayahudi hawamwamini Yesu usipotoshe. Mwokozi wao hajashuka
We ndo usipotoshe watu kwa uongo wako, sio wayahudi wote hawamwamini yesu, Paulo aliyesambaza Injili sehemu nyingi za hapo Middle East alikuwa sio myahudi?? Wanafunzi wa Yesu 12 hawakuwa wayahudi?? Wayahudi ndo walikuwa watu wa kwanza kumkubali yesu na kusambaza injili na haohao ndo wa kwanza kumkataa yesu.

Kwaio unapozungumzia wayahudi fahamu ndo watu walioibeba injili na kuisambaza sehemu mbalimbali za duniani hadi africa, don't generalise kwamba wayahudi wote hawamwamini yesu.
 
Nanukuu: "Tungoje tuone Iran itachukua hatua gani".
Kama lini kwa mfano ambapo Iran ilichukua hatua.
Kama ilipoishambulia Israel kwa maelfu ya drone na missiles baada ya ubalozi wao huko Syria kushambuliwa.
 
Kuna waarabu wafia dini humu waliandika mara nyingi tuu kwamba Israel ikijaribu kupigana na hezbollah basi itapigwa vibaya mno sijui wanajisikiaje huko waliko 🤔 sisi tuendelee kupambana na janga la taifa joka la kijani vita haituhusu, dj walete kwa wimbo wa Jaiva mtoto kautaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…