Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง inakwenda kuwa sehemu salama pa kuishi.

Bado ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท!๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Wanaopigana ni waarabu na wayaudi, sisi waafrica hata tufanyeje wao watazid kutuona tu ni waafrica na haitobadirisha chochote
Sikubaliani na kauli hii kwa kiasi kikubwa kwani wanaopigana kiuhalisia ni Hezbollah na Israel (IDF)
Waarabu wapo hata huko nchini Israeli na hakuna shida na pia Wayahudi wapo huko Lebanon na hawana shida.
 
Hao wanajitetea wao, na sisi tunajitetea sisi, kila moja wao ana sababu ya kugombana na mwenzake, ila sisi hatuna sababu hyo, ni ujinga kushabikia
Waislam wapo upande wa utu wakati wakristu wanasukumwa na chuki dhidi ya waislam hivyo wanakua upande wa zayuni
 
Pagers zimewacost
Kumbe pagers ilikuwa primary target secondary target ni pale walipobadili kuanza Kutumia hivyo vingine ndio kabisa wako uchi kutokea tel Aviv
Ila kwanini Nasra kaenda kujificha kwa wanawake na watoto!?
 
Waarabu na Waislamu wananyukwa kweli hadi wanatia huruma ๐Ÿคฃ.
Tatizo pale Middle East ni Iran, kila mtu anamuogopa kwa sababu ya kuanzisha vikundi vya hovyo.

Waarabu wengine wameamua kukaa pembeni ili warahisishiwe kazi yao

Saudi anachekelea sana
 
Osama bin Laden alikuwa surveilled na stealth drone, RQ-170.

Drone ilikuwa na uwezo wa kupiga picha na kurekodi video.

Yawezekana kabisa Israel nao wanawafuatilia hao watu na drones ambazo haziwezi kuwa detected na radar.

Na ni drones zenye uwezo wa kutoa feedback ya photos na video.
Hio RQ 170 Iran waliikamata ilikuwa 2011 kama sijasahau.. ilingia anga ya Iran, haijulikani Iran walitumia utaalamu upi kukamata stealth drone

Ilikuwa aibu kwa US, serikali ikatangaza hilo zoezi lilikuwa chini ya CIA..
 
Kuna waarabu wafia dini humu waliandika mara nyingi tuu kwamba Israel ikijaribu kupigana na hezbollah basi itapigwa vibaya mno sijui wanajisikiaje huko waliko ๐Ÿค” dj walete kwa wimbo wa Jaiva mtoto kautaka
Wanadhan Israel anapiga usiku Ili waanze kujitetea tena oh ..anaua watt...Sasa hivi imekuwa ni mchezo wa wazi...tunakupiga mchana kweupe na
Naangalia live coverage kupitia Aljazeera Kuna maandishi mekundu yanapita hapa chini wanasema
" Iranian supreme leader has been taken to safe place as IDF bombs Hizbullah "
Bunker NI hatari c kwa kiumbe wa juu ya ardhi au chini...unafukuliwa tu
 
Sikubaliani na kauli hii kwa kiasi kikubwa kwani wanaopigana kiuhalisia ni Hezbollah na Israel (IDF)
Waarabu wapo hata huko nchini Israeli na hakuna shida na pia Wayahudi wapo huko Lebanon na hawana shida.
Na ndo maana nasema sisi waafrica kushabikia upande tunakosea, hao Hezbollah wakisukumwa na Iran wanaamin njia pekee ni kuua Wayaudi wote mana hapo ni kwao yani ardhi yao, wayaudi pia wanaamin njia pekee ya kuzuia maafa kwao ni kumaziza ushindani wote mda huu wakati wao wana advantage kwenye military technology, hao Hezbollah wao isingekuwa technology ya Israel nao wangeua sana tu
 
Naangalia live coverage kupitia Aljazeera Kuna maandishi mekundu yanapita hapa chini wanasema
" Iranian supreme leader has been taken to safe place as IDF bombs Hizbullah "

Hapo hapo Irani Kuna raia wanaandamana eti wanataka Iran iishambulie Israel kulipiza kisasi wakati huo huo Khamenei umma umetangaziwa kwamba kahifadhiwa sehemu salama kuhofia kuuwawa na IDF sasa unabaki kujiuliza Ina maana hawa watu hawajifunzi? Waafrika tuna maujinga yetu mengi ila Hawa waarabu ni too much aisee.
 
Sote kwa pamoja tuseme takbiiiir.

Lilikuwa swala la muda tu hata yule Al Karaki naye kaliwa kichwa kiufupi safu nzima ya uongozi wa Hizbullah tunavyoongea muda huu wanakula kitimoto, wanaogelea kwenye mito ya pombe na na kutandika bikra kwenda mbele nahisi kimoyomoyo wanawashukuru IDF huko kuzimu waliko.
twakbwiiriii
 
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi, Tukalia tulipoikumbuka Sayuni.

2 Katika miti iliyo katikati yake Tulivitundika vinubi vyetu.

3 Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka furaha; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.

4 Tuuimbeje wimbo wa BWANA Katika nchi ya ugeni?

5 Ee Yerusalemu, nikikusahau wewe, Mkono wangu wa kuume na usahau.

6 Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka. Nisipoikuza Yerusalemu Zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.

7 Ee BWANA, uwakumbuke wana wa Edomu, Siku ya Yerusalemu. Waliosema, Bomoeni! Bomoeni hata misingini!


8 Ee binti Babeli, uliye karibu na kuangamia, Heri atakayekupatiliza, ulivyotupatiliza sisi.


9 Heri yeye atakayewakamata wadogo wako, Na kuwaseta wao juu ya mwamba.
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
 
God bless Israel
Kama unai-support israel kwa sababu ni wakiristo wenzako pole sana, Dini ya mayahudi/israle ni Judaism wao hawaamini kwenye yesu na wanamtemea mate yesu wanasema ni mtoto kazaliwa nje ya ndoa, mtoto wa zinaa na vita hivi vinavyoendelea wakiristo wengi sana wameshauliwa ni hao Israel unaowanga mkono. wameuliwa ndani ya Israel na wengine wengi walioko palestina pia waliwauwa na mayahudi waliingia hadi makanisani kuwashona risasi wakiristo.

Israel nakuwa ni wakiristo ilikuwa ni propaganda ilienezwa na magharibi na US wawapende wa-israel na kuwaaminisha ni wakiristo wenzao, na Wazungu ndio waliobadilisha mistrari ya bibilia na kuweka ya kwao kwamba eti Israel ni taifa teule la mungu,

Ni kutokujielewa tu, Hao wakiristo wenzako huko kote duniani wanaadamana kuupinga unyama wa Israel, lakini hata huko Israel kwenyewe pia wanapinga maandamano miji yote
 
Back
Top Bottom