Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikubaliani na kauli hii kwa kiasi kikubwa kwani wanaopigana kiuhalisia ni Hezbollah na Israel (IDF)Wanaopigana ni waarabu na wayaudi, sisi waafrica hata tufanyeje wao watazid kutuona tu ni waafrica na haitobadirisha chochote
Waislam wapo upande wa utu wakati wakristu wanasukumwa na chuki dhidi ya waislam hivyo wanakua upande wa zayuni
Kumbe pagers ilikuwa primary target secondary target ni pale walipobadili kuanza Kutumia hivyo vingine ndio kabisa wako uchi kutokea tel AvivPagers zimewacost
Kwahii Mentality imewasaidia nini zaidi ya Mauti?!Kwenye usaliti huo hawakosekani walebanon wakiristo
Tatizo pale Middle East ni Iran, kila mtu anamuogopa kwa sababu ya kuanzisha vikundi vya hovyo.Waarabu na Waislamu wananyukwa kweli hadi wanatia huruma ๐คฃ.
Hio RQ 170 Iran waliikamata ilikuwa 2011 kama sijasahau.. ilingia anga ya Iran, haijulikani Iran walitumia utaalamu upi kukamata stealth droneOsama bin Laden alikuwa surveilled na stealth drone, RQ-170.
Drone ilikuwa na uwezo wa kupiga picha na kurekodi video.
Yawezekana kabisa Israel nao wanawafuatilia hao watu na drones ambazo haziwezi kuwa detected na radar.
Na ni drones zenye uwezo wa kutoa feedback ya photos na video.
Wanadhan Israel anapiga usiku Ili waanze kujitetea tena oh ..anaua watt...Sasa hivi imekuwa ni mchezo wa wazi...tunakupiga mchana kweupe naKuna waarabu wafia dini humu waliandika mara nyingi tuu kwamba Israel ikijaribu kupigana na hezbollah basi itapigwa vibaya mno sijui wanajisikiaje huko waliko ๐ค dj walete kwa wimbo wa Jaiva mtoto kautaka
Bunker NI hatari c kwa kiumbe wa juu ya ardhi au chini...unafukuliwa tuNaangalia live coverage kupitia Aljazeera Kuna maandishi mekundu yanapita hapa chini wanasema
" Iranian supreme leader has been taken to safe place as IDF bombs Hizbullah "
Tuwaulize wa mabaoni na kitasengwaTawi la Hizborah la Yombo na kule Kwa mtogole wanasemaje?
Na ndo maana nasema sisi waafrica kushabikia upande tunakosea, hao Hezbollah wakisukumwa na Iran wanaamin njia pekee ni kuua Wayaudi wote mana hapo ni kwao yani ardhi yao, wayaudi pia wanaamin njia pekee ya kuzuia maafa kwao ni kumaziza ushindani wote mda huu wakati wao wana advantage kwenye military technology, hao Hezbollah wao isingekuwa technology ya Israel nao wangeua sana tuSikubaliani na kauli hii kwa kiasi kikubwa kwani wanaopigana kiuhalisia ni Hezbollah na Israel (IDF)
Waarabu wapo hata huko nchini Israeli na hakuna shida na pia Wayahudi wapo huko Lebanon na hawana shida.
Naangalia live coverage kupitia Aljazeera Kuna maandishi mekundu yanapita hapa chini wanasema
" Iranian supreme leader has been taken to safe place as IDF bombs Hizbullah "
Hapo hapo Irani Kuna raia wanaandamana eti wanataka Iran iishambulie Israel kulipiza kisasi wakati huo huo Khamenei umma umetangaziwa kwamba kahifadhiwa sehemu salama kuhofia kuuwawa na IDF sasa unabaki kujiuliza Ina maana hawa watu hawajifunzi? Waafrika tuna maujinga yetu mengi ila Hawa waarabu ni too much aisee.
twakbwiiriiiSote kwa pamoja tuseme takbiiiir.
Lilikuwa swala la muda tu hata yule Al Karaki naye kaliwa kichwa kiufupi safu nzima ya uongozi wa Hizbullah tunavyoongea muda huu wanakula kitimoto, wanaogelea kwenye mito ya pombe na na kutandika bikra kwenda mbele nahisi kimoyomoyo wanawashukuru IDF huko kuzimu waliko.
AminaKwani bwana akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu? Warumi 8:31
Itakua hujaona makaburi ya wabeba misalabaKwahii Mentality imewasaidia nini zaidi ya Mauti?!
UwongoUnaambiwa the enemy of your enermy is your friend, hata hao walebanon upande wa Shia na wakristo wanafanyiwa mabaya sana na hao Hezbollah
Kama unai-support israel kwa sababu ni wakiristo wenzako pole sana, Dini ya mayahudi/israle ni Judaism wao hawaamini kwenye yesu na wanamtemea mate yesu wanasema ni mtoto kazaliwa nje ya ndoa, mtoto wa zinaa na vita hivi vinavyoendelea wakiristo wengi sana wameshauliwa ni hao Israel unaowanga mkono. wameuliwa ndani ya Israel na wengine wengi walioko palestina pia waliwauwa na mayahudi waliingia hadi makanisani kuwashona risasi wakiristo.God bless Israel
Hata hivyo Lebanon siyo nchi ya kiislamu, ni nchi ya waislamu+ wakristo+ wayahudiWaarabu na Waislamu wananyukwa kweli hadi wanatia huruma ๐คฃ.