residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kishindo cha Israel,kimeishitua dunia...kishindooo,kishindooooKwani bwana akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu? Warumi 8:31
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishindo cha Israel,kimeishitua dunia...kishindooo,kishindooooKwani bwana akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu? Warumi 8:31
shura ya maimam wa JF bado wanaendelea na kikao kwanza maana hawaamini kinachoendelea huko Lebnan (in Ummy mwiheri voice)Hawapo wa kutoa taarifa maana wote wamekwenda na maji pamoja na vifaa vyao na miili yao haitaonekana milele maana mabomu zaidi ya 100 yametumika kuhakikisha habaki mtu
Na wao wanajua kabisa wakristu duniani kote wanawapenda, wanawatetea na kuwapigania kwa sababu wakristu ni wajanja, wamesoma Biblia vizuri sio kama wale wanaokariri vifungu na kwenda kwenye midahalo. Wakristu wanajua ukuu na utofauti wa Taifa la izrael walivyopewa na Mungu. Utake ni hivyo hivyo usitake ni hivyo hivyo huo ni upendeleo maalumu Mungu mwenyewe kaamua. Hivyo ukijifanya unataka kupigana na izrael ,unapigana na Mungu na upo kwenye hatari ya kujiangamiza mwenyuwe. Utake ni hivyo hivyo usitake ni hivyo hivyo. Ukitaka uwe salama mpende na mpiganie izraelKama unai-support israel kwa sababu ni wakiristo wenzako pole sana, Dini ya mayahudi/israle ni Judaism wao hawaamini kwenye yesu na wanamtemea mate yesu wanasema ni mtoto kazaliwa nje ya ndoa, mtoto wa zinaa na vita hivi vinavyoendelea wakiristo wengi sana wameshauliwa ni hao Israel unaowanga mkono. wameuliwa ndani ya Israel na wengine wengi walioko palestina pia waliwauwa na mayahudi waliingia hadi makanisani kuwashona risasi wakiristo.
Israel nakuwa ni wakiristo ilikuwa ni propaganda ilienezwa na magharibi na US wawapende wa-israel na kuwaaminisha ni wakiristo wenzao, na Wazungu ndio waliobadilisha mistrari ya bibilia na kuweka ya kwao kwamba eti Israel ni taifa teule la mungu,
Ni kutokujielewa tu, Hao wakiristo wenzako huko kote duniani wanaadamana kuupinga unyama wa Israel, lakini hata huko Israel kwenyewe pia wanapinga maandamano miji yote
Kinachonwaathiri hao waarabu ni usaliti wa ndani. Intelijensia yao ipo weak na inavuja mno. Mipango wanapanga usiku. Baada ya dakika chache inakuwa mezani kwa yahood na marekani wakati watu wanapata a cup of coffee. Wakimaliza hapo ni kutuma mabomu tu kunaliza kazi.
Pelekeni ibada zenu za Sanamu makkha na Madina. Israeli wana Mungu wao unless mtapukutishwa kizazi na kizaziTatizo ambalo litawasumbua ni Uislam ili waishi kwa amani hapo walipo uislamu ufe sasa jiulize kipi kinaweza kufa kati ya Uislam au taifa la Israel? As long Uislam unaendelea kuwepo pale mashariki ni death zone kwa myahudi haijalishi wao ndio wenye nguvu sasa watu wanazidi wana endelea pia kiteknolojia hivyo mambo bado mabichi kabisa haya, it can go through centuries.
Labda vita vya Syria (Hezbollah pia ilishiriki) huenda vimechangia kuidhoofisha Hezbollah.
Kushiriki kwake kwenye vita ya Syria hakujali dhohofisha bali kumeliimarisha kimbinu na kiuzoefu hasa kwa vita ya ardhini.Labda vita vya Syria (Hezbollah pia ilishiriki) huenda vimechangia kuidhoofisha Hezbollah.
Sikusema, japo hadi sasa siamini nasubiri taarifa rasmi kutoka kwa Hezbollah.
Mchuma janga hula na wakwaoIsrael killed more than 700 in Lebanon this week, Lebanon says.
Pale wachambuzi wa kimataifa wanaoipenda Hezbollah tena kwa dhati wanakiri kwa uchungu kuwa Hezbollah imedhoofika lakini kuna member mmoja wa JF anaamini Hezbollah wapo vizuri tu🙄😀Kushiriki kwake kwenye vita ya Syria hakujali dhohofisha bali kumeliimarisha kimbinu na kiuzoefu hasa kwa vita ya ardhini.
Hakuna uhakika wa kudhohofika kwasababu hizbullah imejizatiti kwa muda mrefu sana hivyo sidhani kama mashambulizi ya sasa ya Israel yanaweza kuwa yamelidhohofisha.
Mpaka sasa Hizbullah haijatangaza vita na Israel badala yake imekuwa ikifanya mashambulizi madogo wanayo yaita kujibu uchokozi.
Ndio maana nimesema wenda Hizbullah ina pokea shinikizo kutoka kwa serikali ya Lebanon kutotangaza vita dhidi ya Israel, au wenda hawajapokea amri kutoka Iran.
Hii sasa ni hatari na hatari nayoiona hapo ni kuwa hao viongozi wa juu watakuwa wanaogopwa hadi ndugu zao kwasababu ya kuhofia usalama wao.
Kwa mfululizo wa hawa viongozi kuuwawa then anakuja kuchaguliwa kiongozi mwingine aje akaimu hiyo nafasi.
Imagine sasa huyo kiongozi wa Hezbollah anaomba aje kwako akutembelee. Utakubali?
Hata kama alikuwa ni kaka yako lakini hapo lazima undugu ukae pembeni kwasababu kuwa karibu naye ni kujiweka katika risk ya kuhatarisha maisha yako.
So kupitia mauaji ya viongozi hawa binafsi naiona hofu kubwa ya watu ambao wanazungukwa na hao viongozi.
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.
Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.
Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane
Full @IDF statement on its elimination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah:
“The IDF announces that yesterday (Friday), September 27th, 2024, Hassan Nasrallah, the leader of the Hezbollah terrorist organization and one of its founders, was eliminated by the IDF, together with Ali Karki, the Commander of Hezbollah’s Southern Front, and additional Hezbollah commanders.
Following precise intelligence from the IDF and Israeli security establishment, IAF fighter jets conducted a targeted strike on the Central Headquarters of the Hezbollah terrorist organization, which was located underground embedded under a residential building in the area of Dahieh in Beirut. The strike was conducted while Hezbollah’s senior chain of command were operating from the headquarters and advancing terrorist activities against the citizens of the State of Israel.
During Hassan Nastallah’s 32-year reign as the Secretary-General of Hezbollah, he was responsible for the murder of many Israeli civilians and soldiers, and the planning and execution of thousands of terrorist activities. He was responsible for directing and executing terrorist attacks around the world in which civilians of various nationalities were murdered. Nasrallah was the central decision-maker and the strategic leader of the organization.
The Hezbollah terrorist organization, headed by Hassan Nasrallah, joined the Hamas terrorist organization in its war against the State of Israel on October 8th. Since then, Hezbollah has been continuing its ongoing and unprovoked attacks on the citizens of the State of Israel, dragging the State of Lebanon and the entire region into a wider escalation.
The IDF will continue operating against anyone who promotes and engages in terrorism against the State of Israel and its people.”
Sikusema, japo hadi sasa siamini nasubiri taarifa rasmi kutoka kwa Hezbollah.
Nashauri akapewe double ya bikra 144Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.
Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.
Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane
Full @IDF statement on its elimination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah:
“The IDF announces that yesterday (Friday), September 27th, 2024, Hassan Nasrallah, the leader of the Hezbollah terrorist organization and one of its founders, was eliminated by the IDF, together with Ali Karki, the Commander of Hezbollah’s Southern Front, and additional Hezbollah commanders.
Following precise intelligence from the IDF and Israeli security establishment, IAF fighter jets conducted a targeted strike on the Central Headquarters of the Hezbollah terrorist organization, which was located underground embedded under a residential building in the area of Dahieh in Beirut. The strike was conducted while Hezbollah’s senior chain of command were operating from the headquarters and advancing terrorist activities against the citizens of the State of Israel.
During Hassan Nastallah’s 32-year reign as the Secretary-General of Hezbollah, he was responsible for the murder of many Israeli civilians and soldiers, and the planning and execution of thousands of terrorist activities. He was responsible for directing and executing terrorist attacks around the world in which civilians of various nationalities were murdered. Nasrallah was the central decision-maker and the strategic leader of the organization.
The Hezbollah terrorist organization, headed by Hassan Nasrallah, joined the Hamas terrorist organization in its war against the State of Israel on October 8th. Since then, Hezbollah has been continuing its ongoing and unprovoked attacks on the citizens of the State of Israel, dragging the State of Lebanon and the entire region into a wider escalation.
The IDF will continue operating against anyone who promotes and engages in terrorism against the State of Israel and its people.”
Kama alivyokufa Osama AL Qaida ndio imekuwa stronger sio?Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
Mazayuni na magahribi na mapoyoyo wao wanafikiri ni Hollywood movie, akifa mbabe movie imekwisha.
Ndiyo kwanza wamejigeuza pweza kujipalilia mkaa wao wenywe.
Bado yule wa IraniJeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.
Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.
Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane
Full @IDF statement on its elimination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah:
“The IDF announces that yesterday (Friday), September 27th, 2024, Hassan Nasrallah, the leader of the Hezbollah terrorist organization and one of its founders, was eliminated by the IDF, together with Ali Karki, the Commander of Hezbollah’s Southern Front, and additional Hezbollah commanders.
Following precise intelligence from the IDF and Israeli security establishment, IAF fighter jets conducted a targeted strike on the Central Headquarters of the Hezbollah terrorist organization, which was located underground embedded under a residential building in the area of Dahieh in Beirut. The strike was conducted while Hezbollah’s senior chain of command were operating from the headquarters and advancing terrorist activities against the citizens of the State of Israel.
During Hassan Nastallah’s 32-year reign as the Secretary-General of Hezbollah, he was responsible for the murder of many Israeli civilians and soldiers, and the planning and execution of thousands of terrorist activities. He was responsible for directing and executing terrorist attacks around the world in which civilians of various nationalities were murdered. Nasrallah was the central decision-maker and the strategic leader of the organization.
The Hezbollah terrorist organization, headed by Hassan Nasrallah, joined the Hamas terrorist organization in its war against the State of Israel on October 8th. Since then, Hezbollah has been continuing its ongoing and unprovoked attacks on the citizens of the State of Israel, dragging the State of Lebanon and the entire region into a wider escalation.
The IDF will continue operating against anyone who promotes and engages in terrorism against the State of Israel and its people.”
Osama yupi unamuongelea?Kama alivyokufa Osama AL Qaida ndio imekuwa stronger sio?