antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Bila kusahaù mrembo FaizaFoxy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahaù mrembo FaizaFoxy
Wasituue kwa kutulazimisha wote tumuamini allah na Muhammad ili tuwe waislam.Amani ni muhimu sana
Are you sure?Ukweli ni kuwa Mashia sio Waislamu, sababu wanaenda kinyume na itikadi za Uislamu.
Ushia chimbuko lake ni UYAHUDI.
Tena sio kidogoKazi ipo.
Hezbollah anajitetea eti alikuwa anamwunga mkono na kumsaidia HAMAS.Viongozi wote 😂😂😂 ama kweli ukiwa na mchokozi uwe na mbio...
Yaani ukiwauliza Watu why Hezbollah ilikuwa inawashambulia Israel huwezi kupata jibu la maana
Bibi ebu tuache kwanza tunaombolezaGuardian wa nini kwenye Uislam wewe?
Uislam Hauna "terminologies" za kijinga hizo.
Nakushauri usome Uislam kupitia Qur'an japo kidogo, usiwe mjinga.
Qur'ani Tukufu
www.iium.edu.my
Hilo nafahamu, mnaomboleza kuuliwa njia hasi za uchumi, au siyo?Bibi ebu tuache kwanza tunaomboleza
bibi tuache banaHilo nafahamu, mnaomboleza kuuliwa njia hasi za uchumi, au siyo?
Hatari sana.Tena sio kidogo
Kwani niliwaoa lini?bibi tuache bana
Umekuja kivingine. Kwani bibi huwaga wanaoa?Kwani niliwaoa lini?
Tukiacha masuala ya dini, wanayopitia wapalestina ndani ya Israeli ni kama waliyokuwa wanapitia watu weusi wa South Africa wakati wa utawala wa makaburu. Israeli inapaswa kwanza kuwatendea wapalestina kama raia wa kawaida.Hivi mimi huwa najiuliza hawa Waarabu wanashindwa kuishi kwa amani tu! Au mafundisho ya Mood yanawadanganya kwa maana aliwaelekeza Mazayuni ni maadui zao!
Hawana Technologia,hawana mawazo na niwafia dini wasiotumia akili!
Hataki kusikia. Mwe, mwe-mwee. Anajua kwamba unamheshimu sana na huwezi thubutu kumpiga na kitu kizito.bibi tuache bana
Mkuu kwa Kifupi tunasema wana intellijensia bora na intellijensia inajumuisha mambo mengi.Hawa Waisraeli wanajuaje kuwa adui yuko eneo hilo kwa wakati huo? View attachment 3109240
Rais samia apeleke JWTZ na TISS wakajifunze kazi kwa IDF