Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Amani ni muhimu sana
Wasituue kwa kutulazimisha wote tumuamini allah na Muhammad ili tuwe waislam.

Wengine hatutaki kwenda kwenye pepo yao watuache na uhuri wetu tumeamua kwenda jehanamu yao kama wasemavyo.

Tunahitaji amani na upendo tuwapo hapa duniani. Tunahitaji tuishi lwa furaha kwa kipindi kifupi tuishicho duniani. Sio kila mahali ni wao tu. Kuanzia Somalia hadi Mali na maeneo mengine ya duniani.

Pamoja na dini zetu, tuchukuliane. Mbona wabudha, wakristo, wapagani, wayahudi, mabaali, wachawi, washirikina na dini nyingine haziui watu kwa upanga ili wawe upande wao?

Dunia ni yetu sote.
 
20240925_230246.jpg

Nasrallah akiwa kijana kabisa
 
Viongozi wote 😂😂😂 ama kweli ukiwa na mchokozi uwe na mbio...

Yaani ukiwauliza Watu why Hezbollah ilikuwa inawashambulia Israel huwezi kupata jibu la maana
Hezbollah anajitetea eti alikuwa anamwunga mkono na kumsaidia HAMAS.
Cha kushangaza sasa ni HAMAS hamsaidii Hezbollah na amemwacha atwangwe peke yake eti akomae na hali yake.
 
Innalillah wainnailay rrajiun. Ewe mmungu lifanye kaburi lake liwe moja ya bustan za pepon na lisiwe moja ya bustan za moton👃👃
 
Duh! Hii ni hatari.

Haya mapigo yote mlengwa mkuu ni Iran anasubiriwa afanye maamuzi ya hasira na mihemko wammalize.

Lakini kama Iran ana akili hana budi kutulia kimya kabisa.

Atulie tuli hata wakimuua Khamenei, ni wakati tu atakapoweza kuunda bomu la nyuklia ndo uonevu wote kwake utaisha.

Tena apambane apate second strike capability ili hata akipigwa decapitation strike aweze kujibu mapigo, hiyo ndo deterrence pekee anayohitaji na ndo itakua salama yake.

Ila atapigwa sana kabla hajafika huko.
 
Hivi mimi huwa najiuliza hawa Waarabu wanashindwa kuishi kwa amani tu! Au mafundisho ya Mood yanawadanganya kwa maana aliwaelekeza Mazayuni ni maadui zao!
Hawana Technologia,hawana mawazo na niwafia dini wasiotumia akili!
Tukiacha masuala ya dini, wanayopitia wapalestina ndani ya Israeli ni kama waliyokuwa wanapitia watu weusi wa South Africa wakati wa utawala wa makaburu. Israeli inapaswa kwanza kuwatendea wapalestina kama raia wa kawaida.
 
Hawa Waisraeli wanajuaje kuwa adui yuko eneo hilo kwa wakati huo? View attachment 3109240
Mkuu kwa Kifupi tunasema wana intellijensia bora na intellijensia inajumuisha mambo mengi.

Katika hili lakujua adui gani yupo wapi na wakati gani wanatumia teknolojia ya GPS katika moja ya vifaa anavyomiliki adui kwa kudukua ama kupandikiziwa, wakishajua alipo kwa muda huo(in real time), wana confirm kwa kumtumia aidha CCTV facial recognition system, Kwa CCTV zilizotungwa mitaani ama kwa kutumia drone footage na satellite footage huku waki-track movement zake zote wakiwa control room/centre (hapa wanakua wana kuona live unavyotiza mitaa mbalimbali yaani kama wanaangalia mpira live kwenye kibanda umiza)

Wakishajihakikishia kua ni wewe ndio target wanayoitaka yanafanika maamuzi wakuache ama wakumalize na maamuzi hayo yatafikiwa endapo utakua katika mazingira ambayo hayataleta madhara kwa wasio husika.

Mambo ni mengi yana husika kama unataka kufahamu zaidi fuatilia hata spy movies

Ninapendekeza ukaitafute TV series moja inaitwa HOMELAND utajifunza mengi mno.
 
Back
Top Bottom