Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.

View attachment 3109625
***** wamefumua hadi pete ya kufugia majini
 
Well nimeelewa kwamba kumbe hata wale Waisrael wa Oct 07 nao siyo maiti,nao ni wahai kwa sababu walikufa kupitia njia ile ile ya kifo alichokiumba Mwenyezi Mungu.

Maana hawakuyeyuka wala kutoweka ghafla wasijulikane kilichowakuta.
Nimekuelewa
 
Tatizo ambalo litawasumbua ni Uislam ili waishi kwa amani hapo walipo uislamu ufe sasa jiulize kipi kinaweza kufa kati ya Uislam au taifa la Israel? As long Uislam unaendelea kuwepo pale mashariki ni death zone kwa myahudi haijalishi wao ndio wenye nguvu sasa watu wanazidi wana endelea pia kiteknolojia hivyo mambo bado mabichi kabisa haya, it can go through centuries.
Ni vizur kujifariji
 
Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.

View attachment 3109625
Hakuna mwili kuna majivu yake nayo kujua ninyeye ni ngumu.
All the best 🇮🇱
 
Kwani ukitaka kumuua nyoka unaanza na mkia au kichwa?
Kichwa huyo hapo anatangazwa muda wowote kuanzia sasa anaitwa Hashim Safi Al din. Second in command. Moto juu ya moto
20240928_180408.jpg
 
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.

Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.

Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane

Full @IDF statement on its elimination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah:

“The IDF announces that yesterday (Friday), September 27th, 2024, Hassan Nasrallah, the leader of the Hezbollah terrorist organization and one of its founders, was eliminated by the IDF, together with Ali Karki, the Commander of Hezbollah’s Southern Front, and additional Hezbollah commanders.

Following precise intelligence from the IDF and Israeli security establishment, IAF fighter jets conducted a targeted strike on the Central Headquarters of the Hezbollah terrorist organization, which was located underground embedded under a residential building in the area of Dahieh in Beirut. The strike was conducted while Hezbollah’s senior chain of command were operating from the headquarters and advancing terrorist activities against the citizens of the State of Israel.

During Hassan Nastallah’s 32-year reign as the Secretary-General of Hezbollah, he was responsible for the murder of many Israeli civilians and soldiers, and the planning and execution of thousands of terrorist activities. He was responsible for directing and executing terrorist attacks around the world in which civilians of various nationalities were murdered. Nasrallah was the central decision-maker and the strategic leader of the organization.

The Hezbollah terrorist organization, headed by Hassan Nasrallah, joined the Hamas terrorist organization in its war against the State of Israel on October 8th. Since then, Hezbollah has been continuing its ongoing and unprovoked attacks on the citizens of the State of Israel, dragging the State of Lebanon and the entire region into a wider escalation.

The IDF will continue operating against anyone who promotes and engages in terrorism against the State of Israel and its people.”
Kiko wapi? Tuliwaatahadharisha mapema
 
Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.

View attachment 3109625
Vilibaki vingi hapo. Hiyo kama ni pete inaonekana imekatwa baadae kutoka kwenye kidole na kung'olewa madini yaliyokuwepo hapo juu.
 
Back
Top Bottom