Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Tupe tafsiri ya nini maana ya 'Gaidi'Dawa ya gaidi ni kifo tu. October 7,2023. Takbirr zilitawala kila kona, na HAMAS walijigamba wako tayari kupigana, na walijiandaa kwa muda mrefu. Waache wapgane sasa, kufa vitani siyo tatizo. Kumbuka magaidi hawana uniform Israel wanatumia inteligensia. Inteligensia iliwabaini wakiwa wamejichanganya na raia kusubiri msaa wakauwawa.
Dini mchanganye nyie tu.
Pili, hiyo intelejensia iliyoweza kubaini watu katika kundi wakigombea mikate kwanini haikuweza kubaini mafunzo ya watu 1000 waliovamia October 07.
Tatu, unajua Hamas wanapigana na USA, France na UK? Nimeuliza zile Fleet carrier mbili mediterrenean zimebeba maharusi? Kwanini zimesafiri kwenda pale? Zile drone za Marekani zinafanya nini Gaza?
Mwisho, nani kasema hili linahusu dini? Udini unatokea wapi Brazil, Argentina, South Africa, Peru, Spain n.,k,
Ukishalitazama tatizo kwa jicho la udini tatizo si tatizo ila wewe ni tatizo !Hizi dini zinawatia upumbavu badala ya werevu. Nani alikwambi kuua ni jambo jema?
Hebu tuanzie hapa maana kuna Watanzania wapumbavu sana, hawajui ilipo Israel au Palestina lakini wapo katika key board.