Israel yawaomba msamaha Wakristo wote kwa kitendo cha askari wa IDF kuvunja sanamu ya Yesu msalabani

Wazushi hawa hiyo serikali yenyewe haiheshimu ukristo, Palestine wamalipua makanisa kibao,Lebanon napo hivyo hivyo na hawaja wahi kuomba msamaha, sema wameona aibu baada ya hii pacha ya askari kutrend.
 
Ni sanamu lakini itawaauma... imagine...
Then utarajie free minded
 
Lakini tusiache kuielewa (sisi waKristo) kuwa sanamu siyo Yesu.Aliyeivunja anaondoa ibada ya sanamu.
 
Yupo sahihi hata Yesu mwenyewe angekuwepo angelivunja hilo sanamu ni upumbavu wa madhehebuni siyo INJILI HALISI
Hao wayahudi hata huyo Yesu mwenyewe si walimtesa na kisha kumsulubu?

Hao Wayahudi wanavunja masanamu hayo sio kwa kuyachukia masanamu bali kwa kuukataa ukristo na wayahudi hawamtambui Yesu.
 
Inaniumiza sana kuona watetezi wa taifa teule hawaonyeshi makeke yao kwenye huu uzi! yaani tumepoa sana kiasi cha kuacha kobazi wanajichukulia pointi tatu!
 
Hao wayahudi hata huyo Yesu mwenyewe si walimtesa na kisha kumsulubu?

Hao Wayahudi wanavunja masanamu hayo sio kwa kuyachukia masanamu bali kwa kuukataa ukristo na wayahudi hawamtambui Yesu.
Wacha kupotosha Yesu mwenyewe akuja ili achongewe masanamu ya kumu wakilisha hivyo hata Yesu mwenyewe hatambui mambo ya sanamu lake wala sanamu la maliamu...
KUNA TOFAUTI BAINA YA
1)INJILI NA INJILI HALISI na
2)WACHAMUNGU NA WACHAMUNGU HALISI.
💥Wachamungu halisi ni wale wenye kutambulika hivyo na Mungu siyo kila mchamungu ni mchamungu halisi ...wengi siyo halisi yaani ni wachamungu feki.
💥Pia kuna injili halisi ni injili ile ambayo mungu kairidhia ila zipo injili feki chungu mzima kwa sababu maisha ya dunia ni mtihani lazima kuwe na mitego ya kutupima
 
Acha uwongo,wayahudi hawana mpango na wakristo kama unabisha nenda Israel kisha ukaseme hadharani kuwa Yesu aliteswa msalabani pia aliuwawa na wayahudi
Unachokisema kipo sahihi. Lakini unajua SABABU YA HILO?. Wakristo tunaijua sababu. Na ndio maana tunawabariki Wana wa Israeli. Ukitaka nikwambie sababu, basi kwa sehemu nitakuambia. Lakini kama ni msomi wa maandiko, anza na WARUMI 11 yote huenda ukapata mwanga. Mungu ibariki Israeli. Mungu mbariki Benjamini Netanyahu.
 
Bora muiombee CCM
 
Wakolokole tulio vichwa maji tunaanzia wapi kuwatetea hawa jamaa?
Furaha ya Wafuga Midevu na Majini ni kuona Wakristo wanawachukia Wayahudi kitu ambacho hakiwezekani!!!

Wanajitahidi sana kujenga chuki dhidi ya wayahudi lakini lazima watashindwa maana Mahusiano ya Wayahudi yamejengwa kwa Damu!!!

Kosa la kuvunja sanamu limefanywa na askari mmoja na si msimamo wa serikali, Kwa hiyo kosa akifanya Mfuga midevu na Majini mmoja si kosa la wafuga midevu na majini wote!!! Acheni ujinga na upumbavu wenu!!
 
Akili za Wafuga Midevu na Majini wanazijua wao wenyewe wanatumika vizuri sana na shetani kueneza chuki dhidi ya Wayahudi kitu ambacho hata siku moja hawatafanikiwa maana uhusiano wa Wayahudi na Wakristo umejengwa kwa Damu ni ngumu sana kuvunjwa na maneno ya shobo za Waarabu-koko!!!
 
Waarabu-koko mnahangaika sana hamtaweza kutujengea chuki zenu za kijinga na kipumbavu dhidi ya Wayahudi!!
 
Safari hii mtateseka sana Wakristo na wayahudi hawawezi kukosana kwa sababu ya Sanamu!!!
 
Kinakukera vipi wakati wewe ni Mwarabu-koko?

Ujinga tu unakusumbua kichwani mwako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…