Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

Huenda ujio wa Yesu ni mchongo,
Dalili alizozitaja Yesu za ujio wake, almost zote zimetimia. Nakusikitikia kwa kuwa bado una mashaka. Yesu akija utaachwa. Tubu leo, ufalme wa Mungu umekaribia
 
Hio ni Biblia ya Scoffield ya mwaka 1909 ndo inaeleza kuhusu taifa la sasa la israel ila original bible haizungumzii israel ya sasa na haisemi tulibariki taifa la israel.
 
🔰 RAIS SAMIA KUSHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO LA KANDA YA ZIWA
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
 
Attachments

  • IMG-20250621-WA0011.jpg
    IMG-20250621-WA0011.jpg
    303.5 KB · Views: 23
🔰 RAIS SAMIA KUSHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO LA KANDA YA ZIWA
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
#OKTOBATUNATIKI✅️✅️
Mpina atakuwepo ?
 
Si unge-google tu kwanza jamani?
Haya much know nimekusaidia ku-google:

Kulingana na takwimu za hivi karibuni, Pato la Taifa la Israeli (GDP) lilifikia dola za Kimarekani bilioni 513.61 mwaka 2023.

Linganisha sasa GDP ya Israeli na ya nchi hizi:
Norway: GDP ya takriban dola bilioni 482 mwaka 2023.
Austria: GDP ya takriban dola bilioni 480 mwaka 2023.
Nigeria: GDP ya takriban dola bilioni 477 mwaka 2023.
Ireland: GDP ya takriban dola bilioni 476 mwaka 2023.
United Arab Emirates: GDP ya takriban dola bilioni 474 mwaka 2023.

Takwimu zinaonyesha kuwa Israeli inashikilia nafasi ya 27 kati ya nchi 196 katika orodha ya GDP duniani. Hapo tu hujaona kuwa Mungu yuko upande wa Israeli. Nchi yenye eneo dogo tu lakini GDP kubwa namna hiyo.

Source:
Benki ya Dunia (World Bank)
Trading Economics
Country Economy
Global FirePower
Huffington Post
Ni ya kushangaza sana.
 
Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa ajabu kama tunavyoshuhudia leo. Mungu aliahidi mambo makubwa kwa taifa la Israeli, na licha ya vikwazo na mapingamizi mengi, historia imethibitisha wazi jinsi ahadi hizo zilivyotimia.

Baadhi ya ahadi za Mungu kwa Israeli zilizotimia:
  1. "Nitawatawanya katika mataifa na baadaye nitawarudisha" (Ezekieli 36:24)
    Israeli walitawanywa duniani kote baada ya uharibifu wa Yerusalemu mnamo mwaka 70 BK. Lakini Mungu aliahidi kuwakusanya tena, na mnamo mwaka 1948, taifa la Israeli lilirejeshwa rasmi. Jambo hili sio la kawaida kwa taifa lililotawanyika kwa maelfu ya miaka.

  2. "Nitakufanya taifa kubwa" (Mwanzo 12:2)
    Mungu alimwahidi Ibrahimu kwamba atambariki na kumfanya kuwa taifa kubwa. Leo Israeli ni taifa lenye nguvu, na lenye ushawishi mkubwa ulimwenguni.

  3. "Nchi ya Israeli itastawi" (Ezekieli 36:34-35)
    Mungu kwa kumtumia Nabii wa kweli Ezekieli, alitabiri kwamba nchi hiyo iliyokuwa kame na jangwa itastawi na kuwa na rutuba. Leo, Israeli inaongoza kwa uvumbuzi wa teknolojia ya kilimo na umwagiliaji, na imegeuza jangwa kuwa bustani yenye mazao tele.
Naku-challenge wewe unayedai Biblia ni maneno ya watu, tunga na wewe ahadi fulani. Chagua nchi moja Afrika uitamkie ahadi hiyo. Tamka jambo ambalo halipo kabisa katika nchi hiyo, useme kwamba litakuwepo baada ya miaka 10 ijayo. Andika tamko lako hilo kwenye kitabu halafu uone jinsi utakavyoaibika baada ya miaka hiyo 10 kupita, kwakuwa hayatatimia utakayotamka!
Ujui maandiko mwisho ha Israel kuwa taifa teule ni kuja kwake KRISTO (YESU) ndiyo maana Yesu alisema nyumba yenu mmeachiwa ukiwa ndiyo maana waisrael wamemkataa Yesu pia .....hakuna uteule wa dhambi au uovu au uhasi ...waisrael wamemkataa Yesu na injili basi huo uteule wao uwapi .....Yesu kasema Nyumba yao imeachwa ukiwa unajua nini maana ya hayo maneno ? Pia kasome kwanini mwisho wa utukufu wa taifa la Israeli ni kuja kwake Yesu ...nendq kasemo WOSIO WA YAKOBO (ISRAEL) KABLA YA KUFA ALISEMAJE KUHUSU MWISHO WA UTUKUFU WA ILO JINA LAKE ISRAEL NI WAPI?
 
Wagalatia wenzako wakina Echolima1 na ELI COHEN watakupinga hili .
 
Wagalatia wenzako wakina Echolima1 na ELI COHEN watakupinga hili .
Ni mpumbavu kabisa anaye weza kuthubutu kupinga kwa sababu zipo ... mfano sababu ya kwanza
1)je ni vipi taifa la Israeli lilipata utukufu mbele za Mungu ? Je ni kwa kuwa ni waasi mbele za mungu au kwa kuwa ni wakaidi mbele za mungu? Jibu ni kinyume chake msingi wa taifa la Israeli kupata utukufu mbele za mungu umetokana na UCHAMUNGU WA BABU ZAO ...hivyo hakuna utukufu kwenye uhasi ....Na imeandikwa,wazi tena kwa kimya cha Yakobo mwenyewe kuwa utukufu wa taifq la Israeli mwisho wake ni KUJA KWA YESU KRISTO ...wakasome kwenye wosia wa yakobo alipo kuwa anawaosia wanawe kabla ya kufa kasema wazi wazi..
 
Ujui maandiko mwisho ha Israel kuwa taifa teule ni kuja kwake KRISTO (YESU) ndiyo maana Yesu alisema nyumba yenu mmeachiwa ukiwa ndiyo maana waisrael wamemkataa Yesu pia .....hakuna uteule wa dhambi au uovu au uhasi ...waisrael wamemkataa Yesu na injili basi huo uteule wao uwapi .....Yesu kasema Nyumba yao imeachwa ukiwa unajua nini maana ya hayo maneno ? Pia kasome kwanini mwisho wa utukufu wa taifa la Israeli ni kuja kwake Yesu ...nendq kasemo WOSIO WA YAKOBO (ISRAEL) KABLA YA KUFA ALISEMAJE KUHUSU MWISHO WA UTUKUFU WA ILO JINA LAKE ISRAEL NI WAPI?
jaribu kuficha upumbavu ngaa kidogo.

mpumbavu akikaa kimya huhesabiwa hekima

Mithali 17 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁷ Azuiaye maneno yake ni mwenye maarifa; Na mwenye roho ya utulivu ana busara.
²⁸ Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.
 
Hapo ndiyo umeandika nini wewe mpuuzi ....wakristo wa madhehebu ni wapumbavu sana ....Yesu kasema wazi ..Israel mara ngapi nimejaribu kukukusanya kama vifaranga chini ya mbawa lakini umekataa basi nyumba yenu mmeachiwa UKIWA....kwa sasa aiwezekani tena kupatikana mitume wala manabii kwao kwa sababu hata INJILI WAMEIKATAA ...SASA NI JIBU JE YUPO MTUME AU NABII ANAYE WEZA TENA KUJA KWA KUTUMIA TORATI DHIDI YA INJILI....KASOME WOSIA WA YAKOBO
 
Toka lini Wafuga Midevu na Majini mkajua Bible? Kama tu likitabu lenu umeshindwa kulielewa itakuwaje Bible? Acha ujinga wako!!
 
Toka lini Wafuga Midevu na Majini mkajua Bible? Kama tu likitabu lenu umeshindwa kulielewa itakuwaje Bible? Acha ujinga wako!!
Mimi siyo MUISIHARAMU ...kama unayo hoja njoo upinge kwa hoja ...kuhusu ndevu bila shaka hata Yesu alikuwa nazo
 
Mimi siyo MUISIHARAMU ...kama unayo hoja njoo upinge kwa hoja ...kuhusu ndevu bila shaka hata Yesu alikuwa nazo
Huyo Yesu ulimuona? Au unasemea Yule wa kwenye video? Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana!!
 
Huyo Yesu ulimuona? Au unasemea Yule wa kwenye video? Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana!!
Zamani kunyoa ndevu akukuwa kama sasa kulivyo na mashine hivyo wanaume wote walikuwa na ndevu walizipunguza kwa kuzikata ila zilibaki ...hata daudi alikuwa na ndevu kasome maandiko
 
siku marekani itapopoteza ushawishi mzani utachange
 
Huyo Yesu ulimuona? Au unasemea Yule wa kwenye video? Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana!!
Kumbe 😁😁😁 wewe adriz watu wenyewe ulio wasema ndiyo hawa ? Mimi nilijua wajuzi wa dini nikasema basi kazi ninayo nijipange 😁😁 hakuna hata mmoja anaye leta hoja zaidi ya taarabu na bendera za upinde wa mvua😁😁😁👉 Blood of Jesus
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kumbe 😁😁😁 wewe adriz watu wenyewe ulio wasema ndiyo hawa ? Mimi nilijua wajuzi wa dini nikasema basi kazi ninayo nijipange 😁😁 hakuna hata mmoja anaye leta hoja zaidi ya taarabu na bendera za upinde wa mvua😁😁😁
hamna kitu hao mkuu 🤣
 
Zamani kunyoa ndevu akukuwa kama sasa kulivyo na mashine hivyo wanaume wote walikuwa na ndevu walizipunguza kwa kuzikata ila zilibaki ...hata daudi alikuwa na ndevu kasome maandiko
Zamani!!
 
Back
Top Bottom