Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

Kumbe ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ wewe adriz watu wenyewe ulio wasema ndiyo hawa ? Mimi nilijua wajuzi wa dini nikasema basi kazi ninayo nijipange ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hakuna hata mmoja anaye leta hoja zaidi ya taarabu na bendera za upinde wa mvua๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘‰ Blood of Jesus
Ujinga na Upumbavu mtupu nani alikudanganya hapa tunajadili mambo ya dini?
 
Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa ajabu kama tunavyoshuhudia leo. Mungu aliahidi mambo makubwa kwa taifa la Israeli, na licha ya vikwazo na mapingamizi mengi, historia imethibitisha wazi jinsi ahadi hizo zilivyotimia.

Baadhi ya ahadi za Mungu kwa Israeli zilizotimia:
  1. "Nitawatawanya katika mataifa na baadaye nitawarudisha" (Ezekieli 36:24)
    Israeli walitawanywa duniani kote baada ya uharibifu wa Yerusalemu mnamo mwaka 70 BK. Lakini Mungu aliahidi kuwakusanya tena, na mnamo mwaka 1948, taifa la Israeli lilirejeshwa rasmi. Jambo hili sio la kawaida kwa taifa lililotawanyika kwa maelfu ya miaka.

  2. "Nitakufanya taifa kubwa" (Mwanzo 12:2)
    Mungu alimwahidi Ibrahimu kwamba atambariki na kumfanya kuwa taifa kubwa. Leo Israeli ni taifa lenye nguvu, na lenye ushawishi mkubwa ulimwenguni.

  3. "Nchi ya Israeli itastawi" (Ezekieli 36:34-35)
    Mungu kwa kumtumia Nabii wa kweli Ezekieli, alitabiri kwamba nchi hiyo iliyokuwa kame na jangwa itastawi na kuwa na rutuba. Leo, Israeli inaongoza kwa uvumbuzi wa teknolojia ya kilimo na umwagiliaji, na imegeuza jangwa kuwa bustani yenye mazao tele.
Naku-challenge wewe unayedai Biblia ni maneno ya watu, tunga na wewe ahadi fulani. Chagua nchi moja Afrika uitamkie ahadi hiyo. Tamka jambo ambalo halipo kabisa katika nchi hiyo, useme kwamba litakuwepo baada ya miaka 10 ijayo. Andika tamko lako hilo kwenye kitabu halafu uone jinsi utakavyoaibika baada ya miaka hiyo 10 kupita, kwakuwa hayatatimia utakayotamka!
Kasome wosia wa Yakobo (ambaye ndiye chimbuko la jina Israeli na makabira 12 ya Waisraeli) anasemaje kwenye ule wosia ....utaona mwisho wa utukufu wa taifa la Israeli ni kuja kwake masiha yesu ....ndiyo maana Yesu anasema nendeni mataifa yote muwafanye kuwa wanafunzi wangu
 
Jews and Israel are related but distinct concepts:

  • Jews: A religious and ethnic group with a shared history, culture, and faith (Judaism). Jews can be from various countries and have different nationalities.
  • Israel: A country located in the Middle East, home to a majority of Jewish people. Israel was established in 1948 as a homeland for Jews.

While many Israelis are Jewish, not all Jews live in Israel, and not all Israelis are Jewish (the country has a diverse population, including Muslims, Christians, and others).

Kulingana na maelezo hayo juu: tunapata kujua kuwa uchumi wa nchi ya Israel unakuzwa na watu wote waliowekeza uko na kuishi uko ikiwa ni pamoja na wa dini tofauti: Waislam, Wakristu nk. Kwa kuwa Mungu ni wa wote na huinua wanaojituma, ndo maana hiyo nchi ina maendeleo.
Na ikiwa ni kigezo cha dini kuinuliwa basi dini ya Judaism ndo wanafanya vizuri sawa na ahadi. Inatubidi sasa wale wasio Zayuni ( kama Wakristo, Waislam nk) wabadili dini zao wawe Wazayuni ili kupata baraka izo.
 
"Nitawatawanya katika mataifa na baadaye nitawarudisha" (Ezekieli 36:24)
Israeli walitawanywa duniani kote baada ya uharibifu wa Yerusalemu mnamo mwaka 70 BK. Lakini Mungu aliahidi kuwakusanya tena, na mnamo mwaka 1948, taifa la Israeli lilirejeshwa rasmi. Jambo hili sio la kawaida kwa taifa lililotawanyika kwa maelfu ya miaka.
Haaahaaaa unaweza nitajia kabila moja tu ambalo lilirudi hapo Israel?
 
Si unge-google tu kwanza jamani?
Haya much know nimekusaidia ku-google:

Kulingana na takwimu za hivi karibuni, Pato la Taifa la Israeli (GDP) lilifikia dola za Kimarekani bilioni 513.61 mwaka 2023.

Linganisha sasa GDP ya Israeli na ya nchi hizi:
Norway: GDP ya takriban dola bilioni 482 mwaka 2023.
Austria: GDP ya takriban dola bilioni 480 mwaka 2023.
Nigeria: GDP ya takriban dola bilioni 477 mwaka 2023.
Ireland: GDP ya takriban dola bilioni 476 mwaka 2023.
United Arab Emirates: GDP ya takriban dola bilioni 474 mwaka 2023.

Takwimu zinaonyesha kuwa Israeli inashikilia nafasi ya 27 kati ya nchi 196 katika orodha ya GDP duniani. Hapo tu hujaona kuwa Mungu yuko upande wa Israeli. Nchi yenye eneo dogo tu lakini GDP kubwa namna hiyo.

Source:
Benki ya Dunia (World Bank)
Trading Economics
Country Economy
Global FirePower
Huffington Post
Ivyo kwa kigezo cha nchi kuanziabmwaka 1948 ilipoanzishwa ni kweli wamepiga hatua kubwa. Ila kwa kigezo cha Maandiko utakuwa unakksea na kubagua kabila nyingine kwenye 12 izo. Maana sio kabila zote za Israel ziliishi kwenye Israel ya leo kama nchi. Mfano: kabila la Gad waliishi Jordan, Simeon,Juda, Naftali waliishi eneo la Canaani ambapo baadhi ya maeneo kwa leo ni Palestina,Jordan,Lebanon na Syria.

Maana yangu ni kwamba: kama watu wakisema Israel kimaandiko wasisahau kwa mabao kusema na sehem za asili za nchi walupoishi( Lebanoni, Syria,Jordan,Israel nk).
Ivyo hayo maeneo yote yamebalikiwa.
Karibu kwa Tafakuri
 
Si unge-google tu kwanza jamani?
Haya much know nimekusaidia ku-google:

Kulingana na takwimu za hivi karibuni, Pato la Taifa la Israeli (GDP) lilifikia dola za Kimarekani bilioni 513.61 mwaka 2023.

Linganisha sasa GDP ya Israeli na ya nchi hizi:
Norway: GDP ya takriban dola bilioni 482 mwaka 2023.
Austria: GDP ya takriban dola bilioni 480 mwaka 2023.
Nigeria: GDP ya takriban dola bilioni 477 mwaka 2023.
Ireland: GDP ya takriban dola bilioni 476 mwaka 2023.
United Arab Emirates: GDP ya takriban dola bilioni 474 mwaka 2023.

Takwimu zinaonyesha kuwa Israeli inashikilia nafasi ya 27 kati ya nchi 196 katika orodha ya GDP duniani. Hapo tu hujaona kuwa Mungu yuko upande wa Israeli. Nchi yenye eneo dogo tu lakini GDP kubwa namna hiyo.

Source:
Benki ya Dunia (World Bank)
Trading Economics
Country Economy
Global FirePower
Huffington Post
Wafuga Midevu na Majini hawatakuelewa kabisa maana wao ndivyo walivyo!!!
 
Ujinga na Upumbavu mtupu nani alikudanganya hapa tunajadili mambo ya dini?
Bila shaka hujasoma uzi huu
 
Back
Top Bottom