Haimtambui ndio. Lakini Mungu si kigeugeu kama wanadamu. Akiishaahidi habadili ahadi yake. Isitoshe Mungu ameahidi kuwakomboa Israeli. Ndio maana Biblia inasema alikuja kwa walio wake, lakini hawakumpokea. Mimi nikiwa mama yako ninayekupenda, ukinikataa, nitakutupa? Si nitakuvumilia tu nikijua siku moja utabadilika. Ndivyo ilivyo kwa Israeli. Siku zinakuja watamwamini tu na kuomboleza kwanini walimchoma. Maandalizi yanayofanyika sasa Israeli ni hatua ya kuelekea kwenye ukombozi huo. Soma uzi huu utapata maelezo ya kinaLakini tunaambiwa Israel haimtambui Kristo.
Shida nyinyi shetani amewapofusha fikra hamsomi Biblia. Na mnaendelea kudanganywa na manabii wa uongo. Hiyo takwimu mbona inathibitisha vizuri maandiko hayaWalokole mko wapi kwenye takwimu hizi?, mnatangusha kushabikia watu wasiokutaka......
View attachment 3282074
Msingi wa Wakristo kuitaja taja sana israeli uko kwenye Andiko hiliHawa jamaa hawamkubali Yesu na Mama yake wanawapa tuhuma nzito , na wanatuhumiwa kuhusika na kumfanyia hujuma Yesu na watu zake , sasa nashangaa Wagalatia mnakuwa chawa wa Hawa jamaa wakati wanampinga Yesu wanamuona kama Tapeli.
Vichaa wengi hawapoi sehemu husika,wanarandaranda.Nu ukichaa kujivunia mafanikio ya Taifa jingine katika namna inayokera.Wewe ni great thinker, au umepachikwa tu hilo jina.
Hivi kweli kichaa anaweza kuandika na kupost uzi humu JF? Kama anaweza, basi nakushangaa wewe unayejibizana na kichaa 🙂
Kwahiyo Mungu anampendelea Muisrael aliyepotea kuliko mataifa mengine yaliyoongoka? ... yani ni sawa na kusema Mungu ampendelee Shetani kuliko Yesu kwakuwa eti shetani alikuaga malaika mwanzoni!!! (kama mnavyodai)Haimtambui ndio. Lakini Mungu si kigeugeu kama wanadamu. Akiishaahidi habadili ahadi yake. Isitoshe Mungu ameahidi kuwakomboa Israeli. Ndio maana Biblia inasema alikuja kwa walio wake, lakini hawakumpokea. Mimi nikiwa mama yako ninayekupenda, ukinikataa, nitakutupa? Si nitakuvumilia tu nikijua siku moja utabadilika. Ndivyo ilivyo kwa Israeli. Siku zinakuja watamwamini tu na kuomboleza kwanini walimchoma. Maandalizi yanayofanyika sasa Israeli ni hatua ya kuelekea kwenye ukombozi huo. Soma uzi huu utapata maelezo ya kina
![]()
Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!
Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini Yerusalemu. Ujenzi wa hekalu la tatu ni hatua muhimu sana kwa Waisraeli katika maandalizi ya kumpokea...www.jamiiforums.com
Wenye upofu ni wasioamini (kama Gatabhanya )Dini ni upofu
Unachanganya imani na dini.Wenye upofu ni wasioamini (kama Gatabhanya )
2 Wakorintho 4:4
Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu amepofusha akili za wasioamini, wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu.
Dini ina ujinga mwingi. Mtu mzima na akili zake timamu anasafiri maelfu ya kilometa kwenda kumpiga mawe shetani asiyeonekana. Yaani dunia nzima shetani anakaa sehemu moja kuwasubiri watu wa imani fulani waje wampige mawe aiseeeeWenzako nao kila mwaka wanaenda kumpiga mawe pale Makkah kama nyie mnavyomuua makanisani lakini mkitoka shughuli iko palepale 🤣🤣🤣
Acha niwatazame tu nicheke
Jehanam ipi tena wakati jehanam ni bonde la Hinnom linalopatikana kusini-magharibi mwa mji wa Jerusalem. Bonde hili zamani hizo lilitumika kama sehemu ya kutolea sadaka (watoto) za kuteketezwa ( kama Ibrahim alivyotaka kumtoa Isaka). Baada ya watu kustaarabika pakatumika kama dampo. Siku hz panatumika kama kivutio cha utalii, ingia YouTube andika tu "hell in Jerusalem" utajionea mamboOh na matusi juu. Mungu akusamehe usiende jehanam.
Hizo takwimu zinathibitisha ukweli wa andiko hili:Walokole mko wapi kwenye takwimu hizi?, mnatangusha kushabikia watu wasiokutaka......
View attachment 3282074
Kwa maneno hayo hakuna ahadi hata moja iliyotimiaWatu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa ajabu kama tunavyoshuhudia leo. Mungu aliahidi mambo makubwa kwa taifa la Israeli, na licha ya vikwazo na mapingamizi mengi, historia imethibitisha wazi jinsi ahadi hizo zilivyotimia.
Baadhi ya ahadi za Mungu kwa Israeli zilizotimia:
Naku-challenge wewe unayedai Biblia ni maneno ya watu, tunga na wewe ahadi fulani. Chagua nchi moja Afrika uitamkie ahadi hiyo. Tamka jambo ambalo halipo kabisa katika nchi hiyo, useme kwamba litakuwepo baada ya miaka 10 ijayo. Andika tamko lako hilo kwenye kitabu halafu uone jinsi utakavyoaibika baada ya miaka hiyo 10 kupita, kwakuwa hayatatimia utakayotamka!
- "Nitawatawanya katika mataifa na baadaye nitawarudisha" (Ezekieli 36:24)
Israeli walitawanywa duniani kote baada ya uharibifu wa Yerusalemu mnamo mwaka 70 BK. Lakini Mungu aliahidi kuwakusanya tena, na mnamo mwaka 1948, taifa la Israeli lilirejeshwa rasmi. Jambo hili sio la kawaida kwa taifa lililotawanyika kwa maelfu ya miaka.
- "Nitakufanya taifa kubwa" (Mwanzo 12:2)
Mungu alimwahidi Ibrahimu kwamba atambariki na kumfanya kuwa taifa kubwa. Leo Israeli ni taifa lenye nguvu, na lenye ushawishi mkubwa ulimwenguni.
- "Nchi ya Israeli itastawi" (Ezekieli 36:34-35)
Mungu kwa kumtumia Nabii wa kweli Ezekieli, alitabiri kwamba nchi hiyo iliyokuwa kame na jangwa itastawi na kuwa na rutuba. Leo, Israeli inaongoza kwa uvumbuzi wa teknolojia ya kilimo na umwagiliaji, na imegeuza jangwa kuwa bustani yenye mazao tele.
Mungu wa wakristo ni yesu ambaye waisrael wanaona ni nabii tu na ni kosa la jonai kumwita yesu mungu ukiwa israelHuyo Mungu aliyetoa hizo ahadi ndio Mungu wa wakristo pia ambaye wakristo humsifu kuwa Mungu wao ni wa amani na upendo?
Ndio maana nashangaa.Mungu wa wakristo ni yesu ambaye waisrael wanaona ni nabii tu na ni kosa la jonai kumwita yesu mungu ukiwa israel
Israel wanaamini mungu ni mmoja na hakuzaa wala hakuzaliwa na wanakula kosher food au halal food hawali hovyo kama wakristo