Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

Huo ndio uhalisia wa mambo. Hakuna Israel bila US. Siku US akiipa mgongo Israel hilo taifa litafutika kabisa
Kuna member nimemuuliza: kwani Daudi alipompiga(kwa jiwe dogo tu) Goliati jitu la kutisha lililovaa mavazi ya kivita, Trump na Biden walikuwepo kumsaidia? Someni Biblia mfumbuke macho
 
Ungemuuliza kwanza Doctor yeyote usingeandika comment hiyo.
Magonjwa ya akili majina yake haya hapa. Niambie kama unaona jina "Dini" kwenye list hii:
  • Depression
  • Anxiety Disorders
  • Schizophrenia
  • Bipolar Disorder
  • Panic Disorder
  • Obsessive-Compulsive Disorder (OCD)
  • Post-Traumatic Stress Disorder (PTSD)
  • Anorexia, Bulimia, Binge Eating
  • Personality Disorders
  • Psychosis
  • Dementia (eg Alzheimer’s)
  • Attention-Deficit/Hyperactivity Disorder (ADHD)
Huu ugonjwa wa akili (dini) hawawezi kuuweka kwenye list sababu waliounda hiyo list ndio walioleta haya magonjwa ya akili(dini) kwa sababu zao za kiuchumi na kucontral wakaazi wa dunia.
Huwezi kunielewa hadi upate dozi... Vile unavyowachukulia wayahudi ndivyo hivyo waislam nao wanawachukulia waarabu.

Katika hili kwakweli walioleta haya magonjwa ya akili aina ya dini walijua kuwachezesha shere ☹️
Kwahiyo anajisikia amani kabisa kwa kinachofanywa pale gaza na wayahudi? Najua utasema ndio kwa sababu za kidini, ila chukulia wenyeji wa dar hapo wakitaka kila mtu ahame wabaki wenyewe kwa kigezo ndio ardhi yao ya asili utakua tayari wakati huohuo umezaliwa hapo, umejenga hapo na tamaduni zako unafanyia hapo?
 
Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa ajabu kama tunavyoshuhudia leo. Mungu aliahidi mambo makubwa kwa taifa la Israeli, na licha ya vikwazo na mapingamizi mengi, historia imethibitisha wazi jinsi ahadi hizo zilivyotimia.

Baadhi ya ahadi za Mungu kwa Israeli zilizotimia:
  1. "Nitawatawanya katika mataifa na baadaye nitawarudisha" (Ezekieli 36:24)
    Israeli walitawanywa duniani kote baada ya uharibifu wa Yerusalemu mnamo mwaka 70 BK. Lakini Mungu aliahidi kuwakusanya tena, na mnamo mwaka 1948, taifa la Israeli lilirejeshwa rasmi. Jambo hili sio la kawaida kwa taifa lililotawanyika kwa maelfu ya miaka.

  2. "Nitakufanya taifa kubwa" (Mwanzo 12:2)
    Mungu alimwahidi Ibrahimu kwamba atambariki na kumfanya kuwa taifa kubwa. Leo Israeli ni taifa lenye nguvu, na lenye ushawishi mkubwa ulimwenguni.

  3. "Nchi ya Israeli itastawi" (Ezekieli 36:34-35)
    Mungu kwa kumtumia Nabii wa kweli Ezekieli, alitabiri kwamba nchi hiyo iliyokuwa kame na jangwa itastawi na kuwa na rutuba. Leo, Israeli inaongoza kwa uvumbuzi wa teknolojia ya kilimo na umwagiliaji, na imegeuza jangwa kuwa bustani yenye mazao tele.
Naku-challenge wewe unayedai Biblia ni maneno ya watu, tunga na wewe ahadi fulani. Chagua nchi moja Afrika uitamkie ahadi hiyo. Tamka jambo ambalo halipo kabisa katika nchi hiyo, useme kwamba litakuwepo baada ya miaka 10 ijayo. Andika tamko lako hilo kwenye kitabu halafu uone jinsi utakavyoaibika baada ya miaka hiyo 10 kupita, kwakuwa hayatatimia utakayotamka!
Kiranga ngoja nimkatibishe ndugu yangu hapa pengine ana lakuchangia.

Ila Israel bila marekani hajakamilika
 
Aah, mambo ya udaku wa Facebook unayaleta tena humu.
Udaku wakati hiyo ni Allah kahaba ambayo waislamu wote wanaelekea kibra kwa ajili yake wapate kuiabudu 😁😁😁 adriz na FaizaFoxy njoo umuelimishe huyu kuhusu alikahaba😁
 
Huu ugonjwa wa akili (dini) hawawezi kuuweka kwenye list sababu waliounda hiyo list ndio walioleta haya magonjwa ya akili(dini) kwa sababu zao za kiuchumi na kucontral wakaazi wa dunia.
Huwezi kunielewa hadi upate dozi... Vile unavyowachukulia wayahudi ndivyo hivyo waislam nao wanawachukulia waarabu.

Katika hili kwakweli walioleta haya magonjwa ya akili aina ya dini walijua kuwachezesha shere ☹️
Kama hujasoma maneno haya "IN GOD WE TRUST" kwenye dollar basi nikuache tu kwanza.
 
Katika mataifa makubwa hapa duniani Israel haipo.

USA
RUSSIA
CHINA
INDIA
BRAZIL
GERMAN
UK
FRANCE
TURKEY
SAUD ARABIA
EGYPT
SOUTH AFRIKA.

Huyo anatumiwa na western world kwa ajili ya maslahi yao pale middle east.
Mgogoro wa sasa hivi umeonyesha, maana bila shipment ya siraha kutoka Umoja wa Ulaya na Marekani wasingeweza kuwashinda Hezbollah, Hamas.

Sisi ni waafrika ila tusijitoe akili kwa Kuamini cheap propaganda
 
Udaku wakati hiyo ni Allah kahaba ambayo waislamu wote wanaelekea kibra kwa ajili yake wapate kuiabudu 😁😁😁 adriz na FaizaFoxy njoo umuelimishe huyu kuhusu alikahaba😁
Sasa mimi umeniona kwenye kundi hilo
 
Ni kwa sababu Mungu aliiona nia ya Yakobo kutaka kushinda pale malaika alipomjaribu kwa mieleka
 
Katika mataifa makubwa hapa duniani Israel haipo.

USA
RUSSIA
CHINA
INDIA
BRAZIL
GERMAN
UK
FRANCE
TURKEY
SAUD ARABIA
EGYPT
SOUTH AFRIKA.

Huyo anatumiwa na western world kwa ajili ya maslahi yao pale middle east.
Mgogoro wa sasa hivi umeonyesha, maana bila shipment ya siraha kutoka Umoja wa Ulaya na Marekani wasingeweza kuwashinda Hezbollah, Hamas.

Sisi ni waafrika ila tusijitoe akili kwa Kuamini cheap propaganda
Hawezi kukuelewa huyo bado yupo kwenye stage ya kuwa binadamu... Hajakamilika ubongoni
 
Katika mataifa makubwa hapa duniani Israel haipo.

USA
RUSSIA
CHINA
INDIA
BRAZIL
GERMAN
UK
FRANCE
TURKEY
SAUD ARABIA
EGYPT
SOUTH AFRIKA.

Huyo anatumiwa na western world kwa ajili ya maslahi yao pale middle east.
Mgogoro wa sasa hivi umeonyesha, maana bila shipment ya siraha kutoka Umoja wa Ulaya na Marekani wasingeweza kuwashinda Hezbollah, Hamas.

Sisi ni waafrika ila tusijitoe akili kwa Kuamini cheap propaganda
Soma takwimu za GDP nilizoandika humu.
 
Kumbe ngome yako ni Kiranga? Umefeli sasa maana Kiranga ananifahamu hawezi kuja hapa. Anatetemeka nikimtajia vifungu vya Biblia 🙂
Kuna wakati nilikua kama wewe ila nikikumbuka najicheka sana 😁😁
 
Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa ajabu kama tunavyoshuhudia leo. Mungu aliahidi mambo makubwa kwa taifa la Israeli, na licha ya vikwazo na mapingamizi mengi, historia imethibitisha wazi jinsi ahadi hizo zilivyotimia.

Baadhi ya ahadi za Mungu kwa Israeli zilizotimia:
  1. "Nitawatawanya katika mataifa na baadaye nitawarudisha" (Ezekieli 36:24)
    Israeli walitawanywa duniani kote baada ya uharibifu wa Yerusalemu mnamo mwaka 70 BK. Lakini Mungu aliahidi kuwakusanya tena, na mnamo mwaka 1948, taifa la Israeli lilirejeshwa rasmi. Jambo hili sio la kawaida kwa taifa lililotawanyika kwa maelfu ya miaka.

  2. "Nitakufanya taifa kubwa" (Mwanzo 12:2)
    Mungu alimwahidi Ibrahimu kwamba atambariki na kumfanya kuwa taifa kubwa. Leo Israeli ni taifa lenye nguvu, na lenye ushawishi mkubwa ulimwenguni.

  3. "Nchi ya Israeli itastawi" (Ezekieli 36:34-35)
    Mungu kwa kumtumia Nabii wa kweli Ezekieli, alitabiri kwamba nchi hiyo iliyokuwa kame na jangwa itastawi na kuwa na rutuba. Leo, Israeli inaongoza kwa uvumbuzi wa teknolojia ya kilimo na umwagiliaji, na imegeuza jangwa kuwa bustani yenye mazao tele.
Naku-challenge wewe unayedai Biblia ni maneno ya watu, tunga na wewe ahadi fulani. Chagua nchi moja Afrika uitamkie ahadi hiyo. Tamka jambo ambalo halipo kabisa katika nchi hiyo, useme kwamba litakuwepo baada ya miaka 10 ijayo. Andika tamko lako hilo kwenye kitabu halafu uone jinsi utakavyoaibika baada ya miaka hiyo 10 kupita, kwakuwa hayatatimia utakayotamka!
"And We conveyed to the Children of Israel in the Scripture that, You will surely cause corruption on the earth twice, and you will surely reach [a degree of] great haughtiness." Qur’an 17:4
"So when the [time of] promise came for the first of them, We sent against you servants of Ours - those of great military might, and they probed [even] into the homes, and it was a promise fulfilled." Qur’an 17:5

"Then We gave back to you a return victory over them. And We reinforced you with wealth and sons and made you more numerous in manpower." Qur’an 17:6

"[And said], If you do good, you do good for yourselves; and if you do evil, [you do it] to them [i.e., yourselves]. Then when the final [i.e., second] promise came, [We sent your enemies] to sadden your faces and to enter the masjid [i.e., the temple in Jerusalem], as they entered it the first time, and to destroy what they had taken over with [total] destruction." Qur’an 17:7

hapo juu

Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa ajabu kama tunavyoshuhudia leo. Mungu aliahidi mambo makubwa kwa taifa la Israeli, na licha ya vikwazo na mapingamizi mengi, historia imethibitisha wazi jinsi ahadi hizo zilivyotimia.

Baadhi ya ahadi za Mungu kwa Israeli zilizotimia:
  1. "Nitawatawanya katika mataifa na baadaye nitawarudisha" (Ezekieli 36:24)
    Israeli walitawanywa duniani kote baada ya uharibifu wa Yerusalemu mnamo mwaka 70 BK. Lakini Mungu aliahidi kuwakusanya tena, na mnamo mwaka 1948, taifa la Israeli lilirejeshwa rasmi. Jambo hili sio la kawaida kwa taifa lililotawanyika kwa maelfu ya miaka.

  2. "Nitakufanya taifa kubwa" (Mwanzo 12:2)
    Mungu alimwahidi Ibrahimu kwamba atambariki na kumfanya kuwa taifa kubwa. Leo Israeli ni taifa lenye nguvu, na lenye ushawishi mkubwa ulimwenguni.

  3. "Nchi ya Israeli itastawi" (Ezekieli 36:34-35)
    Mungu kwa kumtumia Nabii wa kweli Ezekieli, alitabiri kwamba nchi hiyo iliyokuwa kame na jangwa itastawi na kuwa na rutuba. Leo, Israeli inaongoza kwa uvumbuzi wa teknolojia ya kilimo na umwagiliaji, na imegeuza jangwa kuwa bustani yenye mazao tele.
Naku-challenge wewe unayedai Biblia ni maneno ya watu, tunga na wewe ahadi fulani. Chagua nchi moja Afrika uitamkie ahadi hiyo. Tamka jambo ambalo halipo kabisa katika nchi hiyo, useme kwamba litakuwepo baada ya miaka 10 ijayo. Andika tamko lako hilo kwenye kitabu halafu uone jinsi utakavyoaibika baada ya miaka hiyo 10 kupita, kwakuwa hayatatimia utakayotamka!
 
Shetani tumemuaibisha wiki hii. Ametepeta
Wenzako nao kila mwaka wanaenda kumpiga mawe pale Makkah kama nyie mnavyomuua makanisani lakini mkitoka shughuli iko palepale 🤣🤣🤣

Acha niwatazame tu nicheke
 
Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa ajabu kama tunavyoshuhudia leo. Mungu aliahidi mambo makubwa kwa taifa la Israeli, na licha ya vikwazo na mapingamizi mengi, historia imethibitisha wazi jinsi ahadi hizo zilivyotimia.

Baadhi ya ahadi za Mungu kwa Israeli zilizotimia:
  1. "Nitawatawanya katika mataifa na baadaye nitawarudisha" (Ezekieli 36:24)
    Israeli walitawanywa duniani kote baada ya uharibifu wa Yerusalemu mnamo mwaka 70 BK. Lakini Mungu aliahidi kuwakusanya tena, na mnamo mwaka 1948, taifa la Israeli lilirejeshwa rasmi. Jambo hili sio la kawaida kwa taifa lililotawanyika kwa maelfu ya miaka.

  2. "Nitakufanya taifa kubwa" (Mwanzo 12:2)
    Mungu alimwahidi Ibrahimu kwamba atambariki na kumfanya kuwa taifa kubwa. Leo Israeli ni taifa lenye nguvu, na lenye ushawishi mkubwa ulimwenguni.

  3. "Nchi ya Israeli itastawi" (Ezekieli 36:34-35)
    Mungu kwa kumtumia Nabii wa kweli Ezekieli, alitabiri kwamba nchi hiyo iliyokuwa kame na jangwa itastawi na kuwa na rutuba. Leo, Israeli inaongoza kwa uvumbuzi wa teknolojia ya kilimo na umwagiliaji, na imegeuza jangwa kuwa bustani yenye mazao tele.
Naku-challenge wewe unayedai Biblia ni maneno ya watu, tunga na wewe ahadi fulani. Chagua nchi moja Afrika uitamkie ahadi hiyo. Tamka jambo ambalo halipo kabisa katika nchi hiyo, useme kwamba litakuwepo baada ya miaka 10 ijayo. Andika tamko lako hilo kwenye kitabu halafu uone jinsi utakavyoaibika baada ya miaka hiyo 10 kupita, kwakuwa hayatatimia utakayotamka!
Nguvu za kijeshi za Israel zinachangiwa na msaada mkubwa wa silaha,fedha kutoka Marekani na mataifa mengine ya magharibi
 
Back
Top Bottom