Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

"And We conveyed to the Children of Israel in the Scripture that, You will surely cause corruption on the earth twice, and you will surely reach [a degree of] great haughtiness." Qur’an 17:4
"So when the [time of] promise came for the first of them, We sent against you servants of Ours - those of great military might, and they probed [even] into the homes, and it was a promise fulfilled." Qur’an 17:5

"Then We gave back to you a return victory over them. And We reinforced you with wealth and sons and made you more numerous in manpower." Qur’an 17:6

"[And said], If you do good, you do good for yourselves; and if you do evil, [you do it] to them [i.e., yourselves]. Then when the final [i.e., second] promise came, [We sent your enemies] to sadden your faces and to enter the masjid [i.e., the temple in Jerusalem], as they entered it the first time, and to destroy what they had taken over with [total] destruction." Qur’an 17:7

hapo juu
The Qur’an does not explicitly state that Israel (as a nation) will be great in the same way as the Bible does in God's promise to Abraham (Genesis 12:2-3).
 
Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa ajabu kama tunavyoshuhudia leo. Mungu aliahidi mambo makubwa kwa taifa la Israeli, na licha ya vikwazo na mapingamizi mengi, historia imethibitisha wazi jinsi ahadi hizo zilivyotimia.

Baadhi ya ahadi za Mungu kwa Israeli zilizotimia:
  1. "Nitawatawanya katika mataifa na baadaye nitawarudisha" (Ezekieli 36:24)
    Israeli walitawanywa duniani kote baada ya uharibifu wa Yerusalemu mnamo mwaka 70 BK. Lakini Mungu aliahidi kuwakusanya tena, na mnamo mwaka 1948, taifa la Israeli lilirejeshwa rasmi. Jambo hili sio la kawaida kwa taifa lililotawanyika kwa maelfu ya miaka.

  2. "Nitakufanya taifa kubwa" (Mwanzo 12:2)
    Mungu alimwahidi Ibrahimu kwamba atambariki na kumfanya kuwa taifa kubwa. Leo Israeli ni taifa lenye nguvu, na lenye ushawishi mkubwa ulimwenguni.

  3. "Nchi ya Israeli itastawi" (Ezekieli 36:34-35)
    Mungu kwa kumtumia Nabii wa kweli Ezekieli, alitabiri kwamba nchi hiyo iliyokuwa kame na jangwa itastawi na kuwa na rutuba. Leo, Israeli inaongoza kwa uvumbuzi wa teknolojia ya kilimo na umwagiliaji, na imegeuza jangwa kuwa bustani yenye mazao tele.
Naku-challenge wewe unayedai Biblia ni maneno ya watu, tunga na wewe ahadi fulani. Chagua nchi moja Afrika uitamkie ahadi hiyo. Tamka jambo ambalo halipo kabisa katika nchi hiyo, useme kwamba litakuwepo baada ya miaka 10 ijayo. Andika tamko lako hilo kwenye kitabu halafu uone jinsi utakavyoaibika baada ya miaka hiyo 10 kupita, kwakuwa hayatatimia utakayotamka!
No America, no Israel! No armament race, no wars! No Imperialism, no exploitation/expansionism/colonialism/ killings of innocent women and children.
 
Wenzako nao kila mwaka wanaenda kumpiga mawe pale Makkah kama nyie mnavyomuua makanisani lakini mkitoka shughuli iko palepale 🤣🤣🤣

Acha niwatazame tu nicheke
Usichanganye. Shetani hauliwi. Anapingwa na kukimbia. Shetani ni kama inzi. Akija tunamfukuza kwa Jina la Yesu. Baadaye anarudi tena. Anafukuzwa tena. Lakini hatafanya hivyo milele. Maana Yesu akirudi sisi tunaenda zetu kwa Baba mbinguni. Huko shetani hakanyagi. Yeye ameandaliwa kuchomwa motoni. Sasa hivi anawatafuta watu kama wewe ili akaunguzwe nao motoni. Mkatae, njoo kwa Yesu, ndugu.
 
Waarabu wamejiandaa zaidi ya miaka 10 kuliangamiza Taifa la Izrael, vifaa na askari wengi wa kujitolea kutoka mataifa mbalimbali ya kiarabu na Iran wakijifanya ni Hamas. Wamechomba mahandaki chini ya misikiti, mahospitali ambayo yanatokelezea nchi nyingine na kitendo Cha kuteka wale vijana ilikuwa ndio uchokozi ili izrael ajibu wammalize lakini wamekutana na joto la jiwe
Allah ni Mungu was waarabu tu? Mungu wa Israel naye ni Allah au ni miungu tofauti?
 
Hujaelewa lengo la mada. Lengo ni kuonyesha kuwa Biblia sio maneno ya watu. Ni Neno la Mungu, ndio sababu ahadi walizoahidiwa Waisraeli zimetimia. Kwahiyo tujadili hapo zaidi. Tukianza kujadili jina Israeli yataibuka majina mengine kama Yakobo, Isaka na Ibrahimu. Mjadala utakuwa umeenda nje ya reli.
"Ahadi walizoahidiwa waisrael zimetimia"

Kabla ya kujua hizo ahadi kama kweli zimetimia au laa lazima tujue Israel ni nini kwa mujibu wa Biblia??

Ngoja nikurahisishie.

•jee ni watu maalumu.?
• jee ni Taifa furani??
•jee ni muunganiko wa kabila furani??
•jee Ni eneo la mipaka ya nchi????

Neno Israel kwa mujibu wa Biblia ni nini??
 
No America, no Israel! No armament race, no wars! No Imperialism, no exploitation/expansionism/colonialism/ killings of innocent women and children.
Israel's strength is not just about politics or military power—it is the fulfillment of God's promise. From the time of Abraham, God declared that Israel would be a great nation (Genesis 12:2-3). Despite hardships, exile, and conflicts, Israel has thrived, just as prophesied. Nations rise and fall by God's will, and history has shown that His promises stand the test of time. Those who view Israel only through a political lens miss the bigger picture—this is about God's sovereignty, not just geopolitics.
 
Usichanganye. Shetani hauliwi. Anapingwa na kukimbia. Shetani ni kama inzi. Akija tunamfukuza kwa Jina la Yesu. Baadaye anarudi tena. Anafukuzwa tena. Lakini hatafanya hivyo milele. Maana Yesu akirudi sisi tunaenda zetu kwa Baba mbinguni. Huko shetani hakanyagi. Yeye ameandaliwa kuchomwa motoni. Sasa hivi anawatafuta watu kama wewe ili akaunguzwe nao motoni. Mkatae, njoo kwa Yesu, ndugu.
Vichekesho kama hivi tunavijua
 
Sasa mimi umeniona kwenye kundi hilo
Wewe ni madenge wa gazeti la sani 😁😁😁kwani mwalimu akiuliza swali ukiwa na maembe kumi ukala ma 3 utabaki na mangapi kisha wewe ukamjibu kuwa ulagi maembe😁😁😁 ni sawa na vituko vyako hapa...kwani aliye kuambia wewe upo au haupo ni nani 🙄🙄🙄
 
Israel's strength is not just about politics or military power—it is the fulfillment of God's promise. From the time of Abraham, God declared that Israel would be a great nation (Genesis 12:2-3). Despite hardships, exile, and conflicts, Israel has thrived, just as prophesied. Nations rise and fall by God's will, and history has shown that His promises stand the test of time. Those who view Israel only through a political lens miss the bigger picture—this is about God's sovereignty, not just geopolitics.
Hizi ni story tu za kufikirika na za upotoshaji! Hao Mayahudi wauaji na watesi wa binadamu wenzao, hawana sifa yoyote ile ya kuitwa Taifa la Mungu!

Hao ni wahuni tu na walowezi kutoka Marekani na nchi za Ulaya walioamua kwenda kuwatawala Wapalestina na kuwanyang'anya ardhi yao kimabavu.
 
Allah ni Mungu was waarabu tu? Mungu wa Israel naye ni Allah au ni miungu tofauti?
Swali lako liko nje ya uzi. Lakini kwa kukusaidia ni kwamba, ingawa neno "Allah" tafsiri yake ni "Mungu," Allah kwenye Quran na Mungu kwenye Biblia ni tofauti, kwa sababu Mungu kwenye Biblia anajifunua katika Utatu Mtakatifu, kupitia Yesu Kristo, na mpango wa wokovu kwa neema – mambo ambayo Uislamu unayakataa kabisa.
 
Hizi ni story tu za kufikirika na za upotoshaji! Hao Mayahudi wauaji na watesi wa binadamu wenzao, hawana sifa yoyote ile ya kuitwa Taifa la Mungu!

Hao ni wahuni tu na walowezi kutoka Marekani na nchi za Ulaya walioamua kwenda kuwatawala Wapalestina na kuwanyang'anya ardhi yao kimabavu.
Wewe unasoma Biblia na kuiamini? Tuanzie hapo kwanza
 
Swali lako liko nje ya uzi. Lakini kwa kukusaidia ni kwamba, ingawa neno "Allah" tafsiri yake ni "Mungu," Allah kwenye Quran na Mungu kwenye Biblia ni tofauti, kwa sababu Mungu kwenye Biblia anajifunua katika Utatu Mtakatifu, kupitia Yesu Kristo, na mpango wa wokovu kwa neema – mambo ambayo Uislamu unayakataa kabisa.
Kwahiyo Allah ni Mungu wa waislam?
 
Naona umesahau vingine,
Vp ni wapi Mungu aliwaambia wapitishe sheria ya ndoa za jinsia moja?
Umeandika bila ku-quote comment, sijajua kama hilo swali linanilenga mimi au member mwingine?
 
Wewe unasoma Biblia na kuiamini? Tuanzie hapo kwanza
Mimi ni materialist! Na siyo idealist kama wewe!! Kwa hiyo siyo kila ninachokisoma, ninachoambiwa, au ninachokiona; basi ninakiamini kwa 100%.
 
Hawa jamaa hawamkubali Yesu na Mama yake wanawapa tuhuma nzito , na wanatuhumiwa kuhusika na kumfanyia hujuma Yesu na watu zake , sasa nashangaa Wagalatia mnakuwa chawa wa Hawa jamaa wakati wanampinga Yesu wanamuona kama Tapeli.
Swali lako biblia ilishajibu

Warumi 3
1 Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?

2 Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.

3 Ni nini, basi, ikiwa baadhi yao hawakuamini? Je! Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?

4 Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.
 
Mleta uzi una mnyororo mkubwa sana wa kitumwa shingoni mwako. Omba sana Mungu akufunulie hekima
 
Back
Top Bottom