Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #121
Elewa kichwa cha thread. Itokee. Hivi hata hilo la saba ulimaliza kweli?Usijisumbue hawezi kushinda kamwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa kichwa cha thread. Itokee. Hivi hata hilo la saba ulimaliza kweli?Usijisumbue hawezi kushinda kamwe
Kuhusu nn kifanyike. Sauti zetu ni ndogo sana hatuwezi kusikika. Tunaweza umiza vichwa hapa then hata maombi yetu yasisikike. Mi naona jamii forum ni sehemu ya kutolea hasira tu kwa mambo yaliyoko moyoni. Serikali yetu sidhani kama inaichukulia serious. Itachukulia serious endapo itaanza kuona impact.Nini kitolewe na nini kifanyike vinashabihiana. KUna watu wanamchukia Magufuli kutokana na aliyotenda, ndio maana kuna element ya nini kikomeshwe. Kama kila aliyotenda yanakubalika, kwa nini wamchukie?
Kama Katiba ni mbovu sio Magufuli aliletaKatiba mbovu,kuukuu ya kijima iliyo jaa viraka,jeshi la polisi la kikoloni lifumuliwe,mageuzi ya mfumo mzima wa elimu yetu toka wa kinadharia hadi wa kivitendo,wizara ya elimu iwekwe kikatiba ili wanasiasa wasiichezee,yapo mengi sana
Kama huna la kuongea zaidi ya ushabiki wa kipumbavu kaa kimyaNaona Lisu kaishiwa sasa anatafuta alishwe maneno ya kuongea kwenye kampeni za lala salama baada ya kugundua kuwa mikutano yote aliyofanya hajawagusa wananchi na kitu cha kueleweka
LISU ni mgombea pekee wa uraisi ambaye anamaliza ngwe yake bila kunadi sera za CHAMA CHAKE
Usikate tamaa. KUna jume zinaenyeza na kupita kupitia Jamii Forum. KUmbuka kwamba Jamii Forum na kina Maxello wanafuatwa kila wakati kutokana na mambo yanayopostiwa hadi wamelazimishwa kupitia thread kabla ya kuzipost. Ina maana kuna watu wanasoma ndio aana wanawasumbua JFKuhusu nn kifanyike. Sauti zetu ni ndogo sana hatuwezi kusikika. Tunaweza umiza vichwa hapa then hata maombi yetu yasisikike. Mi naona jamii forum ni sehemu ya kutolea hasira tu kwa mambo yaliyoko moyoni. Serikali yetu sidhani kama inaichukulia serious. Itachukulia serious endapo itaanza kuona impact.
Sijasoma kabisa we unatakaje kwaniElewa kichwa cha thread. Itokee. Hivi hata hilo la saba ulimaliza kweli?
Arudishe UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
asilimia kibwa wamejibu tofauti na ulichoulizaTwende nao taratibu Mkuu. Siku zote ndivyo inavyokuwa, kuna wa kuelewa na wa kutoelewa, hata jambo rahisi sana.
Aanze upya kufufua shirika la ndege. Sio kununua ndege na kupark. bali aanzishe mpango mkakati utakaoliwez sha shirika kufanya kazi kwa faida.Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
Ndio maana wakatuambia hata tukampigia kura Lissu,watakaonda serikali ni maccmnaam,hatakubali ccm ife mikononi mwake itakuwa aibu
CHADEMA Ni SERIKALI? NAJUA CHADEMA NI CHAMA.KAMA WALIKUBALIANA ADHABU NI HIYO KWA WASALITI LAZIMA ITEKELEZWE, NI KAMA CCM WALIVYOMTOSA MBOBEZ MEMBE MAMBO YA VYAMA..umesahau, lazima pia waliochoma moto ofisi za chadema washuhulikiwe
- zile bil 8 pia za mbowe zirudishwe kwenye mzunguko
- wale wabunge waliofukuzwa kisa walienda bungeni wakati wa corona wapewe haki yao maana hawakufanya kosa lolote
- matusi yanayorushiwa kwa polisi, polisi wapewe haki ya kuwaadhibu wanaowatukana ni binadam pia
Mkuu baada ya Magufuli kushinda jamii forums itakuwa tupu sana hao wote watatokomea gizani na mbelgiji Tundu LisuHana lolote mtu wenu, subiri utarudi hapa 28/10/2020 kulialia.
Naona unalialia tu. Unaeza ondoa kovu?Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
zuio la bunge laiveWengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
hoja fikirishiNaona unalialia tu. Unaeza ondoa kovu?