whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Hili tukio litakuwa endelevu. Jiandae kulizoea ๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhan tungewapa nafas ya wao kujieleza kipi kilitokea na kwa nin kabla hatujatoa hukumu ya kibabe km tunavyotoaga.Nimefuatilia mkutano wa ACT Live unaorushwa na ITV.
Tundu Lissu kapewa nafasi ya kuongea, kaongea kirefu, kisha akaanza kuzungumzia hali ya nchi ndani ya miaka mitano iliyopita, na nia na sababu ya kuiondoa CCM madarakani.
ITV wakamzimia sauti.
Sasa najiuliza kama ITV inafanya kazi kwa maslahi ya CCM si ni bora mgejiunga kwa Humphrey polepole naye alikuwa Live?
Hizi tabia za kipuuzi za vyombo vya habari nchini kufanya Censoring, wapinzani pindi wakiwa Live zinaudhi, na zinakatisha tamaa, na zinaonyesha kuwa hivi vyombo vya habari havijwezi
Nineona siku hizi ndo mchezo wa TV za online na hii ITV, yaani wapinzani wakianza kupoint out mapungufu ya serikali hii mnawazimia Sauti
Hivi ITV na heshima zenu zote mmekuwa low kiasi hiki?
Wananchi wanakereka kwa upumbavu kama huu
Kama hamtaki kurusha Live matukio ya waoinzani basi acheni.
Leo ITV wamenzimia Sauti Tundu Lissu takribani dakika tano nzima.
Haya mambo ya ajabu sana
Hata wewe unatumia cha Mexence Mello mkuu.
Tafuta chako!
Kila chombo cha habari kinachotumika kitavuna kinachopanda baada ya ccm kung'olewa hapo octoba .Wasije kumlilia mtuNimefuatilia mkutano wa ACT Live unaorushwa na ITV.
Tundu Lissu kapewa nafasi ya kuongea, kaongea kirefu, kisha akaanza kuzungumzia hali ya nchi ndani ya miaka mitano iliyopita, na nia na sababu ya kuiondoa CCM madarakani.
ITV wakamzimia sauti.
Sasa najiuliza kama ITV inafanya kazi kwa maslahi ya CCM si ni bora mgejiunga kwa Humphrey polepole naye alikuwa Live?
Hizi tabia za kipuuzi za vyombo vya habari nchini kufanya Censoring, wapinzani pindi wakiwa Live zinaudhi, na zinakatisha tamaa, na zinaonyesha kuwa hivi vyombo vya habari havijwezi
Nineona siku hizi ndo mchezo wa TV za online na hii ITV, yaani wapinzani wakianza kupoint out mapungufu ya serikali hii mnawazimia Sauti
Hivi ITV na heshima zenu zote mmekuwa low kiasi hiki?
Wananchi wanakereka kwa upumbavu kama huu
Kama hamtaki kurusha Live matukio ya waoinzani basi acheni.
Leo ITV wamenzimia Sauti Tundu Lissu takribani dakika tano nzima.
Haya mambo ya ajabu sana
Ina make sense kwa umbaliNdo maana nasema Membe ni Janja ya CCM kuumaliza upinzani tena kama walivyofanya kwa Lowasa ndo maana ACT mikutano yao hata Vyombo vya habari vinaoneshaa..!! Lakini Chadema hawawezi sababu watanyooshwa
Ni uduanzi na wao wajiandae kujiunga na tbccm!Hili tukio litakuwa endelevu. Jiandae kulizoea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekuwa maandazi Sana Hawa Super blanderIle hamu ya kutafuta na kuisikiliza taarifa ya habari ya ITV siku hizi haipo kwangu kwa vile sioni tofauti na TBC ya ccm,waliyoipokea kwa watanzania wazalendo
We jamaa una akili sana aisee na naunga mkono hoja kwa 100%.Ndo maana nasema Membe ni Janja ya CCM kuumaliza upinzani tena kama walivyofanya kwa Lowasa ndo maana ACT mikutano yao hata Vyombo vya habari vinaoneshaa..!! Lakini Chadema hawawezi sababu watanyooshwa
UTV hawajakataNimefungua hadi kwenye Youtube kipande cha sauti ya Lisu nako kimekatwa.
Nataka kujua alizungumza nini ?
Hadi akakatiwa Sauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee umeua!We jamaa una akili sana aisee na naunga mkono hoja kwa 100%.
Halafu watu wenye structure ya kichwa kama cha huyo jamaa hua hawaaminiki hata kidogo,hebu tafute picha ya huyo jamaa angalia ile kichwa ilivyokaa then ulete majibu hapa jukwaani.
Nimefuatilia mkutano wa ACT Live unaorushwa na ITV.