ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

Hahaa, kumbe sio Mimi peke yangu nimeona Hili
Sema Tundu Lissu naye itabidi apunguze ukali wa speech zake maana mainstream media zote Sasa zitaogopa kumrusha
shida sio sauti shida tukumbuke station zote hizo ziko chini ya ccm..jamani maisha ni magumu kila mtu anaangalia ugali wake wa kesho ..ishu sio kumsupport lissu ishu ni maisha baada ya kumsuport lissu
 
..ila Jpm akitoa lugha za matusi na kudhalilisha wanarusha hivyohivyo.

..baadae watetezi wanakuja wanasema alikuwa anafanya utani.
lakini pia jamani wana JF unajua station hiyo imekufa muda mrefu ni mazoea ya wananchi kusikiliza habari saa2 usiku basi lakini baada ya hapo mmmhh kimeo tupu
 
ITV wapo sahihi kabisa.awawezi kubali kurusha maneno yatakayoleta taharuki kwa taifa.
Kusema kuwa msiba wa Moi alizikwa na maraisi wastaafu na walio madarakani wanne,lakinu msiba wa Mkapa,kaja mtu wa rafikiye na Mh. JPM peke yake yataleta taharuki gani?
 
lakini pia jamani wana JF unajua station hiyo imekufa muda mrefu ni mazoea ya wananchi kusikiliza habari saa2 usiku basi lakini baada ya hapo mmmhh kimeo tupu

..wajiongeze kipindi hiki cha uchaguzi.

..wakirusha habari ambazo wananchi wanahamu na wanatamani kuzisikia wanaweza kurudi kwenye chati.

..unafikiri wakiamua kutangaza habari za kampeni za kila chama bila kupendelea watakosa watazamaji?
 
Mnapendwa na wanyonge wa nchi nzima lkn mnakimbilia kuzima speech za watu hahah,kipenzi cha wanyonge bana ni shiida.
Ni kwamba hatuhitaji kumsikia, anapayuka sana. Mwambieni atulie Kama kweli anataka kuikomboa nchi hii..aongee mambo ya maana sio magomvi kila kukicha
 
..wajiongeze kipindi hiki cha uchaguzi.

..wakirusha habari ambazo wananchi wanahamu na wanatamani kuzisikia wanaweza kurudi kwenye chati.

..unafikiri wakiamua kutangaza habari za kampeni za kila chama bila kupendelea watakosa watazamaji?
shida iko pale pale nani atamfunga paka kengere alafu ukumbuke mwenye station hayupo tena kwahiyo pale wakuu wakisema ipigwe ambush mmmhh itarudio nyuma hata wasafi watawazidi
 
Back
Top Bottom