ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo


Mtoa hoja ujue kuwa mtoa habari (lissu) na msambaza habari ( itv n.k) wote wana wajibu wa kuzingatia miiko, sheria na haki za wengine.

Bila ya hivyo iwapo mzungumzaji atatoa matamshi yanayothibitika kuwa ni ya kashfa, uchochezi, uhaini au uvunjifu wa amani katika jamii, chombo hicho cha utangazaji kitakuwa hatiani kwa uvunjifu wa maadili na sheria kikifikishwa mahakamani, sanjari na aliyetamka maneno hayo.

Kwa kuchelea madhila hayo, ndio maana vyombo vya utangazaji vinachukua maamuzi magumu ya kujidhibiti vyenyewe vinapohisi dalili za kutolewa matamshi kinyume na sheria, maadili, na weledi, vikifahamu kuwa vipandishwa kizimbani hata mtoa habari hatakuwa msaada kwao. Mwanahalisi TV nayo ilijilipua vivyo hivyo.
 

Huwezi kutegemea mzungumzaji ataongea nini
 
SIKU HIZI WANATEULIWA PIA
 
Anza kwanza kufanya utafiti kuhusu masharti ya kumiliki hicho chombo, namna ya kupata hayo mawimbi na umbali wa hayo mawimbi.

Mi nifanye utafiti wa nini? Sikihitaji hicho chombo. Vyama vinavyolalamika vingefanya hivyo! Wamuulize hata Chibu atawasaidia!
 
Hahaa, kumbe sio Mimi peke yangu nimeona Hili
Sema Tundu Lissu naye itabidi apunguze ukali wa speech zake maana mainstream media zote Sasa zitaogopa kumrusha
Haitawasaidia, sauti ya mkombozi Lissu itafika tu huko kwa wananchi
 
Mkuu msikalie humu humu Tanzania na kufatilia habari za ccm na Magu tu.tafuteni maarifa ili ujinga uwaondoke,wanaondoka madarakani watu wenye akili zao na hakujawahi kuwa na taharuki,sembuse huyu?
hujijui.
 
Wa mapambio ndio hao
 
Lakini afadhali kuliko umeme ungezimika kabisa mkutanoni Diamond Jubilee Hall.
 
Taifa ulikuwa hujui Ni la wajinga?
 
Kumshauri mh Lissu aseme nini huko ni kutaka kuturudisha kwenye zama za utumwa.

Nini maana ya kuwa chama cha upinzani? Yaani umpangie kiongozi wa chama nini aseme?
Bungeni ndio hovyo kabisa
 
Kichaa yupi?? Yule anayempelekea mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo???
Hapana Kichaa yule aliyekuwa anaishi Ubeligiji kwa biashara ya kufyatuliwa mtaro na kufunuliwa marinda.
 
They call themselves "Super Brand Africa". No hope in them indeed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…